Podcasts about kesho

  • 18PODCASTS
  • 74EPISODES
  • 14mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • May 19, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kesho

Latest podcast episodes about kesho

Habari za UN
Ufugaji nyuki katika Kaunti ya Kajiado umeleta manufaa kwa wenyeji - Bwana Mureithi

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 19, 2025 3:55


Kesho ikiwa ni siku ya nyuki duniani ikimulika umuhimu wa nyuki tunakupeleka nchini Kenya, katika kijiji cha Embulmbul, ambapo mradi wa ufugaji nyuki uliofanikishwa na Shirika la Marekani la Misaada ya maendeleo, USAID, kwa kushirikiana na Idara ya Misitu ya Kenya, KFS na wadau wengine, umeleta tija kwa wenyeji. Mmoja wa wanufaika hao ni mwanamazingira Christopher Mureithi ambaye ni kiongozi wa kikundi cha kufuga nyuki katika msitu wa Ololua ambao wamefanikiwa sio tu kuboresha uzalishaji wa asali, bali pia kuchangia katika uhifadhi wa bioanuwai na misitu. Katika makala hii iliyoandaliwa na Sharon Jebichii Bwana Mureithi anaanza kwa kueleza mafanikio yao.

hochverlegt
CRASH OUT

hochverlegt

Play Episode Listen Later May 14, 2025


Schon länger haben Anna und Chiara nicht mehr nur zu zweit im Studio gesessen. Ein perfekter Moment, um die Events der letzten Wochen zu rekapitulieren: Wie war das „hochverlegt präsentiert“ Event mit Donna Savage und Kesho? Was ging ab beim Preis für Popkultur, der ersten Musik-Preisverleihung auf der sie waren? Was war das Highlight beim c/o pop Festival? Wie war das Konzert von Levin Liam? Und warum wurde bei Tape Head und NONI geheult? Fragen über Fragen - die Antworten gibt‘s in der neuen Folge hochverlegt.

Bett Kiprono's Podcast
Hadi Kesho By Watendawili

Bett Kiprono's Podcast

Play Episode Listen Later Jan 9, 2025 1:19


Hadi Kesho By Watendawili off the Album En RouteStream their music and you will love it! Woza!!Support the show

hadi kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Matumizi ya kilimo kinachokabili mabadiliko ya tabia nchi Afrika mashariki

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jan 7, 2025 10:05


Mashirika kadhaa ya kilimo pamoja na serikali ya Kenya yaliwakutanisha wadau wa kilimo—wakulima, wataalamu wa mabadiliko ya tabianchi, na watunga sera—jijini Nairobi mwezi Novemba mwaka uliopita. Mkutano huo ukilenga kuweka bayana mwelekeo wa kutumia kilimo kinachokabili mabadiliko ya tabianchi yaani climate smart agriculture ili kuongeza uzalishaji wa chakula.Hii leo katika makala mazingira leo dunia yako Kesho ,tunaangania kilimo hicho

Jukwaa la Michezo
AFCON 2025: Uganda yafuzu fainali za mwaka kesho huku Kenya, Ghana zikitupwa nje

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Nov 16, 2024 23:56


Tuliyoyazungumzia ni pamoja na upekee wa klabu ya voliboli nchini Kenya ya Trailblazers, uchaguzi wa FKF nchini Kenya umeanza, mabadiliko ya makocha klabuni Yanga, timu ya taifa ya Kenya ya walemavu ya soka yamaliza nafasi ya nne Kombe la Dunia, uchambuzi wa michuano ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2025 na pigano la Jake Paul dhidi ya Mike Tyson

Habari za UN
Ufafanuzi wa methali "Jawabu la kesho andaa leo"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 5, 2024 0:42


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, Mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anafafanua methali “Jawabu la kesho andaa leo.” 

Jioni - Voice of America
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatarajia kupokea shehena ya kwanza ya chanjo dhidi ya MPOX hapo kesho Alhamis. - Septemba 04, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 4, 2024 29:58


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

congo mpox kwanza jamhuri afrika mashariki kesho kidemokrasia septemba alhamis
CITAM Church Online
Leo Mimi Kesho Wewe - Angie Obama | CITAM Church Online

CITAM Church Online

Play Episode Listen Later Jul 8, 2024 3:11


Whether you are leading a family, ministry, or nation, what will be said of you? Are you fostering transparency, accountability, and good communication? Discover why citizens must hold their leaders accountable and how power amplifies our true selves. Reflect on the qualities you are building today to become the leader you aspire to be tomorrow. #BeAccountable #CITAMChurchOnline #ChurchEveryday Get in touch with us: http://www.citam.org/ churchonline@citam.org (+254) 784 277 277 (+254) 728 221 221

VOA Express - Voice of America
Jamii imewaahidi vijana kuwa ni viongozi wa kesho. Je hilo limetimizwa au la? Vijana wanatoa maoni. - Aprili 19, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 19, 2024 29:59


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

Jukwaa la Michezo
Mashindano ya Tour du Rwanda kuanza hapo kesho katika mji wa Kigali

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Feb 17, 2024 24:00


Karibu katika makala ya Jukwaa la michezo, leo tumekuandalia mengi ikiwemo kuanza kwa mashindano ya kuendesha baiskeli ya Tour du Rwanda, mazungumzo ya kipekee na waziri wa michezo nchini Tanzania Damas Ndumbaro pamoja na  kupigwa marufuku mechi nne kwa mchezaji wa timu ya taifa ya senegal Kreppin Diatta.

Habari za UN
Kesho isiyo na saratani ya shingo ya kizazi kwa Wanawake Tanzania

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 17, 2023 0:03


Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni kanda ya Afrika linaeleza kuwa Saratani ya shingo ya kizazi ni moja ya sababu kuu za vifo vinavyotokana na saratani kwa wanawake nchini Tanzania. Kawaida saratani ya shingo ya kizazi huathiri wanawake wenye zaidi ya umri wa miaka 25 ambao wameambukizwa virusi vya papilloma ya binadamu na hawajapata chanjo. Makala hii iliyoandaliwa na WHO na kusimuliwa na Anold Kayanda inaeleza jinsi uchunguzi wa afya wa mara kwa mara ni njia nzuri ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi..   

Habari za UN
06 JULAI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 6, 2023 0:12


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo Eugene Uwimana mmoja wa maafisa wa Umoja wa Mataifa nchini Rwanda amemtembelea mhamasishaji wa lugha ya Kiswahili nchini humo Profesa Pacifique Malonga ambaye ameanzisha eneo maalumu la vitabu vya Kiswahili katika Maktaba Kuu ya mji wa Kigali. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo za uhamiaji, usafirishaji haramu wa binadamu na Akili Bandia. Katika jifunze Kiswahili hii leo tunabisha hodi kwenye Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA kupata ujumbe maalum kuhusu umuhimu wa lugha.  Katika kipindi cha miezi 3 ya vita nchini Sudan idadi ya wakimbizi wanaoenda kusaka usalama nchi jirani imefikia milioni 3 limesema leo shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya uhamiaji IOM.Nusu ya idadi ya watoto wahanga wa usafirishaji haramu wa binadamu husafirishwa ndani ya nchi zao na wale wanaosafirishwa kimataifa hupelekwa nchi jirani ambazo ni tajiri. Na leo pamoja na Kesho julai 6 na 7, katika ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Geneva Uswisi kunafanyika mkutano unaojadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Akili Bandia AI pamoja na roboti.Katika jifunze Kiswahili hii leo tunabisha hodi kwenye Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA kupata ujumbe maalum kuhusu umuhimu wa lugha.Mwenyeji wako ni Leah Mushi, karibu! 

Habari za UN
Bonga bongo kufanyika India kutathmini teknolojia na ugaidi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 26, 2022 0:02


Kesho kutwa Ijumaa huko nchini India, Kamati ya kukabili ugaidi ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa itakutana nchini India kutathmini vitisho vipya duniani vitokanavyo na teknolojia mpya. Mkutano huo wa siku mbili ni wa kwanza kufanyika nje ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani tangu mwaka 2015. Happiness Pallangyo wa Redio washirika Uhai FM kutoka Tabora Tanzania anafafanua zaidi.Mjadala utajikita kwenye maeneo matatu makuu ambayo ni mosi; Intaneti na mitandao ya kijamii; Pili,  Ufadhili wa mitandao ya kigaidi duniani na tatu; kuenea kwa matumizi ya mifumo ya angani isiyo na rubani kama vile droni.Umoja wa Mataifa unasema teknolojia hizo mpya zinakua kwa kasi kubwa na zinatumika mara kwa mara katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo kwenye usalama wa taifa na kukabili ugaidi.Hata hivyo teknolojia hizo zinatumiwa vibaya na vikundi vya kigaidi kwa manufaa yao binafsi yasio na nia njema.Mkutano pia utakuwa ni jukwaa la kubadilishana mawazo ya jinsi teknolojia inaweza kusaidia kukabili kusambaa kwa maudhui ya kigaidi mtandaoni na kukabili pia simulizi za kigaidi.Hofu nyingine iliyoko na itakayomulikwa ni matumizi kwa nia mbaya ya uchapishaji wa chapa tatu au 3D, maroboti, akili bandia na mifumo ya angani isiyo na usimamizi.Kwa sasa India ndio inashikilia kiti cha Uenyekiti wa Kamati hiyo hadi mwishoni mwa mwaka huu ambapo akizungumza na waandishi wa habari jijini New York, Marekani, Mwakilishi wa Kudumu wa India Kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Ruchira Kamboj ambaye ndiye Mwenyekiti amesema,(Sauti ya Ruchira Kamboj)“Ugaidi katika aina zote zile, katika muonekano wowote ule ni moja ya vitisho vikubwa zaidi vya amani na usalama duniani. Kitendo chochote cha kigaidi hakiwezi kuhalalishwa kwa misingi ya nia yoyote ile, wakati uliofanyika, pahali ilipofanyika na ni nani aliyetekeleza. Kamati imejizatiti kupambana na janga hili katika ngazi ya kimataifa.”Kutokana na ugumu wa suala zima, na kasi ya mapinduzi yake, matarajio ni kwamba wajumbe watakuwa na nyaraka ya mwisho ambayo itatoa mwelekeo wa jinsi magaidi wanatumia teknolojia, kwa lengo la kufunga simulizi zao na matumizi ya teknolojia.Kamati ya kukabili ugaidi ya Baraza la Usalama la UN iliundwa kwa kauli moja tarehe 28 mwezi Septemba mwaka 2001, kufuatia shambulio la kigaidi dhidi ya Marekani tarehe 11 Septemba 2001 na wanachama ni wajumbe wote 15 wa Baraza la Usalama.

Habari za UN
26 OKTOBA 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 26, 2022 0:11


Hii leo kwenye Jarida la Umoja wa Mataifa tunamulika masuala ya kibinadamu, ugaidi, tabianchi na mazingira na ufugaji wa samaki kibiashara.Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi duniani, UNHCR, Filippo Grandi amehitimisha ziara yake ya siku mbili nchini Somalia na kutoa wito kwa viongozi wa kimataifa kuongeza kasi ya usaidizi wa kibinadamu ili kuepusha janga la kibinadamu linalozidi kushika kasi kwenye taifa hilo lililokumbwa na ukame.Kesho kutwa Ijumaa huko nchini India, Kamati ya kukabili ugaidi ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa itakutana nchini India kutathmini vitisho vipya duniani vitokanavyo na teknolojia mpya. Mkutano huo wa siku mbili ni wa kwanza kufanyika nje ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani tangu mwaka 2015.Makala leo tunakwenda Tanzania ambako huko John Kabambala wa Redio washirika Kids Time FM ya mkoani Morogoro anamulika uzinduzi wa mpango wa pamoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali wa kutafiti athari za mabadiliko ya tabianchi kwa watoto.Mashinani nampisha Levedy Céleste Lossangoye msichana kutoka Gabon ambaye ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhandisi wa kilimo na sasa anapata mafunzo ya ufugaji wa samaki kibiashara kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na kilimo, FAO akilenga kuimarisha biashara ya baba yake ya ufugaji samaki.Karibu na mwenyeji wako leo ni Assumpta Massoi

Habari za UN
Kiu ya kutafuta nishati salama nyumbani ilisababisha kubuni matumizi ya betri chakavu kutengeneza nishati

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 21, 2022 3:23


Kijana Gibson Kawago kutoka Tanzania ambaye ni miongoni mwa vijana 17 walioteuliwa na Umoja wa Mataifa kuwa viongozi vijana wa kusongesha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs amesema atatumia kipindi cha miaka miwili cha nafasi hiyo kusongesha hatua kwa tabianchi ikiwemo kutumia ugunduzi wake kuchakata betri chakavu za kompyuta kutengeneza betri za kuzalisha umeme katika kulinda na kuhifadhi mazingira.   Nina furaha sana kuteuliwa na nitakuwa balozi mwema  Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa akiwa Dar es salaam nchini Tanzania, Gibson amesema amepokea kwa furaha kubwa uteuzi huu akisema, “nina furaha kubwa sana kuweza kuteuliwa na Umoja wa Mataifa kwa kutambua mchango wangu kwenye kutatua matatizo katika jamii hii ninayotoka.  Kijana huyu mwenye umri wa miaka 27 ambaye sasa anamiliki kampuni ya WAGA inayotengeneza betri hizo amesema anaamini kilichomfanya ateuliwe ni kazi yake ya kulinda mazingira na kubuni mbinu za nishati salama.  “Sisi tunajihusisha kuchakata betri za kompyuta mpakato, sasa hivi watu wakibadilisha betri kwenye kompyuta zao wanazitupa na zinachafua mazingira, na mara nyingi zikiingia kwenye udongo huleta madhara kwa afya ya binadamu,” amesema Gibson.  Betri hizo zikiisha umeme huchajiwa kwa sola  Wanachofanya WAGA ni kuchakata hizo betri na kutengeneza kasha la betri ambalo hutumiwa na wananchi wa vijijini kutumia kupata nishati mbadala na wanachaji kwa sola. Betri hiyo hutumika katika kuwasha taa na hata kuwasha televisheni.  Kifuatacho ni nini?  Gibson amesema kipindi cha miaka miwili cha nafasi hiyo ya kijana kiongozi wa kusongesha SDGS, atajitahidi kuwa balozi mzuri kuhakikisha vijana wenzake wanafahamu jinsi gani ya kutunza mazingira na wanajua ni jinsi gani watatafuta fursa tofauti kutatua matatizo katika jamii zao na kuhakikisha wanatunza mazingira yao.  Kifo cha bibi yangu kilinichochea kutafuta jawabu la nishati  Gibson anasema chanzo cha yeye kujikuta kwenye ubunifu huo ni kifo cha bibi yake. “Kuna siku nikiwa kijijini nilikuwa natumia simu yangu kumuonesha bibi picha za  harusi. Katikati betri ikaisha na hatukuwa na umeme. Kesho yake nikasafiri umbali mrefu hadi mjini kupata betri.”  Anasema hata hivyo aliporejea nyumbani alikuta bibi yake amefariki dunia kwa kuwa hali yake ya kiafya haikuwa nzuri.  “Kwa hiyo wakati napata maumivu yale na kuwaza ni watu wangapi wanapata matatizo hayo nje nilipofika Dar es salaam wakati nasoma Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Ufundi, DIT nikaanza kutafiti ni kwa vipi naweza kutengeneza betri inayohifadhi umeme,” amesema Gibson.  Amesema alisaka mafunzo kwenye mtandao na hatimaye akaweza kutambua jinsi ya kuchakata betri chakavu za kompyuta mpakato ili kuzalisha umeme.  Sasa betri zinawasha televisheni na taa vijijini  Kwa mujibu wa Gibson, anatengeneza makasha ya betri kutokana na betri chakavu za Lithium na Ion, na betri.  “Nimeweza kutengeneza betri kubwa ambazo inawezesha mtu wa kijijini kuweza kuwasha televisheni, kuwasha taa zake na kuweza kutumia na ikiisha anaweza kuchaji kwa nishati ya jua au sola. 

Jioni - Voice of America
Raia wa Angola wajiandaa kwa uchaguzi mkuu kesho - Agosti 23, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 23, 2022 29:59


Wagombea urais nchini Angola Jumatatu walihitimisha kampeni za mwezi mzima kabla ya uchaguzi wa Jumatano ambao huenda ukashuhudia ushindani mkali kati ya chama tawala, kilicho madarakani kwa miongo kadhaa, na upinzani unaozidi kuongeza mvuto miongoni mwa vijana.

angola raia agosti mkuu kesho uchaguzi mkuu
SBS Swahili - SBS Swahili
Patrick: "Hata nikifa kesho, watu wengine watajua niliyo pitia kupitia' Survivors Uncensored"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 15, 2022 11:01


Watu wengi barani Afrika, wanao toa kauli ambazo ni kinyume ya kauli rasmi ya mamlaka hujipata kwenye hali ngumu.

Habari za UN
Kesho ni kesho juu ya hatma ya ndui ya nyani au Monkeypox- WHO

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 22, 2022 1:35


Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO kanda ya Afrika limesema kesho shirika hilo litakuwa na kikao cha dharura kuamua iwapo ugonjwa wa ndui ya nyani au Monkeypox ni janga la afya ya umma au la. Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti amesema hayo akizungumza na waandishi wa habari huko Brazaville, Jamhuri ya Congo, wakati huu ambapo kumethibitishwa jumla ya wagonjwa 2103 katika nchi 42 na kati ya hizo 8 ni za Afrika. Amesema katika nchi hizo za Afrika, ugonjwa huo ulisharipotiwa katika mataifa 6 tu ambazo ni Nigeria, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Jamhuri ya Congo,  Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, Benin na Cameroon. Ghana na Morocco, Liberia, Uganda, Sierra Leone, Ethiopia, Msumbiji na Sudan ni mara ya kwanza wanapata ugonjwa wa Monkeypox. Dkt. Moeti amesema kwa kuzingatia kilichotokea na COVID-19 na Afrika ikawa haijajiandaa akisema, “WHO inaitisha kikao cha dharura cha kamati ya Monkeypox Alhamisi tarehe 23 mwezi Juni, kutathmini iwapo mlipuko huu ni tishio la afya kwa umma duniani. Lakini kama WHO Afrika tayari tunasaidia nchi kuongeza uwezo wa kuchunguza Monkeypox na tuko katika mchakato wa kupata vifaa vya upimaji kwa ajili ya bara hili.” Kuhusu chanjo amesema,  chanjo mpya na salama ya ugonjwa wa ndui imeidhinishwa kwa ajili ya kukinga Monkeypox lakini bado hawashauri kuwa itolewe kwa watu wengi.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Sehemu ya 2 Kuhusu siku ya kimataifa ya Maji

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Mar 29, 2022 10:01


Makala ya Mazingira leo dunia yako Kesho, juma hili tunakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu siku ya kimataifa ya Maji na namna bora nchi zinaweza kutunza vyanzo vya maji.

Habari za UN
Neno la wiki - LEO NI LEO ASEMAYE KESHO NI MWONGO

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 28, 2022 0:24


Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Mchango wa Vyombo vya habari katika mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Sep 2, 2021 9:58


Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, juma hili inaangazia mchango wa vyombo vya habari katika mazingira.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Binadamu wanachangia pakubwa kuharibu mazingira: UN

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Sep 2, 2021 9:58


Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchini.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Kenya inajaribu kudhibiti athari za mabadiliko ya tabia nchi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Sep 2, 2021 10:00


Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia ripoti ya umoja wa Mataifa kuhusu athari za mabadiliko ya tabia nchi na namna nchi ya Kenya inavyojaribu kukabiliana na changamoto za kimazingira.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Changamoto ya maji katika maeneo yenye idadi kubwa ya watu

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Sep 2, 2021 9:55


Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia siku ya kimataifa ya maji na namna raia kwenye maeneo yenye idadi kubwa ya watu wanasaidika.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Wadau katika tamasha la Bleu Economy wazungumzia athari za uchafuzi wa bahari

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jul 30, 2021 9:56


Makala Mazingira leo Dunia yako Kesho, mwenzangu Ali Bilali amezumza na wadau wa mazingira katika tamasha la wiki moja lililoandaliwa mjini Mombasa na Alliance Francaise ya Mombasa chini ya Ufadhili wa Ufaransa. Katika makala haya utapata kusikia athari zitokanazo na uchafuzi wa bahari na harakati za kukabiliana nalo.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari za mazingira na changamoto za kisaikolojia

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jul 19, 2021 10:00


Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, hivi leo inaangazia namna majanga ya kimazingira yanachangia watu kwenye jamii kupata changamoto za kisaikolojia na namna mamlaka zinaweza kutoa msaada.

dunia makala yako mazingira kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Mchango wa asasi za kiraia katika utunzaji wa Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jul 12, 2021 9:57


Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho, inaangazia mchango wa mashirika ya kiraia katika utunzaji wa mazingira.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Mchango wa madhehebu ya kidini katika utunzaji wa Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jul 12, 2021 9:54


Makala ya Mazingira Leo Dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia mchango wa madhehebu ya kidini katika utunzaji wa Mazingira.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Siku ya Kimataifa ya Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jun 25, 2021 9:59


Makala ya Mazingira leo Dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mazingira, yaliyofanyika Juni 5.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Matukio ya Volkano na namna wananchi wanaweza kujilinda

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jun 25, 2021 9:16


Makala ya mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia kuhusu mlipuko wa Volkano, chanzo chake na namna ya kukabiliana na milipuko ya baadae.

dunia makala yako mazingira wananchi kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Migogoro ya ardhi na changamoto za kimazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jun 25, 2021 9:46


Makala ya mazingira leo dunia yako kesho, hivi leo inaangazia kuhusu mizozo ya mara kwa mara kwenye jamii za hapa Afrika Mashariki kuhusu ardhi.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Changamoto maji safi na maji taka nchini Kenya

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jun 25, 2021 9:31


Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho, hivi leo inaangazia changamoto ya kimazingira katika upatikanaji wa maji safi na maji taka kwenye miji mbalimbali nchini Kenya.

THE WEEKEND BURNOUT
Season1|Episode 2|Kwani Ni Kesho

THE WEEKEND BURNOUT

Play Episode Listen Later Jun 13, 2021 14:04


On the latest episode of #TheMadHousePodcast The guys talk #BarakJacuzzi 's #TheJuiceBar3

kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Huduma za maji safi na maji taka jijini Nairobi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later May 11, 2021 9:31


Makala ya Mazingira leo dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia changamoto ya upatikanaji wa maji safi jijini Nairobi lakini pia miondombinu ya usafirishaji wa maji taka. Mtayarishaji wa makala haya amezungumza na waziri wa maji na umwagiliaji nchini Kenya, Sicily Kariuki.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Biashara ya mkaa inavyoharibu mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later May 3, 2021 9:55


Biashara ya mkaa ni moja kati ya mambo yanayochangia pakubwa uharibifu wa misitu katika maeneo mengi ya ukanda wa Afrika Mashariki, hii ni kutokana na ukataji wa misitu kwa matumizi ya mkaa. Ripoti iliyotolewa na shirika la  Global initiative against transnational organized crimes, nchi ya Kenya inaongoza katika biashara ya mkaa, nchi zingingine zikiwa Uganda, Sudan Kusini na pia Tanzania.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Madhara ya kutoweka kwa misitu na mabadiliko ya tabia nchi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later May 3, 2021 10:09


Misitu ni uhai, kama ilivyo kwa maji na viumbe hai wengine katika mazingira yetu. Wataalamu wanasema sehemu kubwa ya athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazoshuhudiwa sasa duniani, zimechangiwa na kutoweka kwa misitu kunakotokana na shughuli za binadamu. Nchini Kenya, mamlaka kwenye taifa hilo zinapanga angalau ifikapo mwaka 2022, taifa hilo liwe na ongezeko la kiwango cha asilimia 10 ya misitu, kutoka asilimia 7.2 ya sasa, ambapo itahitaji kupanda miti bilioni 1 na laki 8.

dunia yako tabia nchi mazingira kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Umuhimu wa kuhifadhi misitu ya mikoko

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Apr 28, 2021 10:11


Msitu ya mikoko  inadaiwa kuchangia kuimarisha mazingiza hasa eneo la pwani, ambapo mwandishi wetu Minzlet Ijai ametembelea eneo la pwani ya Kenya na kutangamana na wenyeji kuelewa umuhimu wa mikoko kwa mazingira.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari ya mifuko ya plastic kwa mazingira ya baharini

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Apr 28, 2021 9:57


Uchafuzi wa mazingira unaotokana na mifuko ya plastic ni moja wapo ya  changamoto zinazoathiri pakubwa mazingira ya baharini mbali na kuchangia mabadiliko ya tabia nchi. Kwa mjibu wa twakwimu shirila la umoja wa mataifa kuhusu mazingiza UNEP, zaidi ya plastic millioni tatu zinazolishwa kila mwaka, tani millioni nane za plastic hizo huishia baharini. Minzlet Ijai angazia tatizo hilo kwenye makala haya.

AirGo
Ep 279 - The Mentorship Suite Vol. 5: Kesho Scott, Part II

AirGo

Play Episode Listen Later Apr 22, 2021 70:28


AirGo is excited to present The Mentorship Suite, a series of episodes exploring the joys, contradictions, and radical possibilities of this often fraught term. On this episode, we share Part II of our conversation with Kesho Scott, a former Black Panther, longtime professor of Sociology and American Studies at Grinnell College, and mentor to both Dame and Kiss. The trio talks about their memories of the times that Kesho created some levitation, the deep love and appreciation they have for each other, and the calling and commitment to mentorship that sustains. SHOW NOTES Man’s Search for Meaning by Viktor Frankl - https://www.goodreads.com/book/show/4069.Man_s_Search_for_Meaning Message to the Grass Roots speech by Malcolm X - https://www.youtube.com/watch?v=lY39tp3LEKI SDS - https://en.wikipedia.org/wiki/Students_for_a_Democratic_Society Survived and Punished - https://survivedandpunished.org/ Assata’s Daughters - https://www.assatasdaughters.org/ Become an AirGo Amplifier - airgoradio.com/donate Rate and review AirGo - podcasts.apple.com/us/podcast/airgo/id1016530091

AirGo
Ep 278 - The Mentorship Suite Vol. 4: Kesho Scott, Part I

AirGo

Play Episode Listen Later Apr 15, 2021 61:31


AirGo is excited to present The Mentorship Suite, a series of episodes exploring the joys, contradictions, and radical possibilities of this often fraught term. On this episode, we have the honor and privilege to talk with the person who most directly shaped our commitment to movement, humanity, and liberation: the inimitable Kesho Scott. A former Black Panther and longtime professor of Sociology and American Studies at Grinnell College, Kesho breaks down the stages of mentorship, the foundations of a humanizing mentorship relationship, her own experience being mentored by Grace Lee Boggs and Jimmy Boggs, and so much more. The conversation was too good to cut, so we're dropping the first half this week and will have the second half next week. Levitate with us! SHOW NOTES Grace Lee Boggs - https://www.ucpress.edu/book/9780520272590/the-next-american-revolution Jimmy Boggs - https://www.goodreads.com/book/show/748147.Revolution_And_Evolution_In_The_Twentieth_Century Angela Davis - https://airgoradio.com/airgo/2021/1/14/episode-270-angela-davis Stokely Carmichael - https://snccdigital.org/people/stokely-carmichael/ Walter Rodney - https://www.versobooks.com/books/2785-how-europe-underdeveloped-africa Audre Lorde - https://www.poetryfoundation.org/poets/audre-lorde Exterminate All the Brutes - https://www.hbo.com/exterminate-all-the-brutes Republic of New Afrika - https://en.wikipedia.org/wiki/Republic_of_New_Afrika League of Revolutionary Black Workers - https://www.revolutionaryblackworkers.org/ Gloria Anzaldúa - https://www.poetryfoundation.org/poets/gloria-e-anzaldua Huey Newton - https://www.zinnedproject.org/news/tdih/huey-p-newton-born/ Become an AirGo Amplifier - airgoradio.com/donate Rate and review AirGo - podcasts.apple.com/us/podcast/airgo/id1016530091

Jasusi
Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani

Jasusi

Play Episode Listen Later Mar 13, 2021 10:09


Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Jasusi
Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani

Jasusi

Play Episode Listen Later Mar 13, 2021 10:09


Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani

Habari za UN
Tuzo za kimataifa za  lugha ya Kiswahili za Shaaban Robert kutolewa kesho Tanzania

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 19, 2021 6:00


Nchini Tanzania kesho Jumatano kunatolewa tuzo na nishani za kimataifa za lugha ya Kiswahili za Shaaban Robert. Tukio hilo litafanyika kwenye mji mkuu wa taifa hilo la Afrika Mashariki, Dodoma, ambapo tukio linaleta pamoja washiriki na manguli na wabobezi wa lugha ya Kiswahili kutoka maeneo mbalimbali duniani, na litahusisha pia viongozi waandamizi wa serikali na mashirika ya kitaifa na kimataifa. Lakini tuzo hizo zilianzia wapi? Na ni nini mantiki yake?

Habari za UN
Umoja wa Mataifa ukitimiza miaka 75 na mafanikio iliyoyafikia

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 23, 2020 5:24


Kesho ni siku ya Umoja wa Mataifa, chombo hicho kikitimiza miaka 75 tangu kuanzishwa kwake! Katika mada kwa kina Anold Kayanda anatupitisha safari ya kuanzishwa kwake na zaidi ya yote simulizi ya mtu aliyezaliwa mwaka mmoja na Umoja wa Mataifa, mtu ambaye amewahi kushika nyadhifa ndani ya Umoja wa Mataifa, barani Afrika na ndani ya taifa lake la Tanzania. Kwako Anold!

Becoming More Podcast
Lala Kesho - Bet on yourself

Becoming More Podcast

Play Episode Listen Later Jun 12, 2020 79:50


The fight is not over, just the radio silence.  Today we interview a self-appointed sports connoisseur,  Lala Kesho, who touches on all things Toronto Basketball, Culture, and the importance of betting on yourself.  You can follow her @LalaKesho on IG/Twitter.  You can support Black Lives Matter by following the link: blacklivesmatters.carrd.co Write in to the show with any questions or comments to have them answered live on the podcast at becomingmorepod@gmail.com And as always, thank you all for listening... --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/nelson-thomas/support

Habari za UN
UNEP inafungua wigo wa watu kuchangia mawazo yao kwa nini wanaona hivi sasa ni wakati wa asili-Clara Makenya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 4, 2020 3:47


Kesho ni siku ya mazingira duniani, siku ambayo imekuwa ikiazimishwa tangu mwaka 1974 kila mwaka ifikapo tarehe 5 ya mwezi Juni. Siku hii inazihusisha serikali, wafanyabiashara, watu maarufu na wananchi  katika kuelekeza juhudi zao kwenye masuala yanayohusu mazingira hususni yle yanayotishia ustawi wa mazingira yenyewe na matokeo mabaya ya athari hizo. Mwaka huu wa 2020, kauli mbiu imejikita katika baionwai.


This week on "The Radio Cafe Top 10 Countdown with Christopher Ewing", we've got new music out of the UK by KESHO, and by the band The Wilderness of Canada! "The Radio Cafe Top 10 Countdown" is a hit weekly radio show hosted by Emmy Award winning TV host and producer Christopher Ewing. Each week the show features music and interviews by some of the BEST independent singers and bands from around the world! For more info on any of the artists featured on the show, just go to www.theradiocafe.com! Christopher Ewing's clothes are provided by rue21 - Shop us 24/7 at www.rue21.com! To hear more music by independent singers and bands of all genres from around the world, get the Indie Music Channel app! Available for FREE from Google Play and the iTunes App Store! Plus, be sure to check out music videos of top indie artists from around the world on the Indie Music Channel on Roku!

Radio Sangam Podcasts
Jannat Iqbal Interviews Singer Kesho

Radio Sangam Podcasts

Play Episode Listen Later Jul 27, 2019 12:33


Jannat Iqbal Interviews Singer Kesho on latest release called Fire Love

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Serikali ya Tanzania yawafunga tembo vifaa maalum

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Sep 25, 2018 10:24


Katika makala haya hii leo tunaangazia hatua ya serikali ya Tanzania  kuwafunga Tembo vifaa maalum kwa ajili ya kufuatilia mienendo yao ili kuweza kuwaratibu.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Faida za Biashara Rafiki Wa Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jan 18, 2017 10:29


Hakika msikilizaji wetu utakubaliana naami ya Kwamba Pale popote duniani, uchumi wa wananchi na taifa huimarika kutokana na kushamiri kwa biashara. Iwe inafanywa na sekta binafsi au taasisi.Basi kupitia kipindi cha Mazingira leo,Dunia yako kesho kwa juma hili ingazia juu ya Faida za Biashara Rafiki wa Mazingira katika Utunzaji wa Mazingira yetu katika Nchi zetu za Afrika Mashariki na Kati

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Umuhimu wa Kuhifadhi Misitu

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jan 10, 2017 9:41


Hakika msikilizaji wetu unakubaliana naami ya kwamba Misitu ni Uhai, kwa kutambua umuhimu wa usemi huu makala yetu inagazia kwa mara nyingine juu ya umuhimu wa kuhifadhi misitu lakini vile vile athari za uharibifu wa Misitu  

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Umuhimu wa Madili ya Kutunza Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jan 9, 2017 11:20


Maadili ni miongoni mwa vitu muhimu sana katika ujenzi wa jamii yoyote lile, bila uwepo wa nidhamu ya kutosha jamii yoyote ile haiwezi kuendelea. Maendeleo ya kiuchumi na ustawi wa jamii hauwezi kufikiwa pasipo nidhamu na maadili, Hatuwezi kuwa na jamii yenye mpangilio mzuri pasipo maadili. Basi Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili inagazi juu ya umuhimu wa Madili ya Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu juu Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Nov 26, 2016 10:56


Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi umeanza huko Marrakesh, Morocco, ikiwa ni siku chache tu baada ya kuanza rasmi kutekelezwa kwa mkataba wa Paris kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Ambapo kwenye mkutano huo mada kadhaa zimejadiliwa zikiwamo usaidizi kwa Afrika katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, uhakika wa chakula na nafasi ya jinsia na vijana Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa Juma hili inagazia juu hali ya Mabadiliko ya Tabia Nchi na Athari zake

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Tathmini Fupi ya Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Marrakesh

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Nov 26, 2016 10:12


Viongozi kutoka mataifa mabli mablikutoka ulimwenguni walikutana mjini Marrakech, Morocco katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi COP22.Makala yetu ya mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili itathmini juu ya Mkutano huo uliomalizika mjini Marrakesh nchini Morocco 

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Mwaka 2016 Kuvunja Rekodi ya kuwa Mwaka wenye Joto Zaidi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Nov 26, 2016 10:11


Kwa mujibu wa ripoti ya WMO imeainisha hali ya joto kidunia imeongezeka mara dufu mwaka 2015/2016 kutokana na dunia kukumbwa na kipindi cha El Nino, El Nino ni hali ya kuongezeka kwa joto kwenye mstari wa Ikweta katika bahari ya Pacific, kipindi ambacho kinakadiriwa kuwa hujirudia kila baada ya miaka 5, hali hii ilianza kushuhudiwa katikati ya mwaka huu. Zaidi ya hali ya joto kidunia, viashiria vingine vya mabadiliko ya tabia nchi pia vilionesha kufikia kiwango cha juu, limeonya shirika hili.Kipindi hiki cha Mazingira Leo kwa jumaa hili kitangazia juu ya Chanzo na Athari za ongezeko hilo la Joto kwa Dunia  

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Reporti ya UN ya Namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Nov 1, 2016 10:56


Suala la Mabadiliko ya tabia nchi limekuwa ni miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifa kwa mwaka 2014, Katibu Mkuu Ban Ki- Moon amekuwa mstari wa mbele kupigia upatu suala hili na kuratibu mkutano uliowaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho inagazia juu ya Reporti ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa juu namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi pamoja na kuelezea mikakati inayofanyika katika kukabiliana na janga hilo

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu juu ya Suala la Ukusanyaji Taka katika Mjii wa Nairobi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Oct 18, 2016 10:29


Bila Shaka hakuna asiyefahamu kuwa baadhi ya maeneo mengi ya miji yetu ni machafu na uchafu huo huchangiwa sana na mifuko na chupa za plastiki.Kipindi cha Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili kinangazia juu ya kundi la Vijana la huko Nairobi nchini Kenya ambalo wanaokotoa taka ikiwemo chupa za plastiki,hii ikiwa ni moja ya njia ya kuweka mjii katika hali ya usafi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Changamoto za Mazingira zinazo likabili Ziwa Victoria

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Oct 13, 2016 10:09


Ziwa Victoria lililopo Kanda ya Ziwa ni miongoni mwa vyanzo vikubwa vya maji na maendeleo ya nchi nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki , nyingine kama vile Tanzania Uganda, Rwanda, Burundi, Kenya na Misri inayopata huduma ya maji ya Mto Nile unaoanzia kwenye ziwa hili la kwanza kwa ukubwa barani Afrika na la pili kwa ukubwa duniani. Kipindi cha Mazingira leo Dunia Yako kesho kwa juma hili inagazia juu ya changamoto zinazolikabili ziwa Victoria

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Oct 13, 2016 9:18


Ufugaji wa samaki wa kisasakwenye visima au mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani na Ufugaj huu wa samaki ni sawa kama ilivyo shughuli nyingine yoyote ya kiuchumi inahitaji usimamizi mzuri ili uweze kuwa na faida. Katika makala haya ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili itangazia kwa ujumla kwa juu ya ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia wakati wa kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki wa kisasa 

dunia katika yako fahamu samaki mazingira kesho ufugaji
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Sehemu ya Pili:Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Oct 13, 2016 9:59


Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani kote inchi kama .Niwazi tumeona baadhi ya inchi nyingi zikizidi kuzalisha nafasi nyingi za ajira kwa shughuli hizi pamoja na kukuza kipato cha mhusika mmoja mmoja, jamii flani na taifa kwa ujumla. Katika kuiangalia fursa hii katika sehemu yetu ya pili na ya mwisho ya makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho kwa juma hili tutaangalia juu ya mbinu muhimu za kuzingatia wakati wa kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki wa kisasa 

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Athari za magugu maji kwa Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Sep 22, 2016 10:09


Suala la kupambana na magugu maji katika ziwa Victoria bado ni changamoto, licha ya kuwepo na jitianda mbali mbali za kupambana na magugu maji katika ziwa hilo.Makala ya Mazinigira Leo,Dunia Kasho ingazia juu ya adhaaa ya Magugu maji katika Ziwa Victoria na athari zake kwa mazingira 

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu FaidaUfugaji wa nyuki wa kisasa kwa Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Sep 1, 2016 10:11


Ufugaji wa nyuki wa kisasa unoazingatia matumizi ya vifaa bora ambao huzalisha asali bora lakini pia husaidia katika utunzaji wa Mazingira lakini pia licha ya kusaidia kutunza mazingira, nyuki ni muhimu kwa maisha ya binadamu na viumbe hai vyote, kwani husaidia katika uchavushaji wa mimea.Makala ya Mazingira Leo,Dunia yako Kesho inagazia juu ya faida za Ufugaji wa nyuki wa kisasa katika utunzaji wa Mazingira

dunia makala yako fahamu mazingira kesho ufugaji
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Faida na Athari za Kimazingira zitokanazo na kuhamisha Mji Mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Sep 1, 2016 10:19


Uamuzi wa serikali ya jamhuri wa Mungano wa Tanzania kuhamia mji mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam imezua mjadala miongoni mwa watalaamu wa Masuala ya Mazingira.Basi wakati  ofisi ya Waziri Mkuu ikipanga kuhamia Dodoma mwezi Septemba,Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia yako kesho inagazia juu ya Faida na Athari za Kimazingira kwa mjii wa Dodoma 

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Naama ya Kenya Inavyokabiliana na Hali Mabdiliko ya Tabia Nchi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Aug 16, 2016 10:26


Mabadiliko ya tabia nchi imekuwa miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifaKwa kuona umuhimu wa suala la mabadiliko ya tabia nchi, Serikali ya Kenya Tayari imeanza kuchukuwa hatua za ufuatiliaji, kufanya tathimini na mbinu mbalimbali za kukabiliana na Athari za Mabdiliko ya tabia Nchi,Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho inagazia juu ya hatua serikali ya Kenya inachukuwa katika kukabiliana na hali ya Mabadiliko ya Tabia Nchi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Athari Za Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Viumbe vya baharini na Matumbawe

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Aug 16, 2016 10:25


Wataalamu mbali mbali wa masuala ya wa sayansi ya baharini wamedai ya kwamba n matumbawe katika mwambao wa bahari ya hindi, haswa kisiwani Zanzibar yapo hatari ya kutoweka kutokana na uharibifu mkubwa wa Mazingira unaotokana na shuhuli za kila siku za binadamu Kipindi chetu cha Mazingira Leo inagazia juu ya tahri za Mabadiliko ya Tabia Nchi kwa ustawi wa viumbe vya baharini na matumbawe ambayo ndiyo makaazi makubwa ya samaki 

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Changamoto ya Utiririshaji wa Maji Taka Mjini na Naama ya Kukabiliana Nayo

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jul 26, 2016 10:57


Takwaimu za shirika la Afya Duniani zinaonesha kuwa kila sekunde 20 mtoto huafariki kutokana na kipindu pindi au na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Basi Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho Kwa Juma hili inagazia juu ya jitihada Nchi za Afrika Masharika Na Kati za kutatua tatizo la maji taka na taka ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya kisasa ya kuhifadhi maji taka na kusafisha.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Kilimo cha kijani ( Green house) na Faida zake Kwa Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jul 18, 2016 10:21


Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi katika mataifa mengi katika bara la Afrika,hii ni kutokana na sekta hiyo imekuwa na mchango mkubwa katika kuchangia pato la taifa haswa kupitia mazao ya Biashara Kupitia Makala yetu juma hili tutangazia juu ya Kilimo cha ndani ya nyumba ya kijani ( Green house) naama Teknolojia hii inavyotumika hasa kuikinga mimea usiathiriwe na mazingira haribifu ya hali ya hewa 

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Madhimisho ya Wiki ya 6 ya Maji Barani Afrika

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jul 18, 2016 11:16


Tanzania ni Mwenyeji maadhimisho ya 6 ya wiki ya Maji Barani Afrika na Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Nchi za Afrika Mkutano huo unakutanisha waadu wa masula ya maji zaidi ya 1000 kutoka mataifa mbali mbali mbalini afrika huku Kauli mbiu ya mkutano huo mwaka huu ni Kufikia lengo la maendeleo Endelevu Juu ya usalama wa Maji na usafi wa mazingira” Makala ya Mazingira Leo,Dunia Yako Kesho kwa jumaa hiii inajikita kuangazia juu ya Tija la Kongamano hilo la 10 la maji Barani Afrika,katika kusaidia kukabiliana na chanagamoto za Maji

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Kilimo Hai

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jun 21, 2016 10:40


Kilimo hai au organic farming ni aina ya kilimo ambacho huzigatia matumizi endelevu ya rasilimali za mazao ya kilimo pamoja na mifugo. Kilimo hiki hutumia mara nyingi aina ya mbolea isiyotengenezwa viwandani, na ni aina ya kilimo ambacho huzingatia utunzaji wa mazingira. Makala ya Mazingira Leo,Dunia Yako kesho jumaa hili inangazia juu ya Kilimo Hai na faida zake kwa Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jun 18, 2016 10:14


Athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kiasi kikubwa zinatokana na uharibifu mkubwa wa mazingira, na tayari athari zake zimeanza kujitokeza katika maeneo mbalimbali katika nchi zetu za Afrika Mashariki na Kati. Kipindi chetu cha Mazingira Leo,Dunia Yako inagazia juu ya athari hizo haswa kwa upande wa ongezeko la Joto hali ambayo inatokana na kuharibika kwa tabaka hilo, mionzi mingi zaidi ya jua, huifikia dunia na kurudi angani mara moja kuliko ilivyo kawaida, hali inayosababisha mabadiliko ya tabia nchi yasiotarajiwa, hivyo kusababisha madhara kwa viumbe waishio katika ulimwengu huu.  

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Sheria za Kimataifa za Utunzaji wa Mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jun 18, 2016 9:57


Harakati za kuhifadhi, kulinda na kusimamia kikamilifu utunzaji wa mazingira na matumizi ya rasilimali mbalimbali duniani limekuwa hai sana katika miaka ya karibuni hasa miaka ya 2000 na kuendeleahii ni kutokana na athari za Mazingira ambazo zimedelea kushudiwa. Kufuatia hali hii serikali mbalimbali zikiwemo Afrika Mashariki na Kati zililazimika kuingia katika harakati kubwa za kuleta maboresho au marekebisho mbalimbali ya mifumo, sera na sheria zinazohusu mazingira pamoja na kuhakikisha kuwa wanajamii wanahusika kikamilifu katika suala zima la uhifadhi wa mazingira. Makala ya amazingira Leo Dunia yako Kesho,inagazia juu ya Sheria mbali mbali za Kimatifa

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Athari za Mazingira Zitokanazo na Kuzimwa kwa Simu Feki za Mkononi Tanzania

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jun 18, 2016 10:40


Serikali ya Tanznaaia kupitia Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ilipiga marufuku matumizi ya simu feki za mkononi kuanzia Juni 16 mwaka huu. Hali hii imesababisha Watanzania wengi kulalamikia uamuzi huo wa serikali kupitia mamlaka yake hiyo. Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho inagaziia juu ya athari za simu feki kwa kiafya pamoja na mazingira. 

DISTRIKT
Music Savages - DISTRIKT Podcast - Episode 019

DISTRIKT

Play Episode Listen Later Nov 2, 2011 58:07


"Looking out the booth window at a sea of beautiful people and watching as they all react to the turn of our knobs, or the nod of our hats, or the curves of our smiles will always be an amazing memory - a gift that the hard work, determination and love from the DISTRIKT crew has provided for us. Not only do we fully appreciate the amazing slot we got to play on Tuesday - back to back with an awesome roster of DJs - but we truly enjoyed hanging out with the DISTRIKT crew each day of our burn, and we can't wait for next year. From us - Cameron Angeli, Matthew Derham, and Jake Patrick - and the rest of the Music Savages Camp, thank you, and make sure to embrace your inner sleaze." - Music Savages Track List 1) Tucillio - Mathematics (Original Mix) 2) Dietrich Schoenemann, Tony Rohr - Special (Drumcell Mix) 3) Azari & III - Manic (Original mix) 4) Hermanos Inglesos - Take Me Down (Jan Driver Remix) 5) DJ Assassin - A Face In the Crowd (Intellidred Mix) 6) Lazaro Casanova - I Got This Feeling (Original mix) 7) Inland Knights & Da Sunlounge - Little Bit More (Original Mix) 8) Mark Henning - Collider (Original Mix) 9) Jake Patrick - Dirt Devil (Original mix) 10) Marcin Krupa (aka Kesho) & Martin Nowakowski - I Play Disco At Techno Parties (Sasse Remix) 11) Matador (IE) - Handbagass (Dopamine Remix) 12) Jake Patrick - Juno Jumpsuit (Original Mix) 13) Gene Siewing - Watcha Waitin On (Original Mix) 14) Michal Ho - Knows ft. Luis Mexin (Original Mix) 15) Matthew Dear - Slowdance (Todd Edwards Remix) For more information on the Music Savages visit www.musicsavages.com.