Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!
John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy
Story za Siku: - Drake ajitoa Kwenye tuzo za Grammy - Drake pia kuhudhuria mazishi ya Mbunifu wa Luis Vatton - iOS 15.2 itakuwa inatoa onyo kwa watoto, endapo wakifungua picha ambazo sio nzuri kwa maadili - Snapdragon 8 Gen 1 itatengenezwa na kampuni mbili - Jinsi ya kuzuia vitu vyako visijulikane WhatsApp
Story za Siku: - WizKid ameweka rekodi nyingine katika mziki wake - Lil Wayne matatani kwa kudaiwa kumtishia maisha Bodyguard wake - WhatsApp imeweka sehemu ya kuweka message mpya zote katika Disappearing Mode - Google Chrome imeonekana ina madhaifu makubwa - Emoji bora za Mwaka - YouTube tayari imeficha idadi ya Dislikes - Chip mpya ya simu za Android - Template mpya katika TikTok, Cupcut, Videoleap na KineMaster
Follow up:https://www.instagram.com/octagraphy_https://www.instagram.com/johnjakson_tzhttps://www.instagram.com/itsapolloo
Story za siku - Serikali ya Malawi kumpa Ubalozi wa Bangi Mike Tyson - Mchuani Mkali Tuzo za Grammy Mwaka 2022, Nominations zimetolewa! - Jay Z aweka rekodi Nyingine Kubwa zaidi kwenye muziki wake - Ripoti ya mauzo ya Smartwatch - WhatsApp itaweka uwezo wa kutengeneza Stickers
Follow up:https://www.instagram.com/octagraphy_https://www.instagram.com/johnjakson_tzhttps://www.instagram.com/itsapolloo
Story za Siku: - Squid Game itarekodi Season 2 - Snoop Dogg alivyomuenzi mama yake - Mapya yaliyoibuka katika sakata la Travis Scott - Clubhouse imeweka sehemu ya kurekodi mazungumzo - Meta imebadili taarifa za app zake zote - Windows 7, 8 na 8.1 zitaanza kukosa support - App bora za kamera kwa watumiaji wa Android
Story za Siku: - Travis Scott na undani wa sakata la Vifo vya Mashabiki katika Event ya Astroworld - Chip mpya ya Intel 12Gen Core i9 - Xiaomi imetoa mfumo wa kupooza simu isipate joto - Telegram itaweka matangazo na huduma za kulipia - Muonekano wa Galaxy S22 Ultra umevuja mtandaoni - Update katika app za CapCut, Kinemaster, na TikTok.
Story za siku: - Mambo mazito ya kufahamu katika Interview ya Kanye West - Google Pixel haitakuwa na kamera nzuri kama Google Pixel 6 Pro - iPhone 13 itakuwa na chip ya 4nm - Twitter imeweka uwezo wa kusikiliza Twitter Space bila kuwa na akaunti
Story za Siku - Jay Z amejiunga na kujitoa Instagram ndani ya masaa 24 - Will Smith alitaka kumuua baba yake - Wiz Kid na Tems wamefika kwenye tuzo za SOULTRAIN - Miaka ijayo iPhone na Apple Watch zitakuwa na uwezo wa kutambua kama umepata ajali - Facebook inaondoa mfumo wake wa kutambua sura za picha na video - Uhaba wa Semi-conductors unazipa hasara kampuni za Tech - Instagram na twitter Zimeanza kumaliza bifu ugomvi wao uliodumu kwa miaka 9
Story za Siku: - Kim Kardashian na mahusiano yake mapya. - Wizkid hajapoa, ametangaza kutoa Album mpya hivi karibuni. - Adele ametoa list ya nyimbo za Album yake mpya. - Tesla imeanza kuruhusu aina nyingine za magari kuchaji katika vituo vyake. - Snapchat, Facebook, Twitter na YouTube zimepata hasara ya zaidi ya Dola Bilioni 9.8. - Uhispania imefanikiwa katika Teknolojia ya kuwezesha vipofu kuona.
Story za Siku: - Kauli ya Drake kwa Eminem - Dave Chappelle ameendelea kushikilia msimamo wake - Windows XP imetimiza miaka 10 - WhatsApp imeweka uwezo wa kuhamisha chats kutoka katika simu za iPhone kwenda katika simu za Google Pixel - Instagram imeweka sehemu ya ku-post katika website yake - Facebook imebadili jina la kampuni, Instagram, Facebook, WhatsApp zitakuwa chini ya kampuni ya Meta - Metaverse ni nini?
Story za Siku: - Meek Mill na Kesha Cole wameomba Record Label ziwalipe pesa zao - CK azidi kuvunja rekodi Billboard - Lil Durky amewakataa mashabiki wake - iOS 15.1 imetoka - China kutengeneza - Tesla imefikisha Market Cap ya Dola Trilioni 1 $ - DJI imetoa kamera inaunganishwa na Gimbal - Update za TikTok
Story za Siku: - Album mpya zilizotoka weekend hii - Young Thug amemtaja Drake kuwa ni mtu ambaye yupo Real katika Industry ya mziki - Travis Scott na Don Toliver kwenye stage - Netflix imepata faida kubwa katika Series ya Squid Game - Apple Event - Leo Usiku - Drone zinatumika kusafirisha damu, dawa na viungo vya mwili kuokoa maisha ya wagonjwa.
Story za Siku: - Adele ametoa nyimbo mpya na atatoa Album mpya hivi karibuni - Young Thug, Mac Miller, Coldplay wameachia Album mpya - Mfumo mpya wa Ubuntu 21.10 - Mauzo ya simu duniani Q3 2021 - Twitter kuweka matangazo yatika sehemu ya comments - Canon imetoa lens ya Dual-Fisheye inayoweza kurekodi video za VR
Story za leo: - Tyga amejisalimisha polisi - Wizkid kufunga ndio na manager wake - Nikki Minaj amewachana female rappers wa sasa - Mfumo mpya wa Samsung One UI 4.0 - Snapchat ilikuwa haifanyi kazi - Event mpya ya Apple October 18 - Google TV inaweka uwezo wa kuweka Watchlists na Profiles
Story za siku: - Wizkid na Tems wameingia katika Top 10 ya Billboard - Tyga kwenye kashfa ya kumpiga Ex-girlfriend wake - Instagram inaweka sehemu ya kuonyesha taarifa za matatizo ya kiufundi - iOS 15.0.2 imetoka kwa watumiaji wa iPhone - Redmi inapanga kuwa na mfumo wake - iPad Pro itakuwa na muundo mpya wa Landscape Mode
Story za siku: - YouTube ya R.Kelly imefungiwa - Sir Elton John amemsifia Young Thug katika freestyles - Instagram inaondoa IGTV - Telegram imepata watumiaji wapya Milioni 70 - Windows 11 imetoka rasmi - Google Pixel zinatoka October 19 -
Story za siku: - Justin Beiber amezindua brand ya Cannabis - Utajiri unamkosesha amani Akon - Facebook, Instagram na WhatsApp zilikuwa hazipatikani - Microsoft Office 2021 imetoka - Imefika Miaka 10 tangu Steve Jobs alipofariki - Feature mpya katika app ya KineMaster - Jinsi ya kutumia Mask Effect kwenye Videoleap
Story za leo: - Kanye West amesajili DONDA katika brand za vifaa vya Electronic - Drake na The Weeknd kutengenezewa somo lao nchini Canada - WhatsApp inaweka mabadiliko katika Voice Messages - FaceID katika iPhone 13 itakuwa inaweza kufanya kazi endapo kioo kitabadilishwa - Clubhouse inaweka sehemu ya kurekodi mazungumzo - App inayotumia kamera kufanya hesabu - Ku-edit picha kwenye WhatsApp
Srory za siku: - Davido anatumiza zaidi ya Milioni 100 kulipa DJs wa Marekani - Mafanikio ya Tems katika Mziki - Android 12 itakuwa na uwezo wa kurekodi video katika hali ya hatari - Video ya kwanza kuwekwa YouTube
Story za Siku: - Justin Bieber ameongoza kusikilizwa Spotify Mwezi huu! - Ckay amewapita Wizkid na Tems kwenye Shazam - Figo ya bandio imeonyesha mafanikio makubwa - Facebook imeanza kuweka Reels katika app ya Facebook - Fahamu matatizo ya iPhone 13
Story za Siku: - Ashanti kumiliki Masters zake zote za Muziki! - 21 Savage afunguka kuhusu Funbase ya Drake Atlanta - Mfumo wa Apple wa kuzuia App Tracking haujaweza kuzuia vizuri - Microsoft imeweka uhuru kwa Third Party App Store kuwepo katika Microsoft Store
Story za Siku: - R Kelly amekutwa na hatia - Mahusiano ya The Weeknd na Angelina Jolie - TikTok imefikisha watumiaji Bilioni - Android 2.3 imefungiwa - Spotify inatumia sana charge
Story za Siku: - NBA Young Boy ametoa Album mpya - Jason Derulo ameachana na mpenzi wake
Story za Siku: - Tems amekutana na Rihanna - Nominations katika tuzo za AFRIMA - Picha zilizopigwa na iPhone 13 Pro katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha - Vifaa vipya vya Microsoft
Story za Siku: - Birdman amefunguka kuhusu skendo yake na Lil Wayne - Photographer wa Davido amefariki - J Cole amewataja Rappers anaowakubali - Mabadiliko mengi ya iOS 15 yanakubali katika iPhone za mwaka 2018 na kuendelea tu - Samsung imepata hakimiliki ya aina mpya ya simu ambazo zina uwezo wa kujikunja katika kioo -
Story za siku: - Drake Vs Michael Jackson - Mjengo mpya wa Kanye West - August Alsina kuacha muziki - Features mpya za Telegram - Style mpya ya kufunga Box za iPhone 13 - TouchID itawekwa ndani ya kioo 2023 - Folding iPhone inategemewa itatoka mwaka 2024
Story za leo: - Justin Beiber amefikisha - iOS 15, iPadOS 15 na watchOS 8 zinatoka leo kwa watumiaji wa iPhone, iPads na Apple Watch - RIP Sir Clive Sinclair
Story za Siku - Ikulu ya Marekani imemuita Nick Minaj - Waya wa Internet umeonekana katika ufukwe - Chip mpya ya iPhone - A15 Bionic - Microsoft inapanga kuondoa mfumo wa Password - App za kutambua percentage ya Battery kwa kutumia mfumo wa Sauti #MuchThanks
Story za Siku - Album mpya ya Meek Mill - Kanye West na Kim wapo sawa - Lil Nas X alijibu kuhusu ushawishi wake kwa vijana na watoto - WhatsApp inaweka mfumo wa kuonyesha taarifa za maeneo ya karibu - AMC imeruhusu matumizi ya Bitcoin, Litecoin na Ethereum kutumika katika kununua tiketi za online - Spotify inatumia Dislike button kuboresha mfumo wake
Story za Siku - Album mpya ya Baby Keem - The Melodic Blue - Ariana Grande alikuwa anavamiwa - Rihanna alivaa kutoa ujumbe - iPhone 13 - iPad Gen 9 - iPad mini - Apple Watch Series 7
Story za Siku: - Miaka 25 ya kifo cha 2Pac - iPhone Pro zitakuwa na 1TB - Galaxy Note haitoki mwaka huu - iPhone 13 itakuwa na portrait video - App za Kamera za Video zinazoongoza
Story za Leo: - BET Nominees - Apple Music kuanza kulipa DJ's Mixes - Galaxy S22 haitakuwa na kamera ya 200MP - Rangi mpya za iPhone Pro - Facebook na Ray-Ban zimetengeneza Smart Glasses - Jinsi ya kutumia Simu kama remote katika Smart TV
Story za Siku: - Rihanna amemshtaki baba yake - Travis Scott na Kylie Jenner wanategemea mtoto wa pili - Event ya Apple ya September 14 - LG imetoa aina mpya ya kioo - Gmail itaweka Video na Audio Calls - WhatsApp imeanza kukubali namba moja katika vifaa vinne - App ya kujaribu vitu kabla ya kununua online
Story za Siku: - Kifo cha Michael K. Williams - Diddy ametoa maoni yake kuhusu Album ya Drake na Album ya Kanye West - El Salvador imethibitisha kuanza kutumia Bitcoin kama fedha halali ya malipo - TikTok imezidi kuipita YouTube kwa kuwa na watu wengi wanaotumia muda mwingi kutazama videos - MagSafe Charger mpya - Fahamu kuhusu Megapixel za kamera - Ukipiga picha na watu wengi unaonekana vizuri kuliko picha ya peke yako
Story za Siku: - Battle ya Kanye West na Drake - Album mpya ya Drake - Mercedes-Benz imetambulisha teknolojia ya gari kusoma akili ya dereva - WhatsApp inajaribu kuweka mfumo wa Reactions - Amazon inakaribia kutoa TV zake binafsi - Samsung imetoa sensor mpya ya kamera za 200MP - App 5 Bora ambazo unaweza kutumia katika Video Editing
Story za Siku: - Ukweli wa Bifu ya Kanye West na Drake - Wasanii ambao watakwepo katika Album mpya ya Drake - Instagram ilikuwa na matatizo - Xiaomi imekamilisha usajili wa magari ya umeme - Twitter imeweka sehemu ya Super Follow - Kamera yenye uzito mkubwa
Story za Siku: - Rappers wenye streams Bilioni 3 kwa mwaka huu - Album ya Drake inakaribia - Apple imeweka uwezo wa kuweka Driving License katika iPhone - Google imetambulisha akili bandia inayoweza kuongeza quality ya Picha - Jinsi ya kupata effects za 3D katika TikTok
Story za Siku - Soulja Boy amelalamika kuhusu Album ya DONDA - 21 Savage ameingiza faida kubwa katika Streaming Platforms kuliko shows - China imepunguza muda wa watumiaji wenye umri chini ya miaka 18 kucheza video games - WhatsApp imeweka maboresho mapya katika app ya PC na WhatsApp Web - Samsung Galaxy Watch 4 ina Walkie Talkie - Matumizi ya Kamera katika Google BLESS!!!
Story za Siku: - Album ya Donda imetoka - Drake anakaribia kutoa Album - iPhone itakuwa na uwezo wa mawasiliano ya Satelite - Twitter imeweka uwezo wa kuuza tiketi za Twitter Spaces. - Internet (mtandao) kwa miaka ijayo - Clubhouse imeweka uwezo wa Spatial Audio - App 5 bora za kuedit picture katika App Store na Play Store.
Story za leo: - Mr Eazi ameanzisha mfumo wake wa malipo - PawaPay - Kim Kardashian amegoma kubadili jina - Lil Nas X na Tony Hawk kuhusu kuweka damu zao kwenye bidhaa zao - Instagram kupata comments za "Nah he Twekin" zinazofanana katika posts za Mastaa - FaceID itakuwa inakubali ukivaa Face Mask (Barakoa) - Oppo inataka kutengeneza tablet yake - Google inamlipa Apple ili iwe default search engine katika browser ya Safari.
Story za Siku - Kwanini Drake alimweka Pusha T katika Convo aliyokuwa anamjibu Drake - Rick Ross akielezea kuhusu bifu la Kanye West na Drake - Apple imetimiza miaka 10 chini ya usimamizi wa Tim Cook - Samsung imefungia TV - Xiaomi itaacha kutumia neno la Mi katika brand za simu zake - Facebook kuweka Video Call na Audio Call katika app ya Facebook Bless Up!!!!!
Story za Siku - Bifu la Kanye West na Drake - Lil Uzi amesema Kanye West sio pastor wa ukweli - Album mpya kali za mwaka huu - Instagram inafuta mfumo wa Swipe-Up katika kufungua link katika Insta Stories - TikTok imeweka sehemu maalum kwa creators kuweka AR Effects - iPhone ya mwaka huu itakuwa na size ya tofauti katika Camera hump - Jinsi ya Kutumia simu Usiku Bless up!!!
Story za Siku - Dababy kufanya performance katika event ya Summer Jam - Sakata la Drake na Kanye West - YouTube imefikisha watu Milioni 2 ambao wanalipwa - PayPal imeweka uwezo wa kununua Crypto kwa watumiaji wa Uiengereza - Samsung inafuta matangazo katika mfumo wa simu za Samsung - Jinsi ya Kutumia simu kama Mouse kwenye kompyuta
Story za Siku: - Pete ya Gharama ya Young Thug - Netflix inaweka uwezo wa Spatial Audio kwa watumiaji wa iPhone na iPad - World Photography Day - SharePlay haitakwepo katika iOS15 ikitoka mwezi ujao - Picha ya kwanza ya kiongozi wa nchi
Story za Siku: - Kisa cha Lil Wayne kutaka kujiua - Aina mpya ya Kioo cha Samsung EcoOLED - Google itaacha kuweka charger katika box za simu mpya - Mtunzi wa picha ya kwanza ya Selfie
Story za Siku: - Remix Mpya ya Wiz Kid, Tems na Justin Bieber - Twitter imefanya mabadiliko katika muonekano wake - Hackers wa Crypto wameanza kurudisha Coins zilizoibiwa - Mabadiliko mapya katika Windows 11 - Miaka 25 ya Smartphones duniani - Kamera zilizoweka historia duniani
Story za Leo - Ni kiasi gani cha pesa unatumia ukitoka out - NBA Young Boy anatengeneza Album yake Wakati yupo Gerezani - WhatsApp imeweka uwezo wa kuhamisha chats kutoka Android - iOS - Spotify kuweka uwezo wa ku-download music katika Smartwatch zinazotumia WearOS - Apple imebadili mfumo wake wa kutengeneza kamera za iPhone - Picha yenye likes nyingi Instagram
Story za Siku: - 50 Cent amemtetea DaBaby - WhatsApp inaweka emoji mpya kwa watumiaji wa Android za Zamani - WhatsApp Web itakuwa na uwezo wa ku-edit picha kabla ya kutuma - Robot mpya wa Xiaomi - Simu mpya za Samsung - Historia ya app ya Adobe Photoshop - Mkanda mrefu wa negative kwa matumizi ya picha