Podcasts about matumizi

  • 25PODCASTS
  • 132EPISODES
  • 17mAVG DURATION
  • 1EPISODE EVERY OTHER WEEK
  • Jun 9, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about matumizi

Latest podcast episodes about matumizi

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "MKWARUZO."

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 9, 2026 0:40


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana na matumizi ya neno "MKWARUZO."

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "PEKEPEKE."

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 22, 2026 0:42


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana na matumizi ya neno "PEKEPEKE."

Habari za UN
21 MEI 2026

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 21, 2026 9:59


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo inamulika harakati za kudhibiti mlipuko wa Ebola zinaendelea huko DRC na Uganda. Maafisa wa WHO walipozungumza na waandishi wa habari huko Geneva, Uswisi walitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo chanjo na nini cha kufanya ili jamii iwe kitovu cha udhibiti wa maambukizi.Hadi sasa  Tani 30 za vifaa vya dharura vya kukabiliana na Ebola zimewasili Bunia, mashariki mwa DRC, ndani ya siku nne kwa msaada wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa MONUSCO. Vifaa hivyo ni pamoja na dawa, vifaa vya maabara, PPE na mahema ya kuhudumia wagonjwa. Wakati huo huo MONUSCO inaendelea kuelimisha wananchi kuhusu njia za kujikinga, huku WHO ikisema zaidi ya watu 600 wanashukiwa kuwa na Ebola na vifo 139 vinavyohusishwa na ugonjwa huo vimeripotiwa tangu mlipuko huo kuanza.Tukisalia na Ebola, Ili vifaa vya Ebola vifike kwa wakati, wako mashujaa nyuma ya pazia wanaohakikisha kila mzigo unasafiri salama. Miongoni mwao ni Milton Oloo, mwenye miaka 30 ya uzoefu wa kupakia mizigo JKIA nchini Kenya, ambaye sasa yuko mstari wa mbele kusaidia safari za ndege za Umoja wa Mataifa, UNHAS. “Tunachokifanya hapa leo ni kuhakikisha kwamba mizigo inayoelekea Congo DRC imepangwa vizuri na kupakiwa ipasavyo ili isiharibike. Pia naona fahari na Maisha ya watu yanayookolewa  nafurahi”.Na jukwaa la 13 la miji dunini WUF13 linaelekea ukingoni Baku Azerbaijan likijadili changamoto ya makazi duniani, Rehema Kishoa kutoka Tanzania Mkurugenzi Msaidizi wa Uzingatiaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi kutoka Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya ardhi anasema wao wamechukua hatua kukabili changamoto hiyo.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo mchambuzi wetu ni Dkt. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali “Kware hutetemekea majanini.”Mwenyeji wako ni Rashid Malekela, karibu!

SBS Swahili - SBS Swahili
Makala leo:Akiba dhidi ya matumizi: Chalmers anasema bajeti ijayo ni 'yenye uwajibikaji zaidi'

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 6, 2026 11:14


Mweka Hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ameahidi kutoa bajeti inayowajibika zaidi, lakini akiba inayotarajiwa katika kila wizara.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari: Akiba itazidi matumizi na kodi katika bajeti ijayo Mweka Hazina aeleza taifa

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 4, 2026 4:47


Mweka Hazina Jim Chalmers amesema bajeti ya shirikisho ya wiki ijayo itakuwa na kikomo chake kikubwa zaidi, wakati akiba ikitarajiwa kuzidi mabadiliko ya matumizi na kodi.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "UNYUMBA"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 21, 2026 0:52


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii leo Mtaalam wetu Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana na matumizi ya neno "UNYUMBA" 

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "GIDA."

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 31, 2026 1:12


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana na matumizi ya neno "GIDA."

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa matumizi ya viungo kwenye chakula march 22 2026

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Mar 21, 2026 20:00


Ni jumapili nyingine tunakutana katika makala Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupelekea visiwani Zanzibar kuangazia utamtuni wa matumizi ya viungo kwenye chakula, kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu sherehe za siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa,  mimi ni Ali Bilali Bienvenue, ama Karibu.  kumbuka pia kutufollow kwenye mitandao ya kijamii @billy_bilali

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Iran Yalifanikiwa Kwa Sababu ya Matumizi ya AI - Akili Unde

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Mar 6, 2026 4:45


Ikiwa hujakuwa ukifuatilia vita vya Marekani pamoja na Israeli dhidi ya Iran, huwenda usijue matukio ya kipekee ambayo yametokea kwenye vita hivi. Kwa mara ya kwanza, akili unde ambayo tunaitumia kila kuchao, ilitumika kufanya mashambulizi dhidi ya Iran. Tazama video hii ujue mengi

iran israelis unde kwa akili marekani mkuu kiongozi matumizi ikiwa
Siha Njema
Madhara ya afya ya akili yanayotokana na matumizi ya kupitiliza ya simu

Siha Njema

Play Episode Listen Later Mar 3, 2026 10:05


Ripoti ya afya akili  duniani ,inaonya kuhusu madhara yanayotokana na matumizi ya simu za mkononi miongoni mwa vijana wenye umri wa kati ya miaka 18 na 34 Katika mataifa ya Afrika ambapo matumizi ya simu hizi huanza kwa kuchelewa ,vijana walionekana kuwa afadhali ikilinganishwa na mataifa kama Finland ambapo watoto huanza kutumia simu katika umri mdogo mno.   Katika mataifa yaliyozingatia maswala ya dini na muunganiko wa familia na jamii walionekana pia kuwa na ahueni.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Matumizi ya mitego ya wadudu inayotumia sola yaboresha parachichi na mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Feb 24, 2026 10:05


Wakulima wa Meru kaskazini mashariki mwa Kenya wanakumbatia matumizi ya mitego ya wadudu inayotumia nishati ya jua ili kukabiliana na false codling moth (FCM), mdudu anayeharibu mazao ya parachichi. Eneo la kaskazi mashariki huzalisha kiwango kikubwa cha parachichi zinazouzwa ulaya na Asia Kupitia teknolojia hii, wakulima  sasa wameanza kupata nafasi katika masoko ya nje....vile vile wamepunguza utegemezi wao kwa viuatilifu vya kemikali,hivyo  kuongeza kipato cha wakulima.

kenya sola meru eac fcm matumizi mazingira
Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "KUNVI"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 3, 2026 0:34


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana na matumizi ya neno "KUNVI"

Radio Maria Tanzania
Fahamu matumizi sahihi ya chumvi na sukari katika lishe

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 3, 2026 52:01


Ungana nami Mtangazaji wako Catherine Kaberege katika kipindi chetu pendwa cha chakula na lishe ambapo leo studio nipo na Bi. Nusura Salum, Afisa Lishe Mtafiti kutoka Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TFNC), akiendelea kutoa ufafanuzi zaidi juu yamatokeo hasi na chanya ya Chumvi na Sukari katika Lishe. L'articolo Fahamu matumizi sahihi ya chumvi na sukari katika lishe proviene da Radio Maria.

bi radio maria katika sukari fahamu matumizi ungana
Radio Maria Tanzania
Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 3, 2026 44:01


Karibu uungane nami mtangazaji wako Happiness Mlelwa katika kipindi chetu pendwa cha Elimu Jamii, hapa studio tupo na Bi Irene Guela kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano huduma kwa wateja  kutoka TANESCO na Bi Catherine Mugoha Muhandisi nishati safi kutoka TANESCO, Wakitupa elimu kuhusu nishati na mita janja kupelekea maendeleo endelevu L'articolo Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu proviene da Radio Maria.

mita janja radio maria karibu umuhimu fahamu maendeleo matumizi mkurugenzi
Habari RFI-Ki
Matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 15

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 30, 2026 9:56


Nchi za magahribi kupitisha sheria za kupiga marufuku mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 15.

australia afrika chini watoto nchi miaka ufaransa matumizi
Habari RFI-Ki
Matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 15

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 30, 2026 9:56


Nchi za magahribi kupitisha sheria za kupiga marufuku mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 15.

australia afrika chini watoto nchi miaka ufaransa matumizi
Habari za UN
Udadavuzi: Fahamu taratibu za matumizi ya nguvu za kijeshi dhidi ya nchi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 6, 2026 6:36


Miaka 80 iliyopita baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, mataifa 50 yalikutana huko San Francisco hapa nchini Marekani na kupitisha Chata iliyoanzisha Umoja wa Mataifa. Miongoni mwa malengo ni kuzuia vita na kujenga uhusiano mwema baina ya mataifa. Mathalani kuepusha nchi moja kuvamia nchi nyingine na kulinda haki za binadamu. Leo hii Chata hiyo imeendelea kusiginwa na kilichoibua mjadala zaidi ni tukio la Januari 3 la Vikosi Maalum vya Marekani kuingia Venezuela na kumtwaa Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro pamoja na mkewe kwa madai ya kwamba wanatakiwa wajibu tuhuma nchini MArekani za uhalifu mkubwa ikiwemo usafirishaji wa dawa za kulevya. Je Chata hiyo inasema nini? Assumpta Massoi na Rashid Malekela wanapitia baadhi ya vifungu pamoja na yaliyojiri baada ya hatua ya Marekani.

san francisco venezuela dunia nicolas maduro pili rais chata umoja makala nchi miaka nguvu mataifa fahamu marekani matumizi miongoni
Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Matumizi ya neno "KUKANIA"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 6, 2026 1:03


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo, Mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Anatuelimisha namna ya matumizi ya neno "KUKANIA"

Gurudumu la Uchumi
Sherehe za mwisho wa mwaka zisikuache bila pesa, fahamu mbinu za kudhibiti matumizi yako.

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Dec 24, 2025 10:00


Tunapofika mwisho wa mwaka, jamii huingia katika kipindi cha sikukuu kama krismasi na mwaka mpya, ni wakati wa furaha, sherehe na kukutana na familia, lakini pia ni kipindi ambacho matumizi ya fedha huongezeka, watu wengi hujikuta wakitumia zaidi ya uwezo wao na mipango kusimama, tunajadili namna gani unaweza kuwa na nidhamu ya matumizi ya mwisho wa mwaka iwe kwa muajiriwa, mjasiriamali au mfanyabiashara.

bila pesa eac yako mwaka fahamu matumizi sherehe
Gurudumu la Uchumi
Sherehe za mwisho wa mwaka zisikuache bila pesa, fahamu mbinu za kudhibiti matumizi yako.

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Dec 24, 2025 10:00


Tunapofika mwisho wa mwaka, jamii huingia katika kipindi cha sikukuu kama krismasi na mwaka mpya, ni wakati wa furaha, sherehe na kukutana na familia, lakini pia ni kipindi ambacho matumizi ya fedha huongezeka, watu wengi hujikuta wakitumia zaidi ya uwezo wao na mipango kusimama, tunajadili namna gani unaweza kuwa na nidhamu ya matumizi ya mwisho wa mwaka iwe kwa muajiriwa, mjasiriamali au mfanyabiashara.

bila pesa eac yako mwaka fahamu matumizi sherehe
Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana na matumizi ya neno "UPUNGUFU"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 18, 2025 0:57


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana na matumizi ya neno "UPUNGUFU"

Siha Njema
Yafahamu makundi tofauti ya mafuta ya kula,ubora ,madhara na matumizi yake.

Siha Njema

Play Episode Listen Later Oct 15, 2025 9:54


Kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni, mboga hadi kanola, parachichi hadi mafuta ya wanyama maswali yameibuka kuhusu tunajuaje yapi mazuri ya kutumia, na ikiwa tunapaswa kuepuka yoyote yale kabisa Watalaam wa afya wanahoji mafuta ni kiungo muhimu katika mwili wa binadaam kwa  kuwa huchangia madini muhimu na pia husaidia utendakazi wa viungo muhimu mwilini. Hata hivyo wanashauri mafuta kutumika kwa kiasi ili kuzuia mwili kujilimbikizia mafuta  haswa ya Cholestrol ambayo yanaweza kusababisha mishipa ya kupitisha damu kuziba ,kusababisha saratani,shinikizo la damu na magonjwa ya moyo Katika orodha ya mafuta,kuna mafuta yanayotokana na mimea ,wanyama na yale yanayozalisha viwandani maarufu kama Trans Fats Maamuzi ya kutumia mafuta gani ,hata hivyo yanategemea ubora wake ,kazi ya mafuta na mapishi ya mtu Mafuta ya wanyama japo ni asilia yanapaswa kutumika kwa kiasi kidogo mno . Mafuta ya uto haswa ya mimea ni mazuri ila yanaweza kuharibika ikiwa utachanganyika na hewa ya oksijeni  au yanapotumika kwa kurudiwa rudiwa.

kula hata katika afya yake cholestrol matumizi ubora
Habari za UN
Gaza - Matumizi ya plastiki kama nishati ya kupikia yasababisha kuenea kwa magonjwa ya kupumua

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 1, 2025 2:49


Huko Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel wanawake katika eneo la Deir al- Balah wanalazimika kutumia majiko ambayo wanachochea taka za plastiki na makaratasi ili kupota moto wa kuweza kupikia chakula. Hali hiyo imesababisha kuenea kwa magonjwa ya kupumua kama vile numonia na pumu. Tuungane na Leah anayetujuza zaidi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Matumizi ya teknolojia katika utabiriwa hali ya hewa jijini Dar

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Aug 26, 2025 9:54


tanzania katika hewa matumizi teknolojia
Radio Maria Tanzania
Zifahamu chunguzi na tathimini katika utegemezi wa matumizi ya dawa za kulevya

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Aug 6, 2025 54:33


Msikilizaji mpendwa karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi Cha Uraibu, ambacho huandaliwa na kuletwa kwetu na Padre Richard Matanda Tesha Kutoka Jimbo Katoliki Moshi, katika kipindi hiki Padre Matanda amezungumzia juu ya “Uchunguzi na tathimini katika utegemezi wa matumizi ya dawa za kulevya”. Karibu kwa Elimu zaidi. L'articolo Zifahamu chunguzi na tathimini katika utegemezi wa matumizi ya dawa za kulevya proviene da Radio Maria.

Habari RFI-Ki
Majadiliano ya Geneva kuhusu hatua za kukabiliana na matumizi ya plastiki

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 6, 2025 10:04


Wawakilishi kutoka kote duniani wanakutana, wako Geneva, kujadili hatua za mwisho za kukabiliana na matumizi ya bidhaa za plastiki ambazo zimeendelea kuharibu mazingira.Tumemuuliza msikilizani ni njia zipi mbadala zitumike badala ya bidhaa za plastiki na anafikiri ni kwa nini nchi hazitaki kuachana na matumizi ya mifuko ya Plastiki.

kenya afrika drc eac hatua matumizi
Habari RFI-Ki
Majadiliano ya Geneva kuhusu hatua za kukabiliana na matumizi ya plastiki

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 6, 2025 10:04


Wawakilishi kutoka kote duniani wanakutana, wako Geneva, kujadili hatua za mwisho za kukabiliana na matumizi ya bidhaa za plastiki ambazo zimeendelea kuharibu mazingira.Tumemuuliza msikilizani ni njia zipi mbadala zitumike badala ya bidhaa za plastiki na anafikiri ni kwa nini nchi hazitaki kuachana na matumizi ya mifuko ya Plastiki.

kenya afrika drc eac hatua matumizi
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Matumizi ya viuatilifu au viuadudu na madhara kwa mazingira

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jul 1, 2025 10:12


Hatua ya serikali ya Kenya kuoiga marufuku matumizi ya takriban viuatilifu au dawa za kuua wadudu takriban 77 kutokana na hofu ya usalama wa dawa hizo kwa mazingira na afya ya binadamu. Baadhi ya viuatilifu vimepigwa marufuku katika soko la kimataifa, kuanzia baranai ulaya, Australia, marekani na Canada, laini viipo kwenye masoko ya nchi za ukanda.

canada australia kenya hatua baadhi matumizi mazingira
Gurudumu la Uchumi
Mabadiliko ya tabia nchi na matumizi ya teknolojia kwenye kilimo

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Jun 11, 2025 9:49


Wiki hii katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajadili namna teknolojia inaweza kutumika katika kukifanya kilimo kuwa cha kisasa. Tumezungumza na Mhandisi Octavian Lasway, mtaalamu wa masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na umwagiliaji.

wiki eac tabia kwenye nchi matumizi teknolojia
Gurudumu la Uchumi
Mabadiliko ya tabia nchi na matumizi ya teknolojia kwenye kilimo

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Jun 11, 2025 9:49


Wiki hii katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajadili namna teknolojia inaweza kutumika katika kukifanya kilimo kuwa cha kisasa. Tumezungumza na Mhandisi Octavian Lasway, mtaalamu wa masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na umwagiliaji.

wiki eac tabia kwenye nchi matumizi teknolojia
Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Matumizi ya maneno "MKALIMANI NA MFASIRI"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 24, 2025 1:12


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili mtaalam wetu leo ni  Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi  Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua matumizi ya maneno "MKALIMANI NA MFASIRI."

Habari za UN
Uongozi bora na matumizi bora ya rasilimali vitaikomboa Afrika kimaendeleo: Vijana Kenya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 4, 2025 3:22


Majadiliano ya siku mbili yanayofanyika kila mwaka ya será kuhusu maendeleo endelevu. Majadiliano hayo yanayokunja jamvi leo jijini Nairobi Kenya yameandaliwa na Club De Madrid na mwaka huu yakijikita na ufadhili wa maendeleo na kuwaleta pamoja wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wastaafu w anchi na serikali, wadau wa maendeleo na vijana. Stella Vuzo kutoka kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIS Nairobi amepata fursa ya kuzungumza na baadhi ya vijana wanaoshiriki mkutano huo wa club de Madrid je wanasemaje? Ungana nao katika makala hii

Habari za UN
Wanawake wajengewa uwezo wa tofauti ya matumizi ya lazima ni muhimu ili kujikwamua kiuchumi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 7, 2025 4:19


Mwaka 1995 huko Beijing, China kwenye mkutano wa nne wa kimataifa wa wanawake lilipitishwa Azimio la Beijing na Mpango wa Utekelezaji, ambalo pamoja na mambo mengine lililenga kusongesha haki za wanawake. Mwaka huu wa 2025 ikiwa ni miaka 30 baadaye, tathmini ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, inaonesha kuwa nchi zimesonga mbele katika usawa wa jinsia na uwezeshaji wanawake, kuanzia kuharamaisha ubaguzi kwenye ajira hadi mipango ya kuhimili tabianchi inayozingatia jinsia. Lakini bado kuna vikwazo vya kijamii, kiuchumi na kisiasa na ndio maana wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake mwaka huu wa 2025 kipaumbele ni kusongesha uwezeshaji, haki na usawa. Ni katika kumulika harakati hizo, Assumpta Massoi anakupeleka Singida nchini Tanzania kwenye maadhimisho yaliyoambatana na ujengeaji uwezo. 

china beijing tanzania umoja mwaka lakini wanawake mataifa matumizi azimio singida
Radio Maria Tanzania
Fahamu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 5, 2025 58:16


Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Utume wa walei, Mwezeshaji ni Bi. Rose Gerald, Katibu Kamati ya Uinjilishaji, Jimbo Kuu la Dar es salaam, akizungumzia juu ya madhara ya  matumizi ya dawa za kulevya.  L'articolo Fahamu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya. proviene da Radio Maria.

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Msamiati wa Siku

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Feb 18, 2025 0:21


Jua zaidi kuhusu neno "Ukungu", tafsiri yake kwa Kiingereza, maana yake, na jinsi linavyotumika katika sentensi. Huu ni mwongozo rahisi kwa yeyote anayetaka kujifunza au kuboresha Kiswahili chao.

kiswahili siku jua huu matumizi
Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Msamiati wa Siku

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Feb 13, 2025 0:20


Jua hukusu neno "Mlowezi", tafsiri yake kwa Kiingereza, maana yake, na jinsi linavyotumika katika sentensi. Huu ni mwongozo rahisi kwa yeyote anayetaka kujifunza au kuboresha Kiswahili chao.

kiswahili siku jua huu matumizi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Matumizi ya madawa ya kulevya kwa kijana

maisha kijana matumizi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية
Utukufu kwa Mungu, Matumizi ya muda

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Play Episode Listen Later Mar 16, 2024 29:00


Sauti zote ziimbe Utukufu kwa Mungu, Jinsi ya kutumia muda vizuri

muda mungu sauti jinsi matumizi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Matumizi ya mkaa mbadala

maisha kijana matumizi
Habari za UN
Vanessa Nakate: Matumizi ya nishati safi yanasaidia wasichana kusalia shuleni

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 2, 2023 0:02


Balozi mwema wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto UNICEF Vanessa Nakate amefanya ziara nchini Rwanda kujionea namna mradi wa pampu ya kuvutia maji inayotumia nishati ya umeme wa jua au Sola ilivyoleta manufaa kwa wanawake na wasichana barubaru 11,000 waliokuwa wakitembea umbali mrefu kusaka hmaji. Ni Vanessa Nakate Balozi mwema wa UNICEF, raia wa Uganda ambaye pia ni mwanaharakati wa mabadiliko ya tabianchi akiwa Nyagashankara nchini Rwanda alikokwenda kutembelea mradi wa maji ambao hapo awali ulikuwa ukitumia mafuta ya diseli lakini saa unatumia nishati safi ya Sola. Akiwa kijijini hapo Vanessa alikutana na mabinti wawili Adele na Graciela ambao kabla ya mradi huu walikuwa wakitembea umbali mrefu kusaka maji …… na anaeleza kuwa,  “Ilikuwa hatari kwao, tunajua kuwa kwa uwiano, wasichana na wanawake wanaathirika pakubwa na majanga ya tabianchi, kwa hiyo ni muhimu sana kuelewa kuwa tunavyopamba kupata haki kutokana na athari za mabadilko ya tabianchi ni kuwa pia tunapambana kwa haki ya kijinsia.”Vanessa anaikumbusha jamii kuwa wasichana hawana changamoto moja tu ndani ya jamii, utakuja binti ambaye anaathirika na mabadiliko ya tabianchi, huyo huyo anaweza kuacha shule au kukosa masomo hivyo kuleta majawabu mtambuka kunasaidia kutatua changamoto nyingi ndani ya jamii. “Kuwa na mashine ya kuvuta maji inayotumia umeme wa Sola ambao unawarahisishia kupata maji sio tu unasaidia kuhakikisha wasichana wanasalia shuleni lakini pia inawasaidia kuwa na maono ya dunia bora zaidi. “Vanessa anahitimisha kwa kueleza kuwa ili kuhakikisha wanajamii wengi zaidi wananufaika na miradi kama hii ya maji lazima kuwepo na miradi mingi kama hii na hilo litawezekana iwapo watapata uwezeshaji wa kifedha na rasilimani nyingine nah apo wasichana wengi watakuwa wamehakikishiwa kuendelea kusalia shuleni. 

uganda rwanda unicef sola graciela safi umoja maji vanessa nakate kuwa mataifa shirika matumizi
Habari za UN
UNESCO inasema teknolojia itumike kwa manufaa ya mwanadamu na sio kuwa mbadala wake: Ripoti

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 26, 2023 0:03


Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO kuhusu ufuatiliaji wa teknolojia katika elimu GEM 2023 imetaka mifumo ya elimu kote duniani siku zote kuhakikisha kwamba matakwa ya wanaojifunza yanakuwa katika kitovu cha teknolojia na kwamba teknolojia zitumike kusaidia elimu inayotokana na mwingiliano wa binadamu badala ya kulenga kuwa mbadala wake. Ripoti hiyo mwaka 2023 ya GEM inashughulikia matumizi ya teknolojia katika elimu duniani kote kupitia muktadha wa umuhimu, usawa, uthabiti na uendelevu.UNESCO inasema teknolojia inabadilika haraka kuliko inavyowezekana kutathminiwa na bidhaa za teknolojia ya elimu hubadilika kila baada ya miezi 36, kwa wastani huku ushahidi mkubwa ukitoka katika nchi tajiri zaidi.Mathalani ripoti inasema “Nchini Uingereza, asilimia 7 ya makampuni ya teknolojia ya elimu yalikuwa yamefanya majaribio yaliyodhibitiwa bila mpangilio, na asilimia 12 yalikuwa yametumia uthibitishaji wa watu wengine. Pia utafiti uliofanywa kwa walimu na wasimamizi katika majimbo 17 ya Marekani ulmeonyesha kuwa ni asilimia 11 tu waliomba tathimini ya ushahidi kabla ya kupitishwa.Katika miaka 20 iliyopita, wanafunzi, waelimishaji na taasisi wamepitisha na kukumbatia kwa kiasi kikubwa zana za teknolojia ya kidijitali.Audrey Azoulay, mkurugenzi mkuu wa UNESCO anaonya kwamba  "Mapinduzi ya kidijitali yana uwezo usiopimika lakini, kama vile onyo ambavyo limekuwa likitolewa kuhusu jinsi yanavyopaswa kudhibitiwa katika jamii, tahadhari sawa lazima izingatiwe jinsi mapinduzi hayo yanavyotumiwa katika elimu. Matumizi yake lazima yawe kwa ajili ya uzoefu ulioimarishwa wa kujifunza na kwa ajili ya ustawi wa wanafunzi na walimu, si kwa madhara kwao. Matakwa ya mwanafunzi yawe kipaumbele cha kwanza na yawasaidie walimu. Kuunganishwa mtandaoni sio mbadala wa mwingiliano wa wanadamu.”Azoulay amesisitiza kuwa “Kutumia teknolojia kunaweza kuboresha baadhi ya aina za kujifunza katika baadhi ya miktadha. Ripoti hiyo inataja ushahidi unaoonyesha kuwa manufaa ya kujifunza hutoweka ikiwa teknolojia itatumiwa kupita kiasi au kutokuwepo kwa mwalimu aliyehitimu. Kwa mfano, kusambaza kompyuta kwa wanafunzi hakuboreshi hali ya kujifunza ikiwa walimu hawatahusika katika tajriba ya ufundishaji. Simu za rununu shuleni pia zimeonekana kuwa kero katika kujifunza, lakini ni chini ya robo ya nchi tu ndizo zimepiga marufuku matumizi ya simu hizo shuleni.”Duniani kote ripoti imesema idadi ya watu wanaotumia mtandao wa intaneti imeongezeka kutoka asilimia 16 mwaka 2005 hadi asilimia 66 mwaka 2022.

wake gem unesco umoja kwa azoulay katika simu kuwa mataifa marekani matumizi teknolojia ripoti
Habari za UN
Ukatili wa kingono katika mizozo ni jinamizi lililokita mizizi katika pengo la usawa: UN

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 19, 2023 0:03


Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili wa kingono katika mizozo ya vita Umoja wa Mataifa umesenma jinamizi hilo ni janga lililokita mizizi katika kukosekana kwa usawa na kanuni na tamaduni kali za masuala ya kijinsia. Tupate maelezo Zaidi kutoka kwa Flora Nducha(TAARIFA YA FLORA NDICHA)Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo mjini Brussells na New York na mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili wa kingono katika mizozo Pramila Patten na mwakilishi wa Muungano wa Ulaya kwa ajili ya mambo yan je na sera za usalama Josep Borrell wametoa wito wa hatua madhubuti zaidi za kuzuia na kukomesha unyanyasaji wa kingono, na kuendeleza usawa wa kijinsia kama kipaumbele cha kisiasa. Wamesema “Tunasikitishwa na kuongezeka kwa matumizi ya unyanyasaji wa kingono kama mbinu ya kikatili ya vita, mateso, ugaidi na ukandamizaji wa kisiasa, na tishio kwa usalama wa pamoja. Hatari ya kuwa mlengwa wa unyanyasaji wa kingono leo inazidishwa na ukweli kwamba uhalifu huu unaweza pia kuwezeshwa na kukuzwa mtandaoni, kwa kutumia chaneli za kidijitali.”Badala ya kutumika vibaya wamekumbusha kuwa “Wakati huo huo, majukwaa ya kidijitali yanaweza kuwa na jukumu muhimu na kuwa chombo chenye nguvu cha kuboresha usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake na wasichana, na kuchangia katika kujenga uwezo wao wa kustahimili nyakati za shida. Wanaweza pia kusaidia katika kuzuia unyanyasaji wa kingono na kijinsia, na hatua zinazohitajika, kupitia tahadhari za  mapema na kuunganisha waathiriwa na njia za kuwatambulisha kwenye huduma, na kuwezesha kuripoti..”Viongozi hao wameonya kwamba badala ya kuwa msaada kwa waathirika leo hii “Mitandao hiyo inatumika vibaya kusambala kauli za chuki na kuchochea ukatili wa kijinsia na ubaguzi, kwani kauli za chuki za kijinsia zinaendelea kuongezeka kutumika kuwanyamazisha watetezi wa haki za binadamu, na wanaharakati wa kisiasa kwa kuchagiza utekelezaji wa ukatili wa kingono. Katika mazingira yaliyoathiriwa na migogoro, majukwaa ya kidijitali yanatumiwa kusafirisha kiharamu wanawake na wasichana kwa madhumuni ya unyanyasaji wa kingono. Walanguzi wa ngono wanatumia mtandao kama zana ya kuajiri wanawake na haswa Watoto na kutangaza huduma za kinyonyaji.”Wameongeza kuwa na katika mazingira mabaya zaidi wanawake na wasichana wanauzwa mtandaoni kama ilivypoainishwa kwenye maenmeo yanayodhibitiwa na kundi la kigaidi la ISILZaidi ya hayo wamesema “ upotoshaji wa habari kwa makusudi na udhibiti kupitia kampeni za kutoa taarifa potofu unaathiri uwezo wa mataifa kulinda raia na kushughulikia unyanyasaji wa kingono. Matumizi ya intaneti kama silaha katika maeneo yenye migogoro pia huzuia waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono unaohusiana na migogoro kupata taarifa kuhusu huduma za kuokoa maisha na kupata usaidizi wa mtandaoni kama vile usaidizi wa kisaikolojia.”Kwa mantiki hiyo wametoa wito wa kuwa na “Majukwaa salama ya kidijitali yanayotii sheria za kimataifa, ili waathirika wa unyanyasaji wa kingono unaohusiana na migogoro na wale wanaowaunga mkono watumie mifumo hii kupambana na ukwepaji wa sheria na kudai uwajibikaji ulioboreshwa. Ni muhimu kukuza mazingira ya ulinzi mtandaoni na nje ya mtandao, ambayo yanazuia unyanyasaji wa kijinsia na vile vile kuwezesha kuripoti kwa usalama na makuchukuliwa hatua zinazofaa.”Pia wameitaka Jumuiya ipambane kwa Pamoja dhidi ya tishio linaloongezeka kila mara linaloletwa na teknolojia ya kidijitali na kuziba pengo la mgawanyiko wa kidijitali wa kijinsia ili kuruhusu waathiriwa kupata rasilimali na kupambana na ukwepaji wa sheria kwa kuzingatia kujenga usawa wa kijinsia kwa kuzuia na kupambana na unyanyasaji wa kingono katika migogoro.Wamehitimisha ujumbe wao kwa kusema kuwa “Kwa kushughulikia mgawanyiko wa kidijitali wa kijinsia, tunaweza kuunda ulimwengu ambapo wanawake na watoto wanaweza kuishi bila woga na vurugu.”Siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili wa kingono katika mizozo…

Habari za UN
IAEA: Matumizi ya nyuklia katika kuhakikisha jamii inakula chakula kilicho salama

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 2, 2023 0:02


Usalama wa chakula ni suala muhimu kwa afya ya umma na usalama wa chakula duniani, hata hivyo walaji hawawezi kugundua kwa kuona, kuonja au kunusa chakula kisicho salama, na ndio maaana maabara za usalama wa chakula zinazotumia sayansi ya nyuklia kuhakikisha wananchi wanalindwa.Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO linakadiria watu milioni 600 kila mwaka wanapata madhara kutokana na kula chakula kisicho salama, idadi hii ni sawa na mtu mmoja kati ya kila watu 10 au mara mbili ya idadi yote ya wananchi wa Marekani.Usalama wa chakula ina maanisha chakula kinacholiwa linatakiwa kisilete madhara kwa mlaji na pale chakula kinapobainika kuwa si salama basi wataalamu hukataza wananchi kula chakula hicho.Maendeleo ya sayansi yamewezesha nyuklia kutumika katika ukuaji wa chakula na mbogamboga na pia nyuklia hutumika kupima kiasi cha virutubisho vinavyofyonzwa. Swali ni je nyuklia inawezaje kuhakikisha chakula tunachokula ni salama?Na anayejibu ni Carl Blackburn, mtaalamu kutoka kituo cha pamoja cha Mbinu za Nyuklia katika Chakula na Kilimo kinachosimamiwa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la Chakula na Kilimo FAO na la nguzu za Atomiki IAEA.“Kisayansi tuna viwango vya kimataifa vya chakula ambapo tunatoa kikomo kwa vyakula vinavyochafua.Zimewekwa kanuni nzuri za kuanzia uchakataji wa chakula, usindikaji, mpaka uhifadhi wa chakula. Mamlaka ya udhibiti wa chakula kwa kila nchi zinaweka viwango na sheria zinazosaidia usambazaji wa chakula kukidhi viwango vya kimataifa na ni muhimu kwa nchi zote kukidhi viwango hivyo kwa usawa kwani hatutaki viwe kizuizi kwa watu kufanya biashara ya chakula duniani kote.”Zaidi ya nchi 200 zinahusika katika utungaji wa sheria hizo zinazosimamia kuhakikisha chakula kinakuwa salama na IAEA ndio muangalizi wa sheria hizo. Moja ya maabara zinazopima usalama wa chakula kwakutumia nyuklia zipo nchini Botswana, nchi inayofahamika zaidi kwa usambazaji wa nyama duniani kote, Sandy Mookantsa, ni afisa katika maabara ya Kitaifa ya Mifugo ya Botswana na anasema mbali na kupima nyama lakini pia wanasaidia kutoa mafunzo kwa nchi jirani.“Maabara yetu ni ya usalama wa chakula, ilianzishwa mwaka 1989, tunashirikiana na IAEA katika kutujengea uwezo, rasilimali na kiufundi. Kwakupitia IAEA tumeweza kutengeneza mtandao ambapo tumekuwa tukitoa mafunzo kwa wanasayansi kutoka nchini Nigeria, Lesoth, Burundi na Uganda kwakutaja nchi chache tu."

nigeria uganda botswana burundi moja iaea salama zaidi umoja katika afya jamii mataifa maendeleo marekani shirika matumizi mamlaka mashirika
Habari za UN
WHO imetoa onyo kwamba matumizi ya vikoleza utamu visivyo sukari hayapunguzi uzito

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 15, 2023


Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO, hii leo limetoa mwongozo unaoshauri watu wasitumie vikoleza utamu visivyo sukari halisia (NSS) kwa lengo la kupunguza uzito na kuepusha magonjwa yasiyo ya kuambukiza, NCDs.Taarifa ya WHO iliyotolewa leo Geneva, Uswisi inasema mwongozo huo unafuatia mapitio ya ushahidi unaodokeza kwamba kutumia sukari isiyo halisia kwa ajili ya kupunguza uzito hauna manufaa ya muda mrefu katika kupunguza mafuta mwilini miongoni mwa watoto na watu wazima. Sukari hizo zisizo halisia na ambazo zinatumika ni pamoja na aspartame, advantame, cyclamates, neotame, saccharin, sucralose na stevia. Kitu kibaya zaidi ambacho mapitio hayo yamebaini ni kwamba sukari hizo zisizo halisia zinaongeza hatari ya kupata uognjwa wa kisukari aina ya 2, magonjwa ya moyo na vifo miongoni mwa watu wazima. Mkurugenzi wa WHO Idara ya Lishe na Usalama wa Chakula Dkt. Francesco Branca amesema kuacha kutumia sukari ya kawaida na badala yake kutumia sukari zisizo halisia kwa muda mrefu hakusaidii kupunguza uzito. Amesema “watu wanapaswa kufikiria njia mbadala za kupunguza matumizi ya sukari kwa kula vyakula vyenye sukari ya asili kama vile matunda au vinywaji na vyakula visivyo na sukari.” Amesema “vikoleza utamu visivyo na sukari havina lishe yoyote. Watu wapunguze vyakula vitamu kwenye mlo wao tangu utotoni ili kuimarisha afya zao.” WHO inasema pendekezo hilo linahusu watu wote isipokuwa wale wanaougua kisukari. 

umoja nss ncds afya watu kitu sukari mataifa onyo shirika matumizi mkurugenzi
Habari za UN
Matumizi ya maji kwa njia endelevu yahitajika

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 22, 2023 0:01


Ni wakati kufikiria upya jinsi ya kutumia maji kwa njia endelevu na yenye uwiano huku ubunifu katika kilimo ukiwa kitovu cha mipango yote,  amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo, FAO limesema  Qu Dongyu hii leo wakati akizungumza na viongozi na wataalamu wa Afrika kwenye warsha ya kwanza ya kikanda kuhusu mwelekeo wa matumizi ya maji barani Afrika, warsha inayofanyika nchini Zimbabwe.Mkutano huo ni wa siku tatu na leo ikiwa ni ufunguzi ulioleta viongozi wa ngazi ya juu, Bwana Qu amesema Mikakati ya Kitaifa kuhusu mwelekeo wa matumizi yam aji itasaidia kuimarisha mbinu za usimamizi wa maji ambazo ni muhimu katika kutatua changamoto nyingi zinazozingira kwenye matumizi ya maji, na hivyo kusaidia kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu ifikapo mwaka 2030. Amesema maji ni moja ya rasilimali adhimu duniani na ni kitovu cha mafanikio ya ajenda 2030 kwa sababu “maij ni chakula, chakula ni maji, chakula ni uhai. Zaidi ya asilimia 95 ya chakula tunachokula kinazalishwa kutoka ardhini, kutoka kwenye udongo na maji. Lakini bado tunakabiliwa na changamoto kubwa za maji: ukame na uhaba wa maji, mafuriko na uchafuzi wa vyanzo vya maji.” Ametanabaisha kuwa ni dhahiri janga la tabianchi linaongeza ukali wa ukame na mafuriko ambavyo vyote vina madhara kwenye uzalishaji wa chakula. Mkurugenzi Mkuu huyo amesema kilimo kikitumia asilimia 70 ya maji duniani ni lazima sasa kutumia ubunifu kusaka mbinu za matumizi ya maji kwa tija kwa kuwa uzalishaji zaidi unahitaij maji zaidi. Majawabu kama vile usimamizi endelevu wa matumizi ya udongo, kuzuia mvurugano wa matumizi ya maji na pia kuhifadhi tabianchi. 

africa zimbabwe afrika fao zaidi umoja maji lakini njia mataifa shirika mkutano matumizi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Matumizi ya dawa , mjasiliamali wa upambaji

dawa afya matumizi
Habari za UN
Kiu ya kutafuta nishati salama nyumbani ilisababisha kubuni matumizi ya betri chakavu kutengeneza nishati

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 21, 2022 3:23


Kijana Gibson Kawago kutoka Tanzania ambaye ni miongoni mwa vijana 17 walioteuliwa na Umoja wa Mataifa kuwa viongozi vijana wa kusongesha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs amesema atatumia kipindi cha miaka miwili cha nafasi hiyo kusongesha hatua kwa tabianchi ikiwemo kutumia ugunduzi wake kuchakata betri chakavu za kompyuta kutengeneza betri za kuzalisha umeme katika kulinda na kuhifadhi mazingira.   Nina furaha sana kuteuliwa na nitakuwa balozi mwema  Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa akiwa Dar es salaam nchini Tanzania, Gibson amesema amepokea kwa furaha kubwa uteuzi huu akisema, “nina furaha kubwa sana kuweza kuteuliwa na Umoja wa Mataifa kwa kutambua mchango wangu kwenye kutatua matatizo katika jamii hii ninayotoka.  Kijana huyu mwenye umri wa miaka 27 ambaye sasa anamiliki kampuni ya WAGA inayotengeneza betri hizo amesema anaamini kilichomfanya ateuliwe ni kazi yake ya kulinda mazingira na kubuni mbinu za nishati salama.  “Sisi tunajihusisha kuchakata betri za kompyuta mpakato, sasa hivi watu wakibadilisha betri kwenye kompyuta zao wanazitupa na zinachafua mazingira, na mara nyingi zikiingia kwenye udongo huleta madhara kwa afya ya binadamu,” amesema Gibson.  Betri hizo zikiisha umeme huchajiwa kwa sola  Wanachofanya WAGA ni kuchakata hizo betri na kutengeneza kasha la betri ambalo hutumiwa na wananchi wa vijijini kutumia kupata nishati mbadala na wanachaji kwa sola. Betri hiyo hutumika katika kuwasha taa na hata kuwasha televisheni.  Kifuatacho ni nini?  Gibson amesema kipindi cha miaka miwili cha nafasi hiyo ya kijana kiongozi wa kusongesha SDGS, atajitahidi kuwa balozi mzuri kuhakikisha vijana wenzake wanafahamu jinsi gani ya kutunza mazingira na wanajua ni jinsi gani watatafuta fursa tofauti kutatua matatizo katika jamii zao na kuhakikisha wanatunza mazingira yao.  Kifo cha bibi yangu kilinichochea kutafuta jawabu la nishati  Gibson anasema chanzo cha yeye kujikuta kwenye ubunifu huo ni kifo cha bibi yake. “Kuna siku nikiwa kijijini nilikuwa natumia simu yangu kumuonesha bibi picha za  harusi. Katikati betri ikaisha na hatukuwa na umeme. Kesho yake nikasafiri umbali mrefu hadi mjini kupata betri.”  Anasema hata hivyo aliporejea nyumbani alikuta bibi yake amefariki dunia kwa kuwa hali yake ya kiafya haikuwa nzuri.  “Kwa hiyo wakati napata maumivu yale na kuwaza ni watu wangapi wanapata matatizo hayo nje nilipofika Dar es salaam wakati nasoma Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Ufundi, DIT nikaanza kutafiti ni kwa vipi naweza kutengeneza betri inayohifadhi umeme,” amesema Gibson.  Amesema alisaka mafunzo kwenye mtandao na hatimaye akaweza kutambua jinsi ya kuchakata betri chakavu za kompyuta mpakato ili kuzalisha umeme.  Sasa betri zinawasha televisheni na taa vijijini  Kwa mujibu wa Gibson, anatengeneza makasha ya betri kutokana na betri chakavu za Lithium na Ion, na betri.  “Nimeweza kutengeneza betri kubwa ambazo inawezesha mtu wa kijijini kuweza kuwasha televisheni, kuwasha taa zake na kuweza kutumia na ikiisha anaweza kuchaji kwa nishati ya jua au sola. 

SBS Swahili - SBS Swahili
Labor yachukua hatua yakuondoa matumizi ya kadi ya malipo

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 31, 2022 8:21


Serikali ya Albanese ili ahidi kabla ya uchaguzi mkuu kuwa, ita futa matumizi ya malipo ya kadi ya benki yenye utata.

labor albanese kadi hatua serikali matumizi
Habari za UN
Mradi wa UNICEF na wadau wasaidia kuepusha maambukizi ya magonjwa yatokanayo na matumizi ya  maji machafu 

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 5, 2022 2:09


Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa ushirikiano na kituo cha kimarekani cha kudhibiti magonjwa, CDC wamesaidia ujenzi wa tenki za maji kwa ajili ya wakazi wa Kiziba mjini Goma, jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na hivyo kusaidia kuepusha maambukizi ya magonjwa yatokanayo na matumizi ya  maji machafu. 

cdc congo unicef drc goma umoja nyiragongo jamhuri mataifa shirika matumizi kidemokrasia
Habari za UN
Matumizi ya mchanga na changarawe yanapaswa kufikiriwa upya-UNEP

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 26, 2022 2:19


Mchanga na changarawe ni bidhaa muhimu sana na zinazoshika nafasi ya pili zinazotumika zaidi duniani kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP, na hivyo matumizi yake yanapaswa kufikiriwa upya na kwa kina.

unep umoja mataifa matumizi