Podcasts about ubora

  • 15PODCASTS
  • 25EPISODES
  • 43mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Apr 21, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about ubora

Latest podcast episodes about ubora

It's Worth Living
Changing the Mindset ft. Derrick Jones

It's Worth Living

Play Episode Listen Later Apr 21, 2024 36:19


S6.E14 Pete and Ed joined by the CEO & Founder of Ubora to discuss the different intricacies of a true leader and how to become better leaders. Reach Derrick Jones: - Website: www.ubora.org - FB & IG: Ubora Leadership Institute - Email: djones@uborali.org Keep in touch with "It's Worth Living Podcast" on: - IG & Twitter: @itsworthliving1 - via email itsworthliving1@gmail.com - Sean Lyric IG, Twitter: @seanlyric --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/itsworthliving/message Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/itsworthliving/support

Radio Maria Tanzania
Fahamu namna ya kubaini ubora na usalama wa Dawa.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 12, 2024 49:21


Karibu ungane na Ester Magai katika kipindi cha Ijue Afya Yako, Muwezeshaji wetu ni  Nelson  Nyenza, Mtekilojia wa Dawa kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Fransisko Ifakara, leo anazungumzia juu ya namna ya kubaini ubora na usalama wa Dawa. L'articolo Fahamu namna ya kubaini ubora na usalama wa Dawa. proviene da Radio Maria.

Dr Boaz Mkumbo
ubora wa Get Fine Omega 3 Fish Oil

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Sep 20, 2023 0:59


Dr Boaz Mkumbo
Sababu zinazopunguza ubora wa nguvu za kiume

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jun 6, 2023 2:43


Katika Episode hii utajifunza  sababu zinazopelekea upungufu wa nguvu za kiume; upungufu wa nguvu za kiume ni jambo ambalo linaweza kuthibitika  kwa kuzingatia lishe bora. WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/            

nguvu ubora
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Wiki ya kutoa hamasisho juu ya ubora wa hewa, uchafuzi wa hewa.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later May 13, 2023 10:02


wiki hewa mazingira ubora
Relevate Podcast
Nonprofit Spotlight: Ubora Tanzania

Relevate Podcast

Play Episode Listen Later Apr 4, 2023 72:40


The call on my heart to serve in Africa came later in life through my work as a communications consultant for the nonprofit Ubora Tanzania. Ubora (a Swahili word for excellence) serves a rural village in the valley of Mount Kilimanjaro and has for over 20 years now.  In this hope-filled episode, you'll learn more about the beautiful land of Tanzania and her people and the work of Ubora! I also share some personal insight from my visit in 2022. You'll also meet a few of the amazing people of Ubora (on the U.S. side), Dave Burgess, the president, and Emily Weaver, our operations impact manager.   Stay tuned for a future episode to meet our Tanzanian counterparts! For more about UboraTZ, visit: https://UboraTZ.org To listen to Dave's previous episode on the Relevate Podcast: https://relevatepodcast.podbean.com/e/called-to-serve-with-dave-burgess/ Dave and Mary Ann Taylor, who have faithfully served the ministry for decades now, have also share their story on Relevate:  https://relevatepodcast.podbean.com/e/faithful-with-dave-and-mary-ann-taylor/ To learn more about Rena, the host of the Relevate Podcast:  https://rena-olsen.com Asante Sana (thank you very much) for listening and sharing this episode with your friends.   If you'd like to connect to discuss more about Ubora, email:  info@UboraTZ.org

Habari za UN
Wanawake wa Iringa walikuwa na ujuzi, walihitaji tu ubora na soko - Catherine Shembilu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 9, 2022 3:48


Ukosefu wa usawa wa kijinsia, umaskini na kazi zisizo na hadhi ni masuala mtambuka ambayo mara nyingi moja kati ya hayo husababisha jingine hususani miongoni mwa wanawake kote duniani. Umoja wa Mataifa umekuwa ukitoa wito kwa wanajamii popote walipo kwa namna mbalimbali kukata minyororo ya changamoto hizi ili kuwakwamua wanawake ambao wanajikuta wakigubikwa na lindi la umaskini pamoja na kuwa wanashiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii. Kupitia makala hii, Anold Kayanda anamhoji Catherine Shembilu, Mwanzilishi wa Kampuni ya Vikapu Bomba ya nchini Tanzania ambayo kwa lengo la kukata minyororo ya ukosefu wa usawa wa kijinsia na kiuchumi, inasongesha malengo ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu kupitia wanawake watengenezaji wa vikapu vinavyotokana na mimea nyasi aina ya milulu katika mikoa ya Iringa na Njombe. Catherine anaanza kwa kueleza namna alivyoingia katika shughuli hii.

Radio Maria Tanzania
Je!Ubora Wa Magari Ya Shule Unapaswa Kuwa Katika Kiwango Kipi?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jun 30, 2022 55:55


Na Mtangazaji Jackline Mollel Mwakilishi wa Radio Maria Tanzania Jimbo Kuu La Arusha.

Habari za UN
6 Mei 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 6, 2022 12:38


Katika Jarida la Ijumaa Mei 6, 2022 na Leah Mushi Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa, WHO limezindua ripoti ya kwanza kabisa ya kimataifa kuhusu njia ya vitendo, yenye msingi wa ushahidi wa kulinda wagonjwa na wahudumu wa afya wasidhuriwe na maambukizi yanayoweza kuepukika. Kuzuia na Kudhibiti Maambukizi. kupitia taarifa yake iliyotolewa hii leo jijini Geneva, Uswisi, WHO imesema janga la COVID-19 na milipuko mingine mikubwa ya maonjwa ya hivi karibuni imeonesha kiwango ambacho mipangilio ya huduma za afya inaweza kuchangia kuenea kwa maambukizi, kuwadhuru wagonjwa, wahudumu wa afya na wageni, ikiwa tahadhari ya kutosha haitaelekezwa katika kuzuia na kudhibiti maambukizi (IPC). Pia ripoti hiyo mpya inaonesha kuwa pale ambapo usafi mzuri wa mikono na taratibu nyingine za gharama nafuu zinafuatwa, asilimia 70 ya maambukizi hayo yanaweza kuzuilika.  ===================================================================================   Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO, katika ripoti yake ya hali ya bei ya vyakula duniani iliyotolewa mjini Roma, Italia leo, limesema bei za bidhaa za chakula duniani zilipungua mwezi Aprili baada ya kupanda kwa kiwango kikubwa mwezi wa Machi, ushukaji huu ukiongozwa na kushuka kidogo kwa bei ya mafuta ya mboga na nafaka, huku bei ya mchele, nyama, maziwa na sukari ikiongezeka kidogo na matarajio ya biashara ya kimataifa yakififia. Mchumi Mkuu wa FAO Máximo Torero Cullen amesema, "kupungua kidogo kwa bei ni afueni inayokaribishwa, hasa kwa nchi za kipato cha chini zenye upungufu wa chakula, lakini bado bei za vyakula zinasalia kuwa karibu na viwango vya juu vya hivi karibuni, jambo linaloakisi mkwamo wa soko na kuleta changamoto kwa uhakika wa chakula duniani kwa walio hatarini zaidi.”  =====================================================================================  Na Shirika la posta duniani, UPU, limezindua njia ya ziada kwa ajili ya kutoa usaidizi kwa Posta ya Ukraine, (Ukrposhta) kupitia Mfuko wake wa Ubora wa Huduma. Ukrposhta imeendelea kuwasilisha misaada ya kibinadamu, malipo ya pensheni na huduma nyingine za posta katika muda wote wa mzozo huo, licha ya kupoteza maisha na kujeruhiwa kwa wafanyakazi wa posta, pamoja na uharibifu wa mali na miundombinu ya Posta. Taarifa iliyotolewa mjini Bern, Switzerland imemnukuu Mkurugenzi Mkuu wa UPU, Masahiko Metoki akisema, "mshikamano ni kanuni ya msingi ya UPU. Wenzetu katika Ukrposhta wameomba msaada wetu na lazima tujibu ili kuhakikisha watu na jamii zinaendelea kupokea misaada ya kibinadamu na huduma nyingine muhimu zinazotolewa na Posta. Kwa hivyo natoa wito kwa familia yetu ya posta kusaidia wenzetu nchini Ukraine kwa njia yoyote iwezekanayo, ikijumuisha kupitia njia hii mpya.”  =======  Katika mada kwa kina ni kijana aliyegeukia ubunifu baada ya kukosa kazi licha ya kuhitimu kutoka chuo kikuu nchini Tanzania. Katika neno la wiki inachambuliwa methali “KOSA MOJA HALIMWACHI MKE” 

ForTheNation Podcast
Excellence in Every Cup! with Phillip Weisner of UBORA COFFEE - FTN Ep. 10

ForTheNation Podcast

Play Episode Play 35 sec Highlight Listen Later Sep 7, 2021 66:51


In this episode, Mike sits down with Co-Owner of UBORA Coffee to discuss the world of java. UBORA is one of the most celebrated coffee shops in the Augusta area, largely in part due to their amazing coffee line. Coffee is such a widely consumed beverage and is probably one of the most consistent thing in people's lives. Check out this podcast to learn some of the ins and outs of roasting coffee, in addition to learning how to brew consistently great cups of that black gold.I highly recommend that you order some of their coffee for yourself. It's extremely aromatic and always delivers that punch I need to get my day rollin'. Ubora is also the official coffee of ForTheNation Podcast. Use the link below to pick up some of their beans and help support the show!Ubora Coffee: https://uboracoffee.com/collections/coffee?aff=8Are you loving ForTheNation Podcast? We LOVE what we are doing and plan to turn this show into a force of good ForTheNation (see what we did there).  If you want to help keep this content free, please consider making a donation to the podcast. It's through listeners like you that we are able to GROW OUR INFLUENCE & AUDIENCE to reach our ultimate goal; help struggling people reach their dream job.DONATION LINK: https://www.paypal.com/donate?hosted_button_id=K9TPU322AKFWWUbora Coffee Small City Roasted with Big City Flavors. Excellence in every cup. Disclaimer: This post contains affiliate links. If you make a purchase, I may receive a commission at no extra cost to you.Support the show (https://www.paypal.com/donate?hosted_button_id=K9TPU322AKFWW)

SportsCast
VPL: Mbinu zilizotawala katika msimu wa 2020/21

SportsCast

Play Episode Listen Later Jul 24, 2021 61:14


Tumeshuhudia mambo mengi sana katika ligi kuu Tanzania bara lakini sisi SportsCast tumeamua kukuletea uchambuzi wa mbinu zilizotawala katika msimu huu. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mbinu mbalimbali za makocha wa vilabu vya soka katika ligi kuu. Tumeangazia ubora wa wachezaji katika kila nafasi tukianza na magoli kipa hadi washambuliaji wa kati. Tumegusia namna timu mbalimbal zinavyoanza mashambulizi kutokea nyuma kupitia kwa mabeki wao wa kati na mapungufu ya namna hiyo ya kuanzisha mashambulizi. Ubora wa Clatous Chama nao hatujaufumbia macho kwani tumechambua mchango wake katika safu ya kiungo ya Simba na namna timu nyingine zinavyotamani kuwa na kiungo kama yeye. Tumeongelea kwanini mfumo wa 4-2-3-1 umetumika sana katika ligi kuu msimu huu huku tukiangazia kwa undani timu zilizotumia mfumo huo. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09 Jiunge nasi katika mtandao wa Clubhouse: https://www.clubhouse.com/club/sportscast

SportsCast
EURO 2020: Ubora na ufanisi wa mbinu za Makocha katika raundi ya tatu

SportsCast

Play Episode Listen Later Jun 24, 2021 43:40


Raundi ya tatu ya michuano ya EURO 2020 imekua ya kuvutia kutokana na baadhi ya timu kusaka matokeo ili zifuzu katika hatua inayofuata. Makocha wametumia ufundi na mbinu zao ili kuhakikisha timu zao zinapata matokeo wanayohitaji. Mabeki wa kulia kutumika upande wa kushoto, mabeki wa pembeni kucheza kama mabeki wa kati ni kati ya mbinu zilizotumika katika raundi hii. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili ubora na ufanisi wa mbinu zilizotumika na makocha mbalimbali katika raundi ya tatu ya michuano hii. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09 Jiunge nasi katika mtandao wa Clubhouse: https://www.clubhouse.com/club/sportscast

SportsCast
Ubora na Mapungufu ya kila kikosi kuelekea EURO 2020

SportsCast

Play Episode Listen Later Jun 5, 2021 51:08


Vikosi vya timu zinazoshiriki EURO 2020 vimeshathibitishwa na kila kocha ametetea maamuzi yake. Je, unajua ni kwanini makocha wameamua kuita wachezaji fulani na kuwaacha wengine? Tumekuandalia majibu yote hayo. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili ubora wa kila kikosi kuelekea michuano ya EURO 2020. Tumeangazia timu zinazopigiwa upatu kutwaa taji hili kama Ufaransa, Ureno, Ubelgiji, nk. Tumeenda mbali zaidi kwa kuchambua timu ambayo inaweza leta 'Suprise' katika michuano hii kutokana na ubora wa kikosi chao. Pia tumejadili Kukosekana kwa Ramos katika kikosi cha Hispania na sababu ya maamuzi hayo na Thomas Muller na Mats Hummels kujumuishwa katika kikosi cha Ujerumani. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09

SportsCast
Mbinu anazotumia Solksjaer katika safu yake ya ushambuliaji

SportsCast

Play Episode Listen Later Apr 22, 2021 50:35


"Ubora wa kocha ni pamoja na kujua mapungufu yako"- Geoffrey Lea Solksjaer ameonekana kuwa katika safari ya mafanikio tangu alipopata kibarua cha kuinoa Manchester United. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew pamoja na Geoffrey Lea kujadili ubora na mapungufu ya safu ya ushambuliaji katika kikosi cha Manchester United. Tumeangazia pia mchango wa mabeki wa pembeni kama Luke Shaw na Wan Bissaka katika kufanya mashambulizi. Umaridadi wa Marcus Rashford hatukuufumbia macho, tumeangazia maeneo ambayo mchezaji huyu akicheza anakuwa katika kiwango cha juu. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09

Stern Chats : Amazing Stories of the NYU Stern MBA Community
Nyagaka Ongeri: Sustainable Finance, Emerging Markets, and Marathons

Stern Chats : Amazing Stories of the NYU Stern MBA Community

Play Episode Listen Later Apr 6, 2021 43:25


This week, Melanie and Daniel spoke with Nyagaka Ongeri, founder and CEO of Ubora Advisors. Nyagaka talked about his passion for sustainable finance, his work delivering innovative financial solutions to companies in Africa and the Americas, as well as his philosophy on career trajectory, mentorship, and hiring. It was a wonderful conversation that will take listeners around the world, from Israel to New York to Kenya to South Africa. They also talked about Nyagaka's partnership with NYU Stern, including developing a Stern Signature Project as an experiential learning opportunity for current Sternies and hiring Sternies to work at Ubora. Hosted by: Melanie Gonzalez and Daniel Yellin Produced by: Bar Tenenbaum and Daniel Yellin Edited by: PJ Wyderka

Digital Marketing Masters Podcast
137 - Marketing and Process With Belle Niba of African Ubora

Digital Marketing Masters Podcast

Play Episode Listen Later Dec 29, 2020 36:39


Matt speaks with Belle Niba, Executive Director of African Ubora and founder of African Vibes. They talk about the importance of capacity and follow up for marketing, a little bit about the future of tech in Africa, as well as one thing entrepreneurs need to do going into 2021. African Ubora: https://africanubora.com/ African Vibes: https://www.africanvibes.com/ Belle Niba: https://www.belleniba.com/about/ Digital Marketing Masters Podcast: https://hookseo.com/podcast

AskDproS
ASKDPROS - S3E37 - Belle Niba - Entrepreneur (Ubora Marketing)

AskDproS

Play Episode Listen Later Dec 8, 2020 53:44


Askdpros Media had the opportunity to sit with this amazing guest who left Cameroon for America at a young age. Belle Niba was very certain she didn’t want the cooperate America life but wanted her own path. She discovered her WHY, started her own publishing company “African Vibes Magazine” and marketing agency “Ubora Marketing”. Instagram: @belleniba

Relevate Podcast
Faithful with Dave and Mary Ann Taylor

Relevate Podcast

Play Episode Listen Later Jun 29, 2020 67:32


The call to serve as missionaries in a remote village of Tanzania took both Dave and Mary Ann Taylor by surprise.  Learn more about this couple's hope-filled journey and the gifts that have unfolded as a result of their faithfulness. You'll also have a chance to learn more about UboraTZ, a non-profit organization dedicated to serving the once severely impoverished community of Karansi near Mt. Kilimanjaro, where Dave and Mary Ann call home. What has transpired over the 20-year history of Ubora--along with the work of Pastor Wariaeli and SHEFO--is God ordained and a model of transformation for other cross-continental partnerships. To learn more about what God is doing in Tanzania, visit:  www.uboratz.org To connect with Dave and Mary Ann, visit their blog:  https://tztales.wordpress.com/about/ To learn more about the host of the Relevate podcast, Rena Olsen, visit:  https://rena-olsen.com

DV Radio
Frag Out Drag Out - Ubora Coffee Roasters

DV Radio

Play Episode Listen Later Dec 15, 2019 55:39


[NOTE: Check links under description!] On this episode of FODO: We continue on our spotlight on Veteran small business for the holidays. We are joined by Phillip of Ubora Coffee Roasters. Find out why they and DV Radio began their partnership, how the coffee business began, and what makes their coffee incomparable to all others you buy in the store.   Grab DV Radio's Battlegrounds From Ubora Coffee At: http://bit.ly/DVR-BattlegroundCoffee   Wanting To Try Even More Coffees From Ubora Coffee Roasters? https://www.UboraCoffee.com/   SHOW SPONSORS K Bar Soap Co.: WEBSITE: https://kbarsoapco.com/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/kbarsoapcompany/ NFG Vets: WEBSITE: https://nfgvets.org/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/nfgvets1/   **LINKS TO CHECK OUT** DV Radio On Patreon http://bit.ly/2Ji9uFk    DV Radio on MeWe http://bit.ly/DVR-On-MeWe   WE'RE HIRING http://bit.ly/2HaXNhU   Grab the Official Sponsor WTForecast App! Google App Store http://bit.ly/2N41YjB Apple App Store https://apple.co/2LNOGTI   Head To Shooters Express's Website For More Information And Deals! http://bit.ly/CCW-Classes-ShootersExpress DV RADIO PARTNERS, SPONSORS, and AFFILIATES https://hypel.ink/DVR-Sponsors  ALL THINGS DYSFUNCTIONAL https://hypel.ink/WhereIsDV

Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu No 4

Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu

Play Episode Listen Later Feb 18, 2015 51:08


Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu No 4

mungu ubora mwenyezi
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu No 3

Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu

Play Episode Listen Later Feb 18, 2015 51:08


Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu No 3

mungu ubora mwenyezi
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu No 2

Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu

Play Episode Listen Later Feb 18, 2015 51:08


Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu No 2

mungu ubora mwenyezi
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu No 1

Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu

Play Episode Listen Later Feb 18, 2015 51:08


Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu No 1

mungu ubora mwenyezi
Ubora Wa Kupatikana Miezi Mitukufu
Ubora Wa Kupatikana Miezi Mitukufu

Ubora Wa Kupatikana Miezi Mitukufu

Play Episode Listen Later Sep 2, 2014 51:08


Ubora Wa Kupatikana Miezi Mitukufu

ubora
Ubora Wa Elimu Ya Kisheria
Ubora Wa Elimu Ya Kisheria

Ubora Wa Elimu Ya Kisheria

Play Episode Listen Later Feb 3, 2014 51:08


Ubora Wa Elimu Ya Kisheria

elimu ubora