Podcasts about singida

Town in Singida Region, Tanzania

  • 12PODCASTS
  • 22EPISODES
  • 32mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Mar 7, 2025LATEST
singida

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Best podcasts about singida

Latest podcast episodes about singida

Habari za UN
Wanawake wajengewa uwezo wa tofauti ya matumizi ya lazima ni muhimu ili kujikwamua kiuchumi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 7, 2025 4:19

Mwaka 1995 huko Beijing, China kwenye mkutano wa nne wa kimataifa wa wanawake lilipitishwa Azimio la Beijing na Mpango wa Utekelezaji, ambalo pamoja na mambo mengine lililenga kusongesha haki za wanawake. Mwaka huu wa 2025 ikiwa ni miaka 30 baadaye, tathmini ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, inaonesha kuwa nchi zimesonga mbele katika usawa wa jinsia na uwezeshaji wanawake, kuanzia kuharamaisha ubaguzi kwenye ajira hadi mipango ya kuhimili tabianchi inayozingatia jinsia. Lakini bado kuna vikwazo vya kijamii, kiuchumi na kisiasa na ndio maana wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake mwaka huu wa 2025 kipaumbele ni kusongesha uwezeshaji, haki na usawa. Ni katika kumulika harakati hizo, Assumpta Massoi anakupeleka Singida nchini Tanzania kwenye maadhimisho yaliyoambatana na ujengeaji uwezo. 

Slovensko dnes, magazín o Slovensku
Správy; Téma dńa; Otec Peter Majerník – slovenský misionár pôsobiaci v Tanzánii; (12.4.2023 17:30)

Slovensko dnes, magazín o Slovensku

Play Episode Listen Later Apr 12, 2023 6:48

Slováci v Tanzánii: Otec Peter Majerník – prvý a zatiaľ jediný slovenský misionár pôsobiaci v tejto africkej krajine. V strede krajine, v diecéze Singida, vybudoval mariánske pútnické miesto, kostol a faru. Hovorí o živote v krajine, ale aj o tom, že Slováci podporujú tamojších obyvateľov a ich aktivity;

Habari za UN
Wanawake wa Dodoma Singida na Zanzibar kunufaika na mradi wa pamoja wa UN

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 12, 2022 0:04

Hii leo Jumatano visiwani Zanzibar nchini Tanzania, mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwemo la Chakula na Kilimo (FAO), Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na kushughulikia masuala ya wanawake, (UN Women) wamezindua programu ya miaka mitano ya kuongeza kasi ya Uwezeshaji wa mradi wa uimarishaji uchumi wa wanawake wa Vijijini. Leah Mushi na taarifa zaidi.   (Taarifa ya Leah Mushi)  Taarifa iliyotolewa hii leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO imeeleza kuwa mradi huo unaofadhiliwa na nchi za Norway na Sweden, utakaogharimu dola za Marekani milioni 5, utawanufaisha zaidi ya wanawake 8,000 wa vijijini katika mikoa ya Singida, Dodoma na Zanzibar kwa kusaidia ustawi wao kupitia mnepo katika sekta ya kilimo.  FAO inaeleza kuwa nchini Tanzania chakula kinazalishwa na wakulima wadogo, huku wanawake wakichangia nguvu kazi kubwa na kupata asilimia 80 ya mapato yao kutokana na kilimo cha kujikimu. Kwa bahati mbaya, ukosefu wa usawa wa kijinsia unaojikita katika mifumo dume ya kibaguzi na kanuni za kijamii huzuia wanawake kupata huduma za ugani za kilimo, masoko, ardhi na huduma rasmi za kifedha.  Akizungumza katika uzinduzi huo, Suleiman Masoud Makame, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Zanzibar amesema, “usawa wa kijinsia ni muhimu katika kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu. Tanzania inatambua hili na imepitisha sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia. Kama serikali tunatambua na kuthamini ushirikiano unaoendelea wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kuunga mkono juhudi zetu za kuendeleza usawa wa kijinsia hasa katika sekta ya kilimo. Mpango huu wa pamoja wa FAO, IFAD, WFP na UN Women ni onesho la uungwaji mkono huu unaoendelea.”  Kwa niaba ya mashirika ya utekelezaji wa mradi huo, Sarah Gordon-Gibson, Mkurugenzi na Mwakilishi wa WFP nchini Tanzania amesema, “uzinduzi wa mpango huu wa pamoja umekuja wakati muafaka kwani unakuja wakati sekta ya kilimo inakabiliwa na changamoto lukuki. Ushirikiano kati ya mashirika manne ya Umoja wa Mataifa - FAO, IFAD, WFP na UN Women, unaleta pamoja utaalamu wa wataalamu wa kilimo, maendeleo ya vijijini na jinsia ambayo ni muhimu katika kutatua changamoto na kujenga uwezo wa kustahimili. Wakati wa kuchukua hatua ni sasa.”  Naye Mkurugenzi Mtendaji wa UN Women, Sima Bahous amesema, “ni wazi kuwa wanawake wa vijijini wanakabiliwa na changamoto kadhaa ambazo zinaathiri uwezo wao wa kuongeza tija na kipato chao. Tunahitaji kuongeza uungaji mkono wetu sasa na katika siku zijazo ili kusaidia kukabiliana na changamoto hizi na kusaidia njia za wanawake wa vijijini kufikia maendeleo.”   Programu hiyo itawajengea uwezo wanawake katika kilimo bora kinachoendana na tabianchi ili kukabiliana na changamoto za majanga ya tabia nchi ambayo yanaathiri kwa kiasi kikubwa wanawake kutokana na upungufu wa upatikanaji wa rasilimali za kilimo, ukosefu wa mamlaka ya kufanya maamuzi na mikakati dhaifu ya kukabiliana na hali hiyo.  FAO inaeleza kuwa janga la COVID-19 pia liliathiri sekta ya kilimo na mifumo ya chakula ya ndani kupitia ufikiaji wa soko na kuongezeka kwa gharama za pembejeo. Mradi utatoa uendelezaji biashara, mafunzo ya uongozi na upatikanaji wa masoko kwa vikundi vya kujitegemea, kwa kusaidia Vyama vya Akiba na Mikopo vilivyopo na vipya vya Vijiji ili kusajiliwa rasmi na kupata fedha.  Mradi huo nchini Tanzania ni sehemu ya awamu ya pili ya programu ya kimataifa inayotekelezwa pia katika nchi za Nepal, Niger, Visiwa vya Pasifiki na Tunisia. Awamu ya kwanza ya programu ilizinduliwa mwaka 2014 nchini Ethiopia, Guatemala, Kyrgyzstan, Liberia, Nepal, Niger na Rwanda.

Slovensko dnes, magazín o Slovensku
Správy; Téma dńa; Otec Peter Majerník – slovenský misionár pôsobiaci v Tanzánii; (28.9.2022 17:30)

Slovensko dnes, magazín o Slovensku

Play Episode Listen Later Sep 28, 2022 27:29

Slováci v Tanzánii: Otec Peter Majerník – prvý a zatiaľ jediný slovenský misionár pôsobiaci v tejto africkej krajine. V strede krajine, v diecéze Singida, vybudoval mariánske pútnické miesto, kostol a faru. Hovorí o živote v krajine, ale aj o tom, že Slováci podporujú tamojších obyvateľov a ich aktivity.

Habari za UN
14 SEPTEMBA 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 14, 2022 12:15

Hii leo katika Habari za UN, Flora Nducha anaanzia na masuala ya elimu, hususan kwa kuzingatia kuwa mkutano wa ngazi ya juu wa viongozi kuhusu marekebisho ya mfumo wa elimu duniani unaanza Ijumaa hii kwenye makao makuu ya UN, New York, Marekani. Suala la watoto wa kike kuenguliwa kwenye hisabati kutokana na kukoseshwa fursa. Halikadhalika suala la haki ya elimu kupaswa kupiganiwa hivi sasa kwa kuwa elimu wanayopata watoto wengi duniani haikidhi mahitaji ya dunia hivi sasa. Makala tunakwenda katikati mwa Tanzania, wilayani Ikungi katika mkoa wa Singida ambako mradi wa umeme wa nishati ya jua kupitia ufadhili wa shirika la mitaji la Umoja wa Mataifa, UNCDF umeanza kuzaa matunda kwa wananchi. Anatamatisha na mashinani na anakupeleka nchini Afghanistan kusikia changamoto za elimu kwa wasichana zilizoletwa na utawala wa Taliban. Karibu!

Habari za UN
Ushirikiano wa UNCDF na wananchi wa Ikungi Tanzania waleta mabadiliko chanya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 14, 2022 4:03

Kuanzia wiki hii viongozi wa ulimwengu wanamiminika jijini New York Marekani kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa kushiriki Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Mambo kadhaa yatajadiliwa ikiwemo amani, haki za binadamu, uchumi na kuilinda sayari dunia dhidi ya uharibifu unaochochea majanga. Ulimwengu tayari umebaini kuwa changamoto zimefungana na hivyo majawabu yanapaswa kutafutwa kwa kushirikiana. Katika maeneo ambayo ushirikiano umefanyika ili kutafuta ufumbuzi wa jambo, matunda yameonekana. Mathalani nchini Tanzania, shirika la mitaji la Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na wananchi wa wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wanaendelea na mradi wa kutatua changamoto ya umeme na maji, masuala mtambuka ambayo yanagusa sekta nyingine kama elimu, afya, uchumi na mazingira.  Mradi wa umeme wa nishati ya jua kupitia ufadhili wa shirika la mitaji la Umoja wa Mataifa, UNCDF umeanza kuzaa matunda kwa wananchi kama anavyosimulia Jongo Sudi wa redio washirika Ruangwa FM. 

MAELEZO PODCASTS
Sikiliza simulizi za Daraja la Sibiti katika mpaka wa Singida-Simiyu!

MAELEZO PODCASTS

Play Episode Listen Later Mar 3, 2022 11:54

Habari za UN
Vijana wajasiriamali wanaotengeneza chaki watumia vyema Tehama

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 19, 2021 1:53

Nchini Tanzania vijana wajasiriamali katika mkoa wa Singida wameitikia wito wa Umoja wa Mataifa wa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, TEHAMA kama njia mojawapo ya kutekeleza malengo ya maendeleo endelevu, SDG hususan kipengele cha teknolojia cha lengo namba 17 la kuimarisha mbinu za utekelezaji wa malengo na kuchochea ubia wa kimataifa. Miongoni mwa vijana hao ni mjasiriamali Simon Sirillo. “Kwa mfano mimi ninazalisha unga wa jasi au gypsum tunachaka jasi kwa maana kwamba tunatengenza chaki na unga wa mikanda ya kupamba au ujenzi wa  dari za nyumba. Huu ni ubunifu lakini bila kutumia TEHAMA tunaweza kuishia kuzalisha tu na tusifanikiwe. Kwa hiyo teknolojia inatakiwa katika ubunifu wetu tulio nao, kwa maana tunatumia gharama ndogo za uzalishaji na viwanda vyetu ni vidogo. Ili tuweze kwenda mbali zaidi tunahitaji kutumia teknolojia ili kukuza ubunifu wetu na uvumbuzi wetu kwa ujumla.” Kwa hivyo akatoa wito kwa vijana wenzake. “Tuangalie ni kwa namna gani tunaweza kwenda sambamba na TEHAMA. ili tuweze kufanikiwa katika mambo yetu hatupaswi kuicha mbali Teknolojia kwa sababu inatusaidia kutengeneza mizigo yetu, bidhaa zetu, kuzisambaza na kuziuza ndani ya jamii yetu, ndani ya nchi yetu na hata nje ya nchi kwa ujumla.” Lengo namba 17 la SDGs lina mbinu mbalimbali za kuwezesha kufanikisha malengo yote ya maendeleo endelevu na teknolojia ni miongoni mwa mbinu hizo ambapo Umoja wa Mataifa kupitia wavuti wa SDGs unasema teknolojia rahisi na rafiki kwa mazingira “zinawezesha kuchagiza biashara na hivyo kuchangia katika kutokomeza umaskini."

Habari za UN
19 Oktoba 2021

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 19, 2021 14:29

Hii leo ASSUMPTA MASSOI  anakujuza mengi ikiwemo, watu mashuhuri 34 wanapanda mlima Kilimanjaro ili kuchagiza usawa wa chanjo ya COVID-19. Mkataba wa amani Sudan Kusini bado kitendawili kwa wakazi wa Tambura. Na nchini Tanzania vijana wajasiriamali katika mkoa wa Singida wameitikia wito wa Umoja wa Mataifa wa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, TEHAMA kama njia mojawapo ya kutekeleza malengo ya maendeleo endelevu, SDG hususan kipengele cha teknolojia cha lengo namba 17 la kuimarisha mbinu za utekelezaji wa malengo na kuchochea ubia wa kimataifa

MAELEZO PODCASTS
Taarifa ya Wiki ya Msemaji Mkuu wa Serikali Mkoani Singida

MAELEZO PODCASTS

Play Episode Listen Later Sep 26, 2021 96:35

Mkutano wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa na Waandishi wa Habari mkoani Singida, Septemba 26, 2021 #Kaziiendelee

wiki ndg habari serikali mkuu mkutano mkurugenzi septemba singida
America Swahili News Podcast
Jerry Muro | Mkuu wa Wilaya Ya Ikungi-Singida, Tanzania

America Swahili News Podcast

Play Episode Listen Later Jul 16, 2021 19:34

America Swahili News Podcast wameongea na Mkuu wa Wilaya wa Ikungi, Singida-Tanzania. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app Support this podcast: https://anchor.fm/patrick-nhigula/support

Habari za UN
Mikoa mitano Tanzania kunufaika na fedha za IFAD

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 7, 2021 2:34

Takribani dola Laki Nane na Elfu 83 zimetolewa na Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD kwa ajili ya kusaidia wakulima wadogo zaidi ya elfu 6 nchini Tanzania ambao wameathirika na janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 pamoja na nzige wavamizi. Wakulima hao ni kutoka mikoa ya Dodoma, Njombe, Singida, Simiyu na Unguja. Taarifa ya Leah Mushi (Pause)

Habari za UN
Kiwanda cha chaki Ikungi Singida ni matunda ya mafunzo niliyopata Restless Development- Simon

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 14, 2020 2:23

Nchini Tanzania, shirika la kiraia la Restless Development limekuwa mstari wa  mbele kuona vijana wanapata stadi mbali mbali muhimu ili hatimaye siyo tu wawe viongozi kwenye jamii zao bali pia waweze kushiriki shughuli za ujasiriamali na kunusuru vijana wenzao kutoka katika lindi la  Umaskini.

Salama Na
Ep. 23 - Salama Na Nizar | RAHA LEO KUCHELE

Salama Na

Play Episode Listen Later Jul 2, 2020 85:54

Wakati Vancouver White Caps wanamtaka Nizar Khalfan baada ya kumuona akiwa anakipiga hapa nyumbani wakati yuko na timu ya Taifa ya Tanzania haikua habari au jambo la kushangaza miungoni mwa wachezaji na walokua wakimuona na kumfahamu mchezaji huyo vizuri. Kila mtu kati ya hao alikua akiomba ki vyake kijana huyu kutoka Kusini mwa Tanzania apate nafasi ya kwenda kuwakilisha Taifa na kuendeleza kipaji chake maridhawa kabisa. Nizar ametokea Mtwara na kwenye familia yake kwa mujibu wa maongezi yetu Mzee wake alikua akiupiga ingawa si mwingi kama wa Master Chef Khalfan maana yeye alianza akiwa mduchu haswa, watu wazima wa mtaani walikua wakimuamini na kumpa namba kwenye karibia kila mchezo. Habari hii haikupokelewa vyema na Mzee wake ambaye alipiga STOP nyendo hizo za mwanaye kitu kilocho sababisha wazee wa mtaa wajipange na kuandamana kwenda kwa Baba yake Nizar kumuombea ruhusa midfielder maestro aachiwe na kwenda kutoa burudani. Kama ilivyokua kwa mzazi yoyote, uzito kwenye maisha ya Nizar ulikua ni elimu zaidi na hapo ndipo Baba yake alipotaka mwanaye apakazie sana. Haikuchukua muda Nizar kuonekana na team nyengine na pia kuitwa kwenye team ya Taifa ya vijana ambako kipaji chake kiling'ara kama mwezi ulotimia. Akatoka team moja kwenda nyengine mpaka safari ya Canada ilipoiva! Haikua rahisi pia kama unavyodhani maana masuala ya visa zaidi ndo yalionekana kuchukua muda mpaka kama Nizar alikata tamaa hivi ila Mungu ni mwema, mzigo ukatoka na safari ya Vancouver ikaanza. Maongezi haya zaidi ni kuhusu huko Canada, mpaka akarudi na kuanzia Yanga ingawa chaguo la kwanza lilikua Simba ila watu walizidiana kete na ujanja na mwisho wa siku kiungo huyo wa kimataifa wa Tanzania aliishia Jangwani kwa miaka kadhaa kabla hajahamia Singida. Mimi nilitaka kujua zaidi hiyo safari na kipi haswa kilimfanya achague Yanga (hii ni personal kidogo ) na challenges alizowahi kupata akiwa ugenini. Maisha baada kurudi nyumbani, mustakabali wa watu kuitwa ‘wazee' wakati bado umri wao unaruhusu kukipiga daraja la juu na maisha yake kama yeye. Mwaka huu Nizar alimpoteza mke wake (Mwenyezi Mungu Amlaze Mahali Pema Peponi) baada ya kuugua si kwa muda mrefu. Nizar atatuelezea kilichotokea, na vile vile kuna challenges kama binadamu wa kawaida alizipitia. Haikua rahisi sana kuongelea kila kitu ila ilikua vyema sana kuongea nae na kujua pia plans zake za mbeleni. Yangu matumaini utaelewa na kujifunza jambo! Love, Salama. Follow: Twitter: http://twitter.com/YahStoneTown Instagram: http://Instagram.com/YahStoneTown Facebook: http://facebook.com/YahStoneTown --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa - Wadatoga na Wamasai wanajivunia Sanaa ya Uimbaji nchini Tanzania

Nyumba ya Sanaa

Play Episode Listen Later Oct 14, 2019 20:01

Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na kikundi cha WADACA kutoka Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania.

Africa Green Collar Project
Sustainable Energy Education & Fostering Mutual Growth: Part 1

Africa Green Collar Project

Play Episode Listen Later Aug 4, 2019 19:36

Part 1! How can young people work to accelerate the Africa’s energy transition towards a sustainable energy future? The answer? Sustainable Energy Education and Fostering Mutual Growth. This month’s podcast showcases the experiences of three students, Christina Merkai (Part 1) and Chloe Coral (Part 2) from Engineers Without Borders (KTH), Sweden and Adam Mwangaila from the University of Dar Es Salaam, Tanzania. They worked together on a project to electricity a school in Singida, Tanzania. Through the podcasts, they share with us their experiences whilst working on the project, we talk about the challenges they faced, the advantages that they had through their collaboration, and they provide us with pointers on what one needs to think about when embarking on such a project! Correction* it is estimated that “according to historical trends about 515 million people will still lack access to electricity by 2030” (Dagnachew, et al., 2018). Check out Christina’s article on phase one of the wind energy project that they did in Tanzania!: https://www.greencollarafrica.org/blog/wind-power-for-tanzania-ewb-kth Manual for building a wind turbine: https://www.scribd.com/book/228828204/2F-Wind-Turbine-Construction-Manual References Dagnachew, A. G., Lucas, P. L., Hof, A. . F. & van Vuuren, D. P., 2018. Opportunities and Challenges in Achieving Universal Electricity Access in Sub-Saharan Africa. [Online] Available at: https://www.oxfordenergy.org/wpcms/wp-content/uploads/2018/09/OEF-115.pdf [Accessed 09 February 2019].

Africa Green Collar Project
Sustainable Energy Education & Fostering Mutual Growth: Part 2

Africa Green Collar Project

Play Episode Listen Later Aug 4, 2019 15:08

Part 2! Chloe Coral & Adam Mwangaila! How can young people work to accelerate the Africa’s energy transition towards a sustainable energy future? The answer? Sustainable Energy Education and Fostering Mutual Growth. This month’s podcast showcases the experiences of three students, Christina Merkai (Part 1) and Chloe Coral (Part 2) from Engineers Without Borders (KTH), Sweden and Adam Mwangaila from the University of Dar Es Salaam, Tanzania. They worked together on a project to electricity a school in Singida, Tanzania. Through the podcasts, they share with us their experiences whilst working on the project, we talk about the challenges they faced, the advantages that they had through their collaboration, and they provide us with pointers on what one needs to think about when embarking on such a project! Correction* it is estimated that “according to historical trends about 515 million people will still lack access to electricity by 2030” (Dagnachew, et al., 2018). Check out Christina’s article on phase one of the wind energy project that they did in Tanzania!: https://www.greencollarafrica.org/blog/wind-power-for-tanzania-ewb-kth Manual for building a wind turbine: https://www.scribd.com/book/228828204/2F-Wind-Turbine-Construction-Manual References Dagnachew, A. G., Lucas, P. L., Hof, A. . F. & van Vuuren, D. P., 2018. Opportunities and Challenges in Achieving Universal Electricity Access in Sub-Saharan Africa. [Online] Available at: www.oxfordenergy.org/wpcms/wp-conte…09/OEF-115.pdf [Accessed 09 February 2019].

New Books in Anthropology
Kristin D. Phillips, "An Ethnography of Hunger: Politics, Subsistence, and the Unpredictable Grace of the Sun" (Indiana UP, 2018)

New Books in Anthropology

Play Episode Listen Later May 9, 2019 72:22

Families in parts of rural Tanzania regularly face periods when they cut back on their meals because their own food stocks are running short and they cannot afford to buy food. Kristin D. Phillips' new book An Ethnography of Hunger: Politics, Subsistence, and the Unpredictable Grace of the Sun (Indiana University Press, 2018) provides a deeply empathetic portrait of rural life in Singida, in central Tanzania. Her study is both a memoir of rural life during a food shortage and a deeply insightful analysis of how subsistence farming and the ongoing threat of hunger structures relationships and politics. Phillips engages the work of prominent analysts of hunger and politics like James Scott, Amartya Sen, and James Ferguson, engaging their insights but also expanding upon them with her recognition of how people build and maintain relationships that protect them as they live in constant vulnerability or precarity. Her study illustrates how this precarity influences people's participation in Tanzania's society by making claims on somewhat impersonal rights as citizens, as opposed to more intimate relations of patronage. Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoices

New Books Network

New Books in Food

New Books in African Studies

New Books in Sociology