Podcasts about kwale

Place in Kwale County, Kenya

  • 16PODCASTS
  • 36EPISODES
  • 15mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Apr 22, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kwale

Latest podcast episodes about kwale

CruxCasts
Energy Fuels (AMEX:UUUU) - Base Resources Merger Bolsters Rare Earths Strategy

CruxCasts

Play Episode Listen Later Apr 22, 2024 14:49


Interview with Interview with Mark Chalmers, President & CEO of Energy Fuels Inc.Our previous interview: https://www.cruxinvestor.com/posts/energy-fuels-amexuuuu-riding-the-uranium-wave-preparation-for-rare-earths-rebound-5019Recording date: 21st April 2024The recently announced merger between Energy Fuels and Base Resources is a transformative transaction that significantly enhances Energy Fuels' position in the rare earths sector. By acquiring the Toliara heavy mineral sands project in Madagascar, Energy Fuels gains access to a world-class asset with the potential to be a long-life, low-cost source of monazite feedstock for its growing rare earths business.The Toliara project boasts an impressive 1.4 million ton monazite resource, with an additional 800,000 ton inferred resource, making it one of the largest undeveloped deposits globally. Importantly, the monazite is contained within the heavy mineral sands at an average grade of 2%, which is relatively high and should enable low-cost extraction as a byproduct of the titanium and zircon production.Based on the DFS and PFS studies completed by Base Resources, the Toliara project has the potential to produce 22,000 tons of monazite per year over a multi-decade mine life. At full production, this could generate annual EBITDA of $350-400 million, making it a financially robust operation even before considering the rare earths upside.For Energy Fuels, securing access to this large-scale, long-life monazite supply is a key step in its strategy to become a leading global rare earths producer. The company is already in the process of commissioning its Phase 1 rare earths separation circuit at the White Mesa Mill in Utah, which will have the capacity to process 2,500 tons of monazite per year. With the addition of Toliara, Energy Fuels will have enough feedstock to support a much larger Phase 2 and 3 expansion, potentially positioning it as one of the largest non-Chinese rare earths producers.Another benefit of the transaction is the addition of Base Resources' experienced management team and operating expertise. Base has a proven track record of developing and operating heavy mineral sands projects, most notably the Kwale mine in Kenya which has been a consistent cash flow generator. This should help de-risk the development of Toliara and provide valuable knowledge sharing as Energy Fuels ramps up its own rare earths operations.From a macro perspective, the merger also enhances Energy Fuels' geopolitical positioning. With the US and other Western countries increasingly focused on securing critical mineral supply chains outside of China, having a large-scale rare earths project in Madagascar helps diversify global production. Energy Fuels' White Mesa Mill in Utah is the only licensed and operating conventional uranium mill in the US, making it a strategic asset for domestic processing of uranium and rare earths. The combination of US processing capabilities and non-Chinese monazite feedstock should be highly attractive to Western governments and end-users looking to shore up rare earths supplies.Overall, the merger with Base Resources checks a lot of boxes for Energy Fuels. It provides a large, long-life source of low-cost monazite feedstock to fuel the company's rare earths ambitions. It adds geographic diversity and operating expertise in heavy mineral sands. And it enhances the company's positioning as a strategic Western supplier of critical materials. For shareholders, the transaction brings significant rare earths exposure and growth potential, complementing Energy Fuels' existing uranium business. As the world focuses on electrification and decarbonization, Energy Fuels is positioning itself to be a key player in supplying the necessary critical minerals, which should create meaningful value over time.—Learn more: https://cruxinvestor.com/companies/energy-fuelsSign up for Crux Investor: https://cruxinvestor.com

Participate
Learning Through Play: Sustainability Series Part 1

Participate

Play Episode Listen Later Jan 3, 2024 47:28


Welcome to the first episode of a four-part series of Participate podcasts on the topic of sustainability with partners working with the LEGO Foundation's Tech and Play Initiative. Participate is supporting the initiative with an online Community of Practice, Tinkerspace, that brings together a diverse group of partner organizations across the globe dedicated to the Lego Foundation's goal of supporting Learning Through PlayOn Today's episode we talk to the amazing team from The Kenya Play (KPLAY) program whose approach is to integrate Learning Through Play with Technology (LtPT) in Kwale and Kilifi counties of coastal Kenya.

Proactive - Interviews for investors
Base Resources sees improved ilmenite and rutile prices over the quarter

Proactive - Interviews for investors

Play Episode Listen Later Oct 31, 2023 7:03


Base Resources Limited (AIM:BSE, ASX:BSE) CFO Kevin Balloch talks Proactive through the company's September quarter highlights. Prices for ilmenite and rutile improved during the period while zircon prices softened on sluggish demand. Meanwhile, mining at the Kwale operations in Kenya will end in December 2024 with processing to stop shortly thereafter due to limited tailings storage capacity. Activity at Kwale will now turn to detailed closure planning and transition to post-mining land use and progression of its Toliara Project in Madagascar. #ProactiveInvestors #ASX #BSE #ilmenite #rutile #invest #investing #investment #investor #stockmarket #stocks #stock #stockmarketnews

Tattaunawa da Ra'ayin masu saurare
Ra'ayoyin Masu Saurare kan yawaitar hadurran kwale-kwale a Najeriya

Tattaunawa da Ra'ayin masu saurare

Play Episode Listen Later Oct 30, 2023 14:21


A Najeriya, kowace shekara daruruwan mutane ne ke rasa rayukansu sanadiyyar hadurran jiragen ruwa a kan kogunan kasar.   A mafi yawan yankunan da wadannan hadurra ke faruwa, jama'a ba su da wata hanyar gudanar da sufuri face ta jiragen ruwa. Shin wadanne dalilai ne ke haddasa faruwar hadurran jiragen ruwa a Najeriya, shin daukar fasinjoji da kaya fiye da kima ne, ko kuma rashin bin ka'ada? Shin wadannan matakai ne ya kamata a dauka domin samar da tsaro a kan hanyoyi da kuma sufurin ruwa a Najeriya? Ku latsa alamar sauti don sauraren cikakken shirin tare da Murtala Adamu

ku shin masu najeriya kwale
Habari za UN
Mradi wa "Njoo shuleni" nchini Kenya warejesha matumaini kwa familia

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 31, 2023 0:02


Elimu ni moja ya nyenzo zenye nguvu zaidi za kuleta mabadiliko kwa watu binafsi na jamii na ndio maana katika miongo miwili iliyopita, serikali ya Kenya imefanya mageuzi mengi ili elimu ya msingi iwe bure na ya lazima kwa watoto wote walio katika umri wa kwenda shule. Hata hivyo, watoto wengi bado hawako shuleni kutokana na umaskini, miundombinu duni, kutelekezwa na wazazi na matatizo ya kiafya hasa katika maeneo masikini. Sasa shirika la Umoja la kuhudumia watoto UNICEF limeamua kuingilia kati kwa kushirikiana na wadau kusaidia. Flora Nducha na maelezo zaidi.Katika Kaunti ya Dandora jijini Nairobi ambako wakazi wengi ni walala hoi, watoto kwenda shule ni mtihani unaoanzia kwa wazazi kama Wambui Kahiga mama wa Octavia mtoto mwenye umri wa miaka 10.Wambui anasema, “shida zangu kubwa sasa hivi ni chakula, mavazi , kulipa gharama za shule na ghara za kulipia nyumba. Kibarua ninachopata wakati huu ni cha kufua nguo na hakiaminiki kuna wakati napata na kuna wakati nakosa. Najihisi vibaya kwani ingekuwa mapenzi yangu , Octavia angekuwa alianza shule kitambo.”Kwa mujibu wa UNICEF umasikini ndio sababu kubwa inayowafanya wazazi kushindwa kuwapeleka watoto shule na sasa shirika hilo linashirikiana na wakfu wa Elimisha mtoto (EAC) na wanaendesha programu ya elimu zaidi ya yote kupitia mradi wa “Njoo shuleni” ili kuwafikia watoto wote kama Octavia na kuhakikisha wanapata haki ya elimu.Elizabeth Waitha ni afisa elimu wa UNICEF Kenya anasema “mara tunapobaini watoto ambao hawana fursa ya elimu, tunawasajili na tunaweza kuwasaidia na vifaa vya shule ambavyo vinapunguza mzigo kwa wazazi kuweza kuwasaidia watoto wao kwa ajili ya kusoma”.Na hii inaleta faja na matumaini kwa watoto na wazazi kama kwa mama wa Octavia akisema, “Octavia yuko shuleni , na sasa ambavyo anasoma naona maisha yake yatabadilika , yatakuwa maziri hata mimi atakuja kuniinua.”Kwa UNICEF “Elimu ni haki ya msingi ya binadamu na kila mtoto anapaswa na anahitaji fursa ya kupata elimu na uelimishaji mkubwa unahitajika kuhakikisha kwamba kila mtoto anasoma.”Kulingana na takwimu za Educate A Child (EAC) kuna watoto milioni 1.3 wa umri wa kati ya miaka 6 hadi 13 ambao hawasomi nchini Kenya.Mradi huu unafadhiliwa na mfuko kwa ajili ya maendeleo wa serikali ya Qatar na unatekelezwa katika kaunti 16 nchini Kenya ambazo ni Baringo, Bungoma, Garissa, Isiolo, Kajiado, Kilifi, Kwale, Mandera, Marsabit, Narok, Samburu, Tana River, Turkana, Wajir, West Pokot, na katika makazi yasiyo rasmi ya jijini Nairobi.

Siha Njema
Ushirikiano kati ya sekta binafsi na ya umma kuboresha huduma za afya

Siha Njema

Play Episode Listen Later Jul 5, 2023 9:59


Mataifa mengi barani Afrika bado yana changamoto ya kuwahakikishia raia wao huduma za kisasa za afya na ambazo haziwagharimu zaidi Katika makala haya tunaangazia mjadala wa kushirikisha sekta binafsi kuboresha huduma za afya barani Afrika.Aidha tunaangazia mpango wa kupunguza idadi ya vifo vya watoto walio chini ya umri ya miaka mitano kaunti ya Kwale ,Pwani ya Kenya kwa kuorodhesha habari zao muhimu kwa mfumo wa kidijitali tangu wanapozaliwa

Siha Njema
Mchango wa Wakunga katika utoaji huduma za kimsingi kwenye jamii

Siha Njema

Play Episode Listen Later May 9, 2023 10:03


Kila Mei tarehe tano ,ulimwengu huadhimisha siku ya kimataifa ya wakunga Jamii ya Wapemba wanaoishi kaunti ya Kwale ,Pwani ya Kenya kwa kuwa hawana uraia,imekuwa ikitegemea pakubwa huduma za mkunga.

RadioRahma
Ushirikiano unavyosaidia kupambana na mbinu za uvuvi haramu Shimoni-Kwale.

RadioRahma

Play Episode Listen Later Mar 6, 2023 15:56


Makala haya yanazungumzia kuhusu juhudi za mashirika mbalimbali ambayo yamekuja pamoja kukabiliana na uvuvi wa kutumia mbinu haramu katika eneo la Shimoni Kwale. Yametayarishwa na Ruth Keah.

makala kwale
Habari za UN
13 SEPTEMBA 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 13, 2022 11:11


Leo katika Habari za UN ni Mada kwa kina tukikupeleka Vanga Kaunti ya Kwale nchini Kenya ambako kwa miaka nenda miaka rudi sanaa imekuwa ikitumika kuhamasisha masuala mbalimbali yahusuyo jamii hiyo ambayo ni ya wavuvi.  Mashinani tunasikia kauli ya Rais wa Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ,UNGA77 unaoanza rasmi hii leo. Je amepana kufanya nini? Usisahau pia kuna Habari kwa ufupi ikimulika ripoti ya sayansi na tabianchi, Katibu Mkuu wa UN akisema jamii ya kimataifa inaendelea kukaidi na kusababisha madhara makubwa ya mazingira. Kisha ni Somalia na athari za ukame kwa watoto na jamii nzima. Karibu sana na mwenyeji wako ni Flora Nducha.

Habari za UN
29 Juni 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 29, 2022 12:22


Karibu kusikiliza jarida likiletwa kwako na Assumpa Massoi akiangazia Ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO imesema ongezeko kubwa la ufugaji wa samaki sambamba na uvuvi wa kimataifa umesababisha mazao ya vyakula vya majini kuwa kwenye rekodi ya juu katika kuchangia kwa kiasi uhakika wa chakula na lishe katika karne hii ya Ishirini na moja.  Mvuvi aliyehamia kulima mwani nchini Kenya aeleza anavyopata faida zaidi hivi sasa.  Makala ikimulika kauli ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhusu kiswahili kutumika kufundishia katika nchi yake. Na mashinani utamsikia Elvira Alvarado mwanabiolojia wa baharini kutoka taasisi ya Ecomares akieleza harakati za kurejesha matumbawe baharini.

Habari za UN
Mvuvi aliyegeukia kilimo cha Mwani aeleza alivyonufaika

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 29, 2022 2:58


Moja ya malengo ya Mkutano wa bahari unaoendelea Lisbon, Ureno, ni kujadili namna ambavyo dunia inaweza kuendelea kunufaika kiuchumi kutokana na uwepo wa bahari. Ajenda hiyo inakuwa muhimu kwa kuwa tayari ni dhahiri shairi kuwa baharí imekuwa mkombozi wa kiuchumi kwa watu wengi duniani. Mfano wa wazi ni Amiri Juma Amiri, mkazi wa kijiji cha Kibuyuni katika Kaunti ya Kwale huko Pwani ya Kenya, mkulima wa zao la mwani ambalo hulimwa baharini. Taarifa ya Anold Kayanda.  "Mimi katika hii kazi ya mwani nilikuwa siifanyi.Nilikuwa ninafanya kazi ya uvuvi." Huyo ni mzee Amiri Juma Amiri, mkazi wa kijiji cha Kibuyuni katika Kaunti ya Kwale huko Pwani ya Kenya. Wakati Bwana Amiri akifanya shughuli za uvuvi, mkewe alikuwa analima mwani baharini, lakini nguvu zikamtupa mkono, hapo ndipo bwana amirí akaingia kusaidia na amejikuta amekuwa kinara wa kilimo cha mwani.  "Katika wale wakulima ninaweza kusema ni mtu wa kwanza au wa pili kwa ile kulima zaidi."  Bwana Amiri akiwa amesimama si mbali kutoka katika ufukwe wa bahari ya hindi na mkononi akiwa ameshika mimea ya mwani iliyofungwa kwa kamba ambazo huisaidia mimea hiyo kuelea kwenye maji, anasema uvuvi ulikuwa haumlipi kwa kiwango anachofaidika nacho katika ukulima wa mwani,   "Kule baharini katika uvuvi naona mapato yake ni madogo kwa sababu yalikuwa hayakidhi mahitaji yangu katika familia. Ukienda pwani (kuvua samaki) utapata kula, utapata mambo mambo mengine kidogo lakini kuhusu mambo kama ugonjwa, kuhusu mambo ya kusomesha watoto, yalikuwa kidogo yananisumbua." Lakini sasa mambo yamebadilika,   "Ninapata pesa za mwani ninasomesha (ada za shule), kama kumetokea mambo ya ugonjwa pia kidogo ninajisaidia. Pia kwa wakati huu tulionao, ukiona kama mambo yamekuwa magumu zaidi nikienda kwa kile kikundi chetu pia ninaweza kusaidiwa nikajisaidia na mimi." Faida anazozipata mzee Amiri kutokana na kilimo hiki cha baharini si hizo pekee, hakika mwani umembadilishia maisha yake  "Nilikuwa ninaishi nyumba ya matope...nilikuwa ninaishi nyumba ya matope. Lakini nilipoanza kilimo cha mwani hiki, mwaka wa kwanza ule kuuza mwani niliuza tani tatu na nusu. Nilipouza, nilipopata zile pesa niliamua kuuza nyumba ya jiwe na sasa hivi niko na nyumba ya jiwe inaenda chumba cha tatu sasa. Kila nikivuna ninaongeza chumba. Kwa hivyo kwa upande wangu mimi huu mwani, ndio umeniwezesha zaidi kuliko yale mambo ya uvuvi." Mwani ni aina ya mimea inayoota na kukua kwenye maji na inapokomaa na kuvunwa inatumika katika matumizi mbalimbali ya binadamu na wanyama miongoni ikiwa ni kusindika vyakula, dawa na mbolea. 

RadioRahma
Uregeshaji Wa Matumbawe Kwale Part 2

RadioRahma

Play Episode Listen Later Jun 27, 2022 8:02


Mabadiliko ya tabia nchi yaani climate change, uvuvi haramu,ongezeko la chupa za plastiki baharini na kuharibiwa kwa matumbawe kumetajwa kuwa moja wapo ya mambo yanayoathiri viumbe wa majini na shughuli za uvuvi. Lakini ongezeko la joto na kiwango cha maji ya bahari ni miongoni mwa mambo yanayotishia ustawi wa bahari ambayo ni tegemeo kwa Maisha ya binadamu. Mhariri wetu Ruth Keah alizuru eneo la Shimoni na kuangazia jinsi jamii ya eneo hilo inavyotunza na kupanda miamba ya matumbawe baharini.

Habari za UN
Sikufahamu kuhusu zao la mwani, sasa limenibadilishia maisha yangu- Marinda

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 27, 2022 3:37


Wakati mkutano wa dunia kuhusu bahari umeanza leo huko Lisbon nchini ureno kujadili namna ya kuhakikisha bahari inalindwa ili jamii zinufaike na uchumi utokanao na shughuli za kwenye bahari au uchumi wa buluu sambamba na faida nyingine nyingi, tunaelekea kijiji cha Kibuyuni, eneo la Shimoni, kaunti ya Kwale nchini Kenya kusikia jinsi maisha ya wakulima wa zao la mwani linalolimwa baharini yalivyobadilika baada ya mradi wa shamba la mfano la mwani ulioanzishwa na Taasisi ya Utafiti wa Majini na Uvuvi ya Kenya KMFRI kuleta manufaa kwa wanakijiji zaidi ya 2500 wa kijiji hicho. Kabla ya mradi huo maisha ya wanakijiji hao yalikuwa duni na jengo pekee lililokuwa limeezekwa mabati lilikuwa ni msikiti, lakini sasa wananchi hawa wana uhakika wakupata dola 300 kila baada ya siku 45. Ni kwa vipi basi, tuungane na Leah Mushi katika makala hii iliyofanikishwa na kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC nchini Kenya,

RadioRahma
Vifo vya uzazi vyapungua Kwale.

RadioRahma

Play Episode Listen Later Apr 19, 2022 5:05


Tangu serikali ya kaunti ya Kwale kuongeza idadi ya vituo vya afya nyanjani, Idadi ya wanawake wanaoaga dunia kutokana na changamoto za kujifungua kaunti ya kwale imepungua kutoka wanawake 560 Kila mwaka Hadi wanawake 35 Kati wanawake laki 1 wanaojifungua kote nchini. By:Mwanaharusi Rashid

Imvo  n'imvano
Imvo n'Imvano 2/4/2022

Imvo n'imvano

Play Episode Listen Later Apr 2, 2022 59:00


Abarundi baba Kwale mu majyepfo ya Kenya, bamaze imyaka irenga 60 batarabona ibyangombwa

kenya kwale
RadioRahma
Ukulima Wa Unyunyiziaji Maji Kwale.

RadioRahma

Play Episode Listen Later Mar 14, 2022 10:07


Nchi nyingi za Afrika zinazopatikana Kusini mwa jangwa la Sahara hazina chakula cha kutosha. Hali hii hutokana na sababu nyingi ikiwemo mabadiliko ya tabia nchi ambapo wakulima wanaotegemea mvua mara nyingi huishia kutopata mavuno mvua inapokosa kunyesha. Mhariri wetu Ruth Keah ametembelea wakulima wa Unyunyiziaji Maji huko Kinango kaunti ya Kwale na kutuandalia Makala yafuatayo.

Mu Zagaya Duniya
Bitar labarun mako: Mutane da dama sun mutu dalilin hatsarin kwale kwale a Kano

Mu Zagaya Duniya

Play Episode Listen Later Dec 4, 2021 20:41


Shirin 'Mu Zagaya Duniya' na wannan makon dake bitar manyan labarun da suka faru a makon da ya kare, ya fara ne daga jihar Kano dake arewacin Najeriya inda aka samu hatsarin kwale-kwale a karamar hukumar Bagwai, lamarin da yayi sanadin mutuwar gwamman mutane.

RadioRahma
MAKALA YA JINSI SEKTA YA AFYA ILIVYOIMARIKA BAADA YA UGATUZI KWALE

RadioRahma

Play Episode Listen Later Nov 24, 2021 9:20


Makala by Ali Nariri

RadioRahma
Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale-Part 1

RadioRahma

Play Episode Listen Later Nov 18, 2021 8:05


Pamba ni zao ambalo hustawi vizuri katika sehemu kubwa humu nchini. Lakini licha ya hivyo watu wengi hawajaukumbatia sana ukulima wa mmea huo. Mhariri wetu Ruth Keah aliwatembelea baadhi ya wakulima wanaoendeleza ukulima wa pamba ya kisasa katika kaunti ya Kwale na kutuandalia Makala yafuatayo- Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale. BY:Ruth Keah

RadioRahma
Wanafunzi waliopachikwa mimba warudi shuleni Kwale

RadioRahma

Play Episode Listen Later Nov 18, 2021 15:51


Simulizi zifuatazo ni za waschana kati ya umri wa miaka 13-14 kutoka shule za msingi tofauti tofauti hapa Kwale. Watoto hawa chini ya umri wa miaka 14 wamedhulumiwa kwa kupachikwa mimba na sasa ni walezi wa watoto. Ila watoto hawa ambao pia ni wanafunzi wameziweka nia za kuendeleza masomo yao ima kwa mimba au baada ya kujifungua. By: Mwanaharusi Rashid

RadioRahma
Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale-Part 2

RadioRahma

Play Episode Listen Later Nov 18, 2021 8:30


Pamba ni zao ambalo hustawi vizuri katika sehemu kubwa humu nchini. Lakini licha ya hivyo watu wengi hawajaukumbatia sana ukulima wa mmea huo. Mhariri wetu Ruth Keah aliwatembelea baadhi ya wakulima wanaoendeleza ukulima wa pamba ya kisasa katika kaunti ya Kwale na kutuandalia Makala yafuatayo awamu ya pili- Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale. By:Ruth Keah

RadioRahma
Biashara ya njuguu kwa Walemavu Kwale

RadioRahma

Play Episode Listen Later Oct 7, 2021 3:23


Licha ya kuwa jamii inawatenga kutokana na maumbile yao, idadi kubwa ya walemavu eneo la Pwani wamejikita katika biashara ndogo ndogo ili kujikimu kimaisha.Katika kaunti ya Kwale baadhi ya walemavu wamejikita katika uuzaji wa njuguu. By:Athuman Luchi

RadioRahma
Mradi wa ‘Elimu Ni Sasa Initiative' Wasaidia Wanafunzi Kwale

RadioRahma

Play Episode Listen Later Sep 29, 2021 10:53


Tangu kuanzishwa kwa mradi wa ‘Elimu Ni Sasa Initiative'kaunti ya Kwake idadi kubwa ya wanafunzi katika kaunti hio wanaofanya vyema wanajiunga na shule za upili na vyuo vikuu ikilinganishwa na miaka ya nyuma ambapo wanafunzi wengi hasa kutoka familia maskini walikuwa wanakwama kuendeleza masomo yao. Mfumo wa Elimu Ni Sasa ulianzishwa mwaka 2013 na lengo kuu ni kuimarisha viwango vya elimu katika kaunti ya Kwale, kama ulipaji wa karo kwa wanafunzi wanaojiunga na shule za upili na vyuo vikuu na vyuo vya ufundi. By: Athuman Luchi

RadioRahma
MUI HUA MWEMA

RadioRahma

Play Episode Listen Later Aug 11, 2021 10:07


Dawa kali za kulevya kama heroin almaarufu kwa jina unga ni miongoni mwa mihadarati inayojulikana sana Pwani ya Kenya katika miji ya Mombasa, Kwale, Lamu na Kilifi. Dawa hizi zimewasababishia watumizi walio vijana, watu wazima waume kwa wanawake hasara kubwa za kiafya, kiuchumi na kijamii. Pindi mtu anapoanza ya matumizi ya heroine tabia zake hubadilika pakubwa na sio rahisi kuiacha. Utafiti uliotekelezwa 2016 na profesa Nicole Lee mshirika katika taasisi ya utafiti wa dawa za kulevya, chuo kikuu cha Curtin unaonesha kuwa asilimia 10 ya watu wanategemea pombe na dawa nyingine za kulevya na kwamba kuepuka matumizi huwa ni vigumu baada ya miili yao kuwa tegemezi yani “addicted” na sababu nyingine tofauti. Lakini kwa Naima sababu hizo haziikuwa kizuizi kwake kuondoka kwenye uraibu baada ya muda huo wote na sasa ni miaka 7 tangu aanze safari ya kujinasua. Karibu kwenye makala haya ya MUI HUWA MWEMA tukiangazia namna watumizi wa dawa za kulevya wanavyoweza kubadilika na kuwa bora katika jamii jina langu ni Ibrahim Juma Mudibo. By Ibrahim Juma

RadioRahma
DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONA

RadioRahma

Play Episode Listen Later Jun 4, 2021 7:20


Janga la corona, limekuja na changamoto si haba kwa watu wote duniani na hapa nchini Kenya, watoto wameathirika zaidi. Katika kaunti za Mombasa, Kwale na Kilifi, Watoto wanaougua maradhin ya sickle cell wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya korona kwani kuna dhana potofu kuhusu hali yao na jinsi corona haiwezi kuwaathiri. Baadhi ya wazazi wanadai kuwa wagonjwa wa sickle cell hawashikwi na corona. Athman Luchi

RadioRahma
ARDHI ZA VILIO KWALE

RadioRahma

Play Episode Listen Later Nov 23, 2020 7:54


Makala by Athman Luchi

makala kwale
Kosmos 94.1 Landbou
Intensiewe wildboerdery bring kwale na voor

Kosmos 94.1 Landbou

Play Episode Listen Later Nov 4, 2020 9:01


Met die opbloei van wildboerdery waar diere onder meer intensiewe toestande aangehou word, het nuwe kwale begin kop uitsteek, wat nuwe uitdagings aan wildveeartse stel. Sommige van die kwale kan die sukses waarmee met sommige wildspesies geboer word, in gedrang bring. Hoewel die voorkoms van siektes feitlik altyd verhoog wanneer meer diere op kleiner oppervlaktes aangehou word as waarin hulle in die natuur funksioneer, verseker kundigheid en doeltreffende bestuur dat verliese beperk word en produksie steeds hoër as in die natuur is. Dr Johan Steyl, ‘n Veeartsenykundige van Onderstepoort gesels vanoggend meer in die diepte oor die uitdagings.

CruxCasts
Base Resources (BSE) - Mineral Sands Player: Investors Are Missing Something Important

CruxCasts

Play Episode Listen Later Jun 19, 2020 40:08


Interview with Tim Carstens, Managing Director of Base Resources (ASX/AIM: BSE)Producing at a Mineral Sands project in Kenya, Kwale, and developing a Mineral Sands project in Madagascar, Toliara, Base Metals is an significant minerals sands player.Everything appears to be going well, except for the share price. It is half of what it was when we last spoke to them in Oct 2019. This has likely been caused by uncertainty over Madagascar as a mining jurisdiction, given ongoing discussions with the government over terms on the Royalty and taxes. The financing is not yet in place for new flagship asset, Toliara, and the current short mine life for current mineral sands producing asset, Kwale are alsoCastens is a straight talker, and he thinks he has a clear path towards getting Toliara in to production and driving up the largely institutionally-held stock. The one thing there is clear uncertainty on is the timeline.  Company Page: https://baseresources.com.au/Make smarter investment decisions, subscribe here: https://www.cruxinvestor.com Join Our Crux Club: https://www.crux-club.com/For FREE unbiased investment information, follow us on Twitter, LinkedIn and Facebook:https://twitter.com/cruxinvestorhttps://www.linkedin.com/company/crux-investor/https://www.facebook.com/cruxinvestorTake advantage, hear it here first: https://www.youtube.com/CRUXinvestor

Global Security
Police killing of George Floyd strikes a chord in Kenya

Global Security

Play Episode Listen Later Jun 4, 2020 4:03


Early this week, Nafula Wafula, a Kenyan activist, got a call from an American friend living in Nairobi. They talked about the recent killing of George Floyd by a police officer in Minneapolis, Minnesota.“When she called me, at the same time I was thinking about the police brutality that is happening here in Kenya,” said Wafula, who is the vice-chairperson of policy at the Commonwealth Youth Council. She also has a brother who lives in the United States.Related: World responds to protests sparked by George Floyd's death“The persons in the poorest communities, informal urban settlements face more police brutality, while in the US it's more racial."Nafula Wafula, activist and vice-chairperson of policy, Commonwealth Youth Council, Kenya“The persons in the poorest communities, informal urban settlements face more police brutality, while in the US it's more racial,” said Wafula. Last year, more than 100 people were killed by police violence in Kenya, according to human rights groups. Related: Somali Americans share grief and pain over George Floyd's killingWhen Kenya enacted restrictive policies to curb the spread of coronavirus, activists sounded the alarm about deadly policing. According to Kenya’s Independent Police Oversight Authority (IPOA), more than 15 people were killed by police during the coronavirus curfew — including children. Community organizers say that number could be much higher.On Thursday, the IPOA announced that six police officers would be arrested and charged over the deaths and assault of Kenyans during the coronavirus curfew, including Yasin Hussein Moyo, a 13-year-old boy killed in March. Yet, last Friday, Kenyan police officers killed two children and a woman lost her unborn baby during a police raid in the coastal region of Kwale. Days later, Kenyan police reportedly killed a homeless man in the poor neighborhood of Mathare, in Nairobi. Videos on social media show residents demonstrating in the middle of the night on Monday.Related: 'No justice, no peace': Thousands in London protest the death of FloydDespite a nationwide curfew and limit on public gatherings, Wafula and her friend organized a small demonstration of their own on Tuesday, outside the US Embassy in Nairobi. Shortly after, the US ambassador released a video statement condemning the killing of George Floyd, a black man. For some, it's a sign of how much the police killing of George Floyd, and the nationwide protests, has resonated within other countries where police violence is also a problem.“The events happening in the US have sparked police accountability questions in Kenya. ... The cops are very clever in terms of hiding evidence and blaming these victims for being criminals."Robi Chacha, human rights attorney, Nairobi, Kenya"The events happening in the US have sparked police accountability questions in Kenya,” said Robi Chacha, a human rights attorney who recently moved back to Nairobi from San Francisco. He’s worked on extrajudicial killing cases but says they rarely get the level of media attention seen in the US now.Related: Floyd's death reverberates in Nigeria “The cops are very clever in terms of hiding evidence and blaming these victims for being criminals,” he continued.On Tuesday, Kenya’s national police spokesperson Charles Owino was asked about police brutality on national TV. “Let’s take action against individual police officers who are erratic,” he said. “But let’s support the police, let’s not set the public against our police officers.” Owino denied that the man killed in Mathare was shot by police officers.Years of pressure from community social justice groups, who have been documenting police killings and violence, has led to some police reforms and increased civilian oversight.“The only concern for me and for many other Kenyans is why those do not reflect in just for these victims and their families as well,” said Chacha.

Shirye-shiryen matasa | Deutsche Welle
Kaduna: Sana'ar ba da hayar kwale-kwale

Shirye-shiryen matasa | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Sep 18, 2019 2:49


Mata a wani kauye da ke a Kadunan Najeriya na ba da hayar kwale-kwale wanda ake amfanin da su wajen daukar fasinjoji da kuma kayayyaki don kaiwa cikin gari.

mata sana kaduna hdm najeriya kwale
About You Podcast
#36 The cost of being a success, who are you becoming?: Prince Karisa

About You Podcast

Play Episode Listen Later Jul 24, 2019 70:07


Staying committed to your goal means not allowing anything to distract or pull you from performing your objectives. Commitment entails that you become not only relentless in achieving your goals but that you also become the type of person that is capable of achieving your goals. You need to be committed to being extraordinary, to being courageous, to being disciplined, and to being accountable for your decisions and actions. We were joined by Prince Karisa from Kwale, a young lawyer who shared his story in-light of how he has applied patience in attaining his dream and goals. He talked on depression in law school amongst students and his interests in switching careers.... Rophus shares about lessons learnt from books he has read and what courage means... he also shared how he wants to be a surfer! Jamal underlines the importance of commitment and its relevance in attaining success; in moulding ones character.

About You Podcast
#21 How can public/private partnerships improve sustainable tourism: Fred Mumba & Ali Jasso

About You Podcast

Play Episode Listen Later Apr 7, 2019 44:36


Hamza graces the episode with a swift introduction, as we are joined by Fred Mumba who underlines the importance of rebranding and repackaging the sea, sex and sand tourisim destinations at the coast of Kenya. He shares the best practices globally that could actually better the situation; and a word of advice to the county government alike. Ali Jasso shares how it is important for the beach operators to be recognised as stakeholders in the tourism sector for sustainability. Rophus and Jamal highlight why embracing the culture and environment aspects of the communities through public/ private partnerships in Kwale county would put the county on a competitive brands as touristic destinations.

Paukwa Stories
#KeSafari - Kilifi

Paukwa Stories

Play Episode Listen Later Jan 6, 2019 3:52


Kenya's third county, Kwale, was once home to one of the ancient bustling cities that we now know as the Gede Ruins. Read the Kilifi story on http://bit.ly/Kilifi Photo By: Sammy Njoroge Narrated By: Kevin Mwachiro

Paukwa Stories
#KeSafari - Kwale

Paukwa Stories

Play Episode Listen Later Jan 4, 2019 4:14


The home of extremely white beaches is undoubtedly County 002 aka Kwale – a place where you will experience the real meaning of ‘Coast Raha’. Read the story on Kwale http://bit.ly/KwaleKE Photo By: mwihaki M. Narrated By: Shingai Kagunda

kwale
Radio Lumen - Rozhovor týždňa
Rozhovor týždňa 11:00 29.01.2014

Radio Lumen - Rozhovor týždňa

Play Episode Listen Later Jan 29, 2014


Keňa - očami Pavla Markoviča, ktorý pôsobil ako dobrovoľník v rámci projektu Trnavskej univerzity v kenskom regióne Kwale.

rozhovor kwale
Rabbledocs
Kenya - A Mine Contraversy

Rabbledocs

Play Episode Listen Later May 16, 2006


A documentary on the human rights & environmental impacts of a titanium mine to be constructed in Kwale, a coastal region located in the south-east of Kenya. Produced by Zahra Moloo of CKUT Radio'