POPULARITY
Hii leo jaridani tunaangazia uhakika wa chakula, na takwimu za afya za janga la COVID-19 kusababisha vifo, muda wa kuishi na hali ya afya na ustawi kwa ujumla. Makala tunakwenda nchini Tanzania na mashinani nchini DRC, kulikoni?Ukosefu wa uhakika wa kupata chakula na utapiamlo kwa watoto uliongezeka kwa mwaka wa sita mfululizo mwaka 2024, na kuwatumbukiza mamilioni ya watu karibu na baa la njaa, huku wengine wakiepuka kutokana na misaada ya kimkakati. Imesema Ripoti ya Kimataifa kuhusu Janga la Chakula (GRFC) iliyotolewa leo huko Roma, Italia na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO.Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) ya takwimu za afya duniani iliyochapishwa jana Mei 15 ikionesha athari kubwa zaidi za kiafya zilizosababishwa na janga la COVID-19 kuhusu vifo, muda wa kuishi na hali ya afya na ustawi kwa ujumla, imeweka wazi kuwa katika kipindi cha miaka miwili pekee, kati ya mwaka 2019 na 2021, matarajio ya kuishi yalipungua kwa mwaka mmoja na miezi nane ikiwa ni maporomoko makubwa zaidi katika historia ya hivi karibuni hali iliyobatilisha mafanikio ya afya yaliyopatikana kwa muongo mmoja.Katika makala Leah Mushi anatupeleka nchini Tanzania kusikia namna wanawake wenye ulemavu walivyoweza kujikwamua kutoka kwenye changamoto mbalimbali ikiwemo za kiuchumi na kuchangamkia fursa za uongozi.Na katika fursa ni yake Bernadette Kambonesa, mkimbizi wa ndani kutoka kijiji cha Bogoro, jimboni Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC akizungumzia manufaa yatokanayo na uwepo wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kulinda Amani nchini humo (MONUSCO).Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Ukosefu wa uhakika wa kupata chakula na utapiamlo kwa watoto uliongezeka kwa mwaka wa sita mfululizo mwaka 2024, na kuwatumbukiza mamilioni ya watu karibu na baa la njaa, huku wengine wakiepuka kutokana na misaada ya kimkakati. Imesema Ripoti ya Kimataifa kuhusu Janga la Chakula (GRFC) iliyotolewa leo huko Roma, Italia na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO. Flora Nducha anakutaarifu kwa muhtasari.
Renungan Pagi || Janga Ada Yang Binasa || Ps. Steven Liem
1 - Tsapanao ve ny fitantanan39;Andriamanitra 2 - Mampiasa legiominezy hanatsarana ny tany 3 - Henoy Andriamanitra 4 - Ny hepatite B2( Dr Rinà) 5 - Voatsara ilay vehivavy janga
1 - Tsapanao ve ny fitantanan39;Andriamanitra 2 - Mampiasa legiominezy hanatsarana ny tany 3 - Henoy Andriamanitra 4 - Ny hepatite B2( Dr Rinà) 5 - Voatsara ilay vehivavy janga
1 - - Hain39;Andriamanitra izay mahasoa anao koa misaora Azy 2 - Fiadiana amin39;ny mety fiakaran39;ny asidra anaty vavony sy tsy fahalevonan-kanina 3 - Didy Voalohany sy faharoa 4 - Ny tokantrano 03 5 - Ilay vehivavy janga vadin39;i Hosea
1 - - Hain39;Andriamanitra izay mahasoa anao koa misaora Azy 2 - Fiadiana amin39;ny mety fiakaran39;ny asidra anaty vavony sy tsy fahalevonan-kanina 3 - Didy Voalohany sy faharoa 4 - Ny tokantrano 03 5 - Ilay vehivavy janga vadin39;i Hosea
Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS leo limeonya kwamba kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani sio tu janga kwa vita dhidi ya gonjwa hilo bali ni chachu ya vifo na ongezeko la maambukizi mapya. Flora Nducha amefuatilia onyo hilo lililotolewa leo mjini Geneva Uswisi na Mkurugenzi mtendaji wa UNAUDS Winnie Byanyima alipozungumza na waandishi wa habari.
Kutokana na hali tete ya kibinadamu nchini Sudan, Umoja wa Mataifa na wadau wake leo Februari 17 jijini Genea, Uswisi, wamezindua mipango ya misaada ya kibinadamu na wakimbizi kwa mwaka huu 2025 kwa Sudan, wakihitaji jumla ya dola bilioni 6 kusaidia karibu watu milioni 26 ndani ya Sudan na kanda nzima. Selina Jerobon na maelezo zaidi.
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yameendelea kutoa wito wa kurejeshwa kwa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo (DRC) kwani hali inazidi kuwa tete na kuuzidi uwezo wa mashirika hayo kusaidia. Selina Jerobon amefuatilia matamko ya mashirika hayo na kutuandalia taarifa ifuatayo. Janga la haki za binadamu katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) linaendelea kuzidi kuwa baya kutokana na ripoti zinazonyesha kuwa kundi la wapiganaji la M23 limeendelea kusonga kusini kuelekea Bukavu, imeeleza Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (OHCHR) leo Januari 31 mjini Geneva, Uswisi.Nalo shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) katika taarifa iliyotolewa katika mji Mkuu wa DRC, Kinshasa, limesema licha ya juhudi hizo zinazoendelea ili kusaidia watu, kuongezeka kwa ghasia kumelazimisha IOM na mashirika mengine ya kibinadamu kusitisha operesheni katika maeneo yaliyoathirika zaidi, na hivyo kusitisha msaada wa kuokoa maisha kwa maelfu ya watu.Kwa upande wake Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeeleza wasiwasi wake kuhusu ugumu wa ufikiaji wa wanaohitaji msaada mashariki mwa DRC.Msemaji wa WFP DRC, Shelley Thakral leo Januari 31 akiwa jijini Kinshasa DRC anasema, "kwa kweli watu wanakosa chakula, maji safi, vifaa tiba na huo ni wasiwasi mkubwa kwa hivyo mnyororo wa usambazaji umenyongwa kwa sasa ikiwa unafikiria kuhusu ufikiaji kwa njia ya ardhi, anga, wakati kila kitu kimefungwa. Kwa hivyo kipaumbele chetu cha kwanza ni wazi ni usalama wa wafanyakazi. Tunataka kurejea kwenye shughuli zetu mara tu usalama utakapoturuhusu.”
Café & Conversa: Ylana e sua história musical que vai do Janga, na cidade do Paulista (PE), à música de novela. Das lembranças de sua avó, Mêves Gama (1939-1999, importante cantora da Era de Ouro do Rádio, à parceria com o irmão Yuri Queiroga, produtor musical e arranjador. A história desta conversa é tão interessante que somente uma xícara de café não vai ser suficiente. Prepare seu bule de café!
Janga la kibinadamu likizidi kushika kasi nchini Yemen, shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM linaongeza kasi ya mpango wake wa kurejesha wahamiaji nyumbani kwa hiari, VHR. Mradi huu hupatia wahamiaji waliokwama njia salama ya kurejea nyumbani kwao. Kupanuliwa kwa mradi huu kunafuatia idadi ya wahamiaji nchini Yemen kuongezeka na kufikia 6,300 mwezi Oktoba mwaka huu, kwa mujibu wa mfuko wa IOM wa Ufuatiliaji wa wahamiaji.Mwaka huu wa 2024, IOM imeshafanya safari 30 za ndege kupitia mradi huo wa VHR ikiwemo ya tarehe 5 mwezi huu waDesemba ambapo wahamiaji 175 wa Ethiopia walirejeshwa Yemen kutoka uwanja wa ndege wa Aden. Makala hii inafuatilia miongoni mwa wahamiaji hao yaliyowasibu hadi kukubali kurejea nyumbani kwa hiari. Msimulizi wako ni Assumpta Massoi.
Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake, Je wajua kwamba wanawake na wasichana 140 walifariki dunia kila siku duniani kote mwaka 2023 wakiwa mikononi mwa wapenzi wao au ndugu wa karibu, ikimaanisha kuwa mwanmake mmoja anauawa katika kila dakika 10. Na zaidi ya yote bara la Afrika linaongoza? Maudhui ya siku hii yanasema “Hakuna kisingizio” cha ukatili dhidi ya wanawake lama alioushuhudia Ester manusura kutoka Uganda, ambaye kwa miaka mingi amekuwa akifanyiwa ukatili na mpenzi wake anaema “Nilikuwa na umri wa miaka 15 aliponioa naye alikuwa na miaka 28wakati mwingine alikuwa akinivua nguo zote na kunilazimisha kukaa kwenye varandana nilikuwa nikichelewa kurudi ananitandika nje nyumba kila mtu kushuhudia Nilikuwa katika hali mbaya ya uchungu Mkubwa na kuvuja damu.”maadhimisho ya mwaka huu yanaambatana na ripoti iliyotolewa leo jijini New York, Marekani na mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwemo lile la masuala ya wanawake, UN Women na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Dawa za kulevya na Uhalifu, (UNODC), inaangazia mwanga wa janga la mauaji ya wanawake na kutoa wito kwa hatua za dharura ili kukabili janga hilo.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres katika ujumbe wake wa siku hii inayoadhimishwa tarehe 25 mwezi Novemba kila mwaka, ikiashiria pia kuanza kwa siku 16 za kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake, zikiwa na kilele chake tarehe 10 mwezi Desemba, siku ya Haki za Binadamu duniani amesema “Janga la ukatili dhidi ya wanawake na wasichana linaaibisha ubindamu, dunia lazima iitikie wito huu. Tunahitaji hatua za dharura kwa ajili ya haki na uwajibikaji, na kusaidia uchechemuzi.”Mkurugenzi mtendaji wa UN Women Sima Bahous amesisitiza kuwa “Ukatili dhidi ya wanawake na wasichana si kwamba hauepukiki, unaweza kuzuilika. Tunahitaji sheria thabiti, ukusanyaji bora wa takwimu, uwajibikaji zaidi wa serikali, utamaduni wa kutovumilia, na kuongezeka kwa ufadhili kwa mashirika ya kupigania haki za wanawake na taasisi. Tunapokaribia kuadhimisha miaka 30 ya Azimio la Beijing na Jukwaa la Utekelezaji mwaka 2025, ni wakati wa viongozi wa dunia kuungana na kuchukua hatua kwa haraka, kujitolea na kuelekeza rasilimali zinazohitajika kumaliza mgogoro huu mara moja na kwa wote”Mauaji ya wanawake yanavuka mipaka, hali ya kiuchumi na kijamii, utamaduni. Hata hivyo kiwango au ukubwa wake unatofautiana.Kwa mujibu wa ripoti hiyo, bara la Afrika lilivunja rekodi ya kuwa na viwango vya juu vya wanawake kuuawa na wapenzi wao au mwanafamilia. Wanawake 21,700 waliuawa Afrika mwaka huo wa 2023, ikifuatiwa na bara la Amerika na kisha Oshenia.Mashirika ya UN Women na…
Nchini Sudan ambako vita na njanga la njaa vinaendelea kuwa mwiba kwa raia sasa wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wanaonya juu ya tishio lingine kubwa la milipuko ya magonja ya kipindupindu na homa ya kidingapopo huku mfumo mzima wa afya ukiwa taabani. Asante Assumpta kwa mujibu ya taarifa iliyotolewa leo mjini Geneva Uswisi na mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la kuratibu misaada ya kibinadamu na masuala ya dharura OCHA na lile la afya duniani WHO, hali inazidi kuwa mbaya Sudan ambako katikati ya vita majanga mingine ya kiafya yanazuka.OCHA imeripoti zaidi ya wagonjwa 28,000 wa kipindupindu na vifo vimefikia 836 katika majimbo 11 kati ya 22 Julai na 28 Oktoba mwaka huu huku likihofia kwamba idadi kamili ya wagonjwa huenda ni kubwa zaidi.Pia shirika hilo limeonya juu ya kuendelea kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa wa homa ya kidingapopo na mvua zinazonyesha na kusababisha mafuriko makubwa zimeongeza hatari ya kusambaa kwa magonjwa hayo.Nalo shirika la WHO linasema milipuko hii imezuka wakati mfumo wa huduma ya afya nchini Sudan umzidiwa uwezo, huku hospitali nyingi hazifanyi kazi au zimefungwa kabisa kutokana na usambazaji mdogo wa vifaa na uhaba wa mafuta. Shirika hilo linasema hadi asilimia 80 ya vituo vya afya katika maeneo yenye migogoro ikiwa ni pamoja na Al Jazirah, Kordofan, Darfur na Khartoum aidha havifanyi kazi au vimefungwa.Na linaonya kwamba "Kuporomoka huku kwa mfumo wa afya kunazuia mipango ya chanjo ya watoto, kuongeza kasi ya kuenea kwa magonjwa yanayozuilika, na kuzua wasiwasi kuhusu uwezekano wa milipuko mikubwa zaidi ya magonjwa."Kwa sasa mashirika hayo yamesema majimbo yaliyoathirika zaidi na kipindupindu ni Kassala Gedaref, Al Jazirah, na Northern wakati homa ya kidingapopo imeghubika zaidi majimbo ya Kassala na Khartoum.Pia changamoto nyingine kubwa ya kutoa huduma za afya katikati ya milipuko hii mashirika hayo yanasema ni mashambulizi dhidi ya vituo vya afya ambayo tangu kuanza kwa vita 15 Aprili mwaka jana yamefikia 116 na kusababisha vifo 188 na majeruhi 140.
1 - Katsaho aloha 2 - Ilay vehivavy janga, fiz voalohany
1 - Katsaho aloha 2 - Ilay vehivavy janga, fiz voalohany
Shirika la afya duniani ,WHO na taasisi ya kudhibiti magonjwa ya umoja wa Afrika ,CDC zililazimika kuchukua uamuzi mzito wa kutangangaza MPOX dharura ya kiafya Mataifa 16 ya Afrika kati ya 55 yameripoti visa vya MPOX mwaka huu ,CDC ikisema maambukizo yamepanda hadi asilimia 160 mwaka huu ukilinganishwa na mwaka 2023Virusi vya MPOX vimeripotiwa kujibadilisha na kwa sasa msambao hatari wa virusi sugu zaidi unahusishwa na ngono
Matukio ya dunia yaliyokithiri vichwa vya habari ni pamoja na virusi vya Mpox kutangazwa kuwa janga la dharura la kiafya huku bara la Afrika likiathiriwa zaidi, Burundi yamwachia mwanahabari aliyehukumiwa kifungo cha miaka 10, tutaangazia siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wa upinzani kukamatwa baadaye wakaachiwa, lakini pia hatua za mazungumzo kule Geneva kuhusu amani nchini Sudan. Pia tutaangazia mgomo wa vyombo vya habari nchini Senegal kadhalika tutachambua wito wa Umoja wa Mataifa kutaka Afrika kupewa kiti cha kudumu katika baraza la usalama la umoja huoKule Gaza, kundi la Hamas limekataa masharti 'mpya' ya upatanishi na Israeli na mazungumzo ya kupata mkataba wa kusitisha vita hivyo, kurejelewa tena wiki hii jijini Cairo, Misri.
Our interview guest this week is Sarinca Janga, a member of Glasgow Clyde Toastmasters and Arrarat Toastmaster Club, but also Zoommaster for Districts 71 ands 81 (Caribbean) as well as helping out District 91 from time to time.. This episode is published on 13th July with James Finnegan & Moira O'Brien DTM, edited & produced by Moira O'Brien. Contact us : email: info@irishtalkers.com Website: www.irishtalkers.com Facebook: The Talk Show for Talkers
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Weed, Pot, Mary Jane, Dope, Janga, the Devil's Lettuce!! By now, we're all familiar with what these names are referring to. The cannabis industry is growing worldwide and so is the presence of cannabis-related content on social media. Despite the hype, there is surprisingly little evidence for a beneficial effect of cannabis in humans. In fact, in some cases, it causes more harm than good. So how does cannabis REALLY impact the brain? Which therapeutic claims are actually backed by science? And what are the safety risks? We explore it all in the 3-part series on the neuroscience of cannabis. Email: thinktwicepodcast@outlook.com Instagram: @thinktwice_podcast Patreon: https://www.patreon.com/ThinkTwicePodcast Disclaimer: Think Twice is a podcast for general information and entertainment purposes only. The content discussed in the episodes does not reflect the views of the podcast committee members or any institution they are affiliated with. The use of the information presented in this podcast is at the user's own risk and is not intended to replace professional healthcare services.
Janga linaloendelea nchini la mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya takriban watu 150 linahitaji juhudi za pamoja na dharura kutoka kwa serikali na washikadau wengine. Sepetuko inairai serikali kuweka kando mipango mwingine yoyote isiyokuwa ya dharura na ya lazima, na kulifanya janga hili kuwa kipaumbele.
So, have you ever heard about Ayurvedic medicine? It's this ancient practice that's all about keeping you healthy by focusing on your individual needs and preventing diseases. Dr. Dimple Jangda is all about it, and she's here to break it down for us.In this episode, she starts by diving into the origins of Ayurveda, which is tied to other ancient healing traditions. It's all about living in harmony with nature and customizing your diet and lifestyle based on what works best for you. Dr. Dimple even shares her own journey to Ayurveda and how it's all about slowing down and connecting with nature to stay healthy.But here's the kicker – she hones in on gut health. Yep, turns out, it's not just about what you eat, but how your gut feels about it. Gut health affects your mind and emotions, so it's pretty darn important. Dr. Dimple dishes out some practical tips to improve your gut health and talks about the significance of daily rituals in keeping things running smoothly.Then, we get into the nitty-gritty of fasting. Ever thought about giving your gut a break? Well, it might just be the ticket to better health and even reversing some diseases. Dr. Dimple breaks down how fasting can help with gut health and even play a role in cancer treatment and detoxification. She's not holding back either – warning against harmful foods and suggesting we steer clear of those raw salads.Oh, and it's not just about the gut. Dr. Dimple talks about how improving gut health can help with pain and healing, and she even touches on the importance of skin health for overall well-being.The bottom line? It's time to stop messing with our bodies' natural processes and give our guts and livers a breather through fasting and good nutrition. So, who's up for some gut-friendly living?Takeaways> Ayurvedic medicine is a time-tested science that focuses on preventing diseases and personalizing diet and lifestyle based on individual factors.> The origins of Ayurveda can be traced back to ancient times, and it has connections to other ancient healing practices.> Slowing down and aligning with nature is essential for optimal health and well-being.> Gut health plays a crucial role in overall health, including mental and emotional well-being. > Fasting is a powerful tool for improving gut health and reversing diseases.> Avoid harmful foods and give your gut a break to allow for healing and repair.> Juicing can be beneficial for detoxification but should be done with caution and not overdone.> Cook leafy greens and avoid raw salads to improve digestion and prevent gut issues.> Improving gut health can aid in pain relief and healing, and taking care of skin health is essential for overall well-being.Chapters00:00 Introduction and Appreciation01:08 Introduction to Ayurvedic Medicine04:06 The Benefits of 100 Washed Ghee05:37 Ayurveda and Other Ancient Healing Practices07:29 The Practicality and Outcome-Oriented Approach of Ayurveda10:32 Dr. Dimple's Personal Journey to Ayurveda14:28 The Connection Between Gut, Mind, and Emotions32:13 Creating Daily Rituals for Gut Health35:34 Giving Your Gut a Break36:03 The Benefits of Fasting37:23 The Power of Fasting39:27 Fasting for Disease Reversal40:27 Fasting and Cancer Treatment42:02 Detoxification and the Liver44:47 Circadian Rhythm and Gut Health45:18 Avoiding Harmful Foods46:11 Intermittent Fasting for Detoxification47:12 Juicing for Detoxification48:39 The Dangers of Raw Salads50:09 Improving Gut Health for Pain and Healing57:35 The Importance of Skin Health01:05:27 One Thing to Improve HealthDERRICKTikTok:
Katika siku ya TB Duniani, WHO yatoa wito kuchukuliwa hatua ili kuondoa janga hili
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
1 - Aza manandran-doza 2 - Ilay vehivavy janga
1 - Aza manandran-doza 2 - Ilay vehivavy janga
"The Best Kept Secret" every Monday from 7 pm-9 pm (ET) with Host DJ Ben Hop and Co-Host Shai Will. We are showcasing Independent Artists from all over the world. Submit your music for airplay by going to www.excitementradio.com and clicking on the "Submit Music" tab for all the information. To request your favorite Artist or Indie song, call us at 305-749-6004. This episode features music from Wnrreese, Chinese Kitty, Orion and Killah Trakz, LYRQ, Austin Poe, ALXNDR, Fazeonerok, Kyluna, Finesse X DGBeatstars, Freddy D, SLXCK, Janga, and Tim North. Tune in and support new music. (Recorded 8-28-2023)
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Passando a Limpo: Nesta sexta-feira (7), o comunicador Igor Maciel e a bancada do programa conversam com o meteorologista do Inmet, Instituto Nacional de Meteorologia, Flaviano Fernandes, sobre a previsão do tempo para o Recife e o estado de Pernambuco. Um prédio no bairro do Janga, em Paulista, desabou no início da manhã desta sexta. Roberto Montezuma conversa com a bancada sobre o descaso e o abandono desses imóveis. A colunista Eliane Cantanhêde, destaca as principais notícias de política, direto de Brasília.
Leo ni siku ya kifua kikuu duniani maudhui yakiwa “ndio inawezekana kuitokomeza TB.” Takwimu za shirika la afya la Umoja wa Mataifa duniani WHO zinaonyesha kuwa tangu mwaka 2000 watu milioni 74 wamesalimika baada ya Kupona kifua kikuu na ni kwasababu ya harakati za ulimwengu za kupambana na ugonjwa huo hatari. Kifua kikuu husababishwa na bakteria wanaosambaa kupitia kukohoa, kucheua, kuimba na hata kucheka. Kifua kikuu ni ugonjwa hatari unaosababishwa na bakteria. Dalili za ugonjwa huo ni pamoja na kikohozi ambacho kinaweza kutoka na damu, kupungua uzito wa mwili, joto mwilini hasa wakati wa usiku na maumivu ya viungo.Kulingana na WHO, watu milioni 10 waliambukizwa kifua kikuu mwaka 2021. Geoffrey Murage aliugua kifua kikuu mwaka 2015 na ishara za kikohozi kisichokwisha pamoja na kuishiwa nguvu ndivyo vilivyomsukuma kusaka vipimo.Murage anasema, "nilianza kukohoa na kusikia mwili uko na uchovu.Nilifikiria kwenda kwa madaktari kuangaliwa na nikapimwa magonjwa tofauti tofauti ndipo wakaiona TB.Baada ya hapo ndio nikapewa dawa za wiki moja na kuagizwa kwenda kwenye hospitali iliyokuwa karibu ya Kayole kuchukua nyengine.Nilipewa maagizo ya kumeza dawa na nikichelewa itabidi nirudie kwahiyo nilitii.Nilikuwa napewa za mwezi mmoja kisha narejea kuongezea hadi ikatimia miezi sita.” anasimulia.Janga la covid 19 lilimulika matatizo yanayowakabili wakaazi wa mataifa masikini ukizingatia mifumo ya afya na utoaji huduma.Wagonjwa wa kifua kikuu ni baadhi ya wanaohitaji huduma mujarab za afya na matibabu kwani vikwazo ni vingi.Kwa Kenya, dawa za kifua kikuu hutolewa bure kwenye hospitali za umma. Hilo lilimuwezesha Geoffrey Murage kujipa moyo kwenye safari ya matibabu.Tathmini imebaini kuwa kifua kikuu kinawaathiri zaidi wanaume ikilinganishwa na wanawake kwani mienendo na tabia ina mchango mkubwa kwani, "kuepuka TB kitu cha kwanza ni usafi. Cha pili mambo ya kuombana sigara na pombe ni muhimu kuachana na hayo kwani mimi nahisi huko ndiko nilikookota TB.Hii ni kwasababu hivyo vikombe wanavyotumia havioshwi vizuri na vinatumiwa na kila mtu,” anafafanua.Mada kuu ya siku ya Kifua kikuu mwaka huu ni Ndio! Tunaweza kuitokomeza TB!.Dhamira ya siku hii ni kuwatia imani viongozi na kuwatia shime kuimarisha uwekezaji kwenye sekta ya afya kwenye vita dhidi ya Kifua Kikuu. Geoffrey Murage ana imani TB inaweza kutokomezwa kwani yeye ni mfano mzuri.Kwa mtazamo wake, "TB ni kama homa ukitii.Ukitii mawaidha ya daktari utapona kwani ni kama homa. Ukikosa kutii utakufa tu.Ukinywa dawa mara kadhaa mwili unazowea. Ni lazima unywe hizo dawa. Ukiacha kuzitumia utaumia.Maisha sio ya daktari, ni yako tu.” anasisitiza.Mwaka wa 2023 una umuhimu mkubwa katika vita dhidi ya Kifua Kikuu na Umoja wa Mataifa uko mstari wa mbele kwenye harakati hizo. Kongamano la pili la Kifua kikuu la ngazi ya juu limepangwa kufanyika tarehe 22 mwezi wa Septemba mwaka huu. Ajenda kuu ni manufaa ya sayansi, teknolojia na uwekezaji kupambana na TB. Takwimu za shirika la Afya la Umoja wa Mataifa,WHO, zinaashiria kuwa Kenya ni moja ya mataifa 22 yanayochangia 80% ya wagonjwa wa Kifua kikuu ulimwenguni.Kwa mantiki hii, Kenya ni ya 15 katika orodha hiyo ya mataifa 22 yanayozongwa naTB. …
Watoto milioni 10 nchini Burkina Faso, Mali na Niger wana uhitaji mkubwa wa misaada ya kibinadamu, idadi ambayo ni maradufu ikilinganishwa na mwaka 2020, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto duniani, UNICEF hii leo, chanzo kikiwa ni mizozo inayoshamiri kila uchao na kwamba Watoto wengine million 4 nchi Jirani wako hatarini Zaidi kwani mapigano kati ya makundi yaliyojihami na majeshi ya serikali yanavuka mipaka.Tuko Benin na sauti ni ya Abasse, Dahani, mtoto mkimbizi mwenye umri wa miaka 8 kutoka Burkina Faso anasema tulikuja hapa Tanguieta Benin kwa mguu. Tulikimbia nyumbani kwa sababu tulifukuzwa.Abasse anawakilisha mamilioni ya watoto wanaokimbia makwao ukanda wa Sahel kwani Mkurugenzi wa UNICEF kanda ya Afrika Magharibi na Kati Marie – Pierre Poirier anasema “watoto wanazidi kukumbwa kwenye mapigano kama waathirika wa mapigano au walengwa kutoka vikundi vilivyojihami ambavyo si vya kiserikali.”Afisa huyo anatolea mfano Burkina Faso akisema watoto waliothibitishwa kuuawa katika miezi tisa ya mwanzo yam waka 2022 walikuwa mara tatu zaidi kuliko mwaka 2021.Wengi wa watoto hao walikufa kutokanana majerara ya risasi, vijiji vyao kushambuliwa au kulipuka kwa vilipuzi vya kutengeneza au masalia ya mabomu yatumikayo vitani. Bi. Poirier amesema mwaka 2022 ulikuwa wa kikatili Zaidi kwa Watoto Sahel ya Kati na hivyo pande zote kwenye mzozo lazima zikomeshe mashambulizi kwa Watoto, shule zao, vituo vya afya na makazi yao.UNICEF inasema mapigano yanazidi kuwa ya kikatili ambapo baadhi ya vikundi vilivyojihami vinaendesha operesheni zao katika maeneo ya Mali, Burkina Faso na Niger ambako wanatumia mbinu kama vile kuweka vizuizi mijini na vijijini na hata kuharibu mitandao yam aji.Kama hiyo haitoshi, UNICEF inasema kutokana na mashabulizi hayo zaidi ya watu 20,000 kwenye maeneo ya mpaka baina ya Burkina Faso, Mali na Niger watakuwa na kiwango cha kutisha cha ukosefu wa chakula ifikapo mwezi Juni mwaka huu.Vikundi vilivyojihami ambavyo vinapinga elimu inayotolewa na serikali vinatia moto majengo ya shule na kupora mali, vinaweka vitisho, vinateka nyara au kuua walimu.Zaidi ya shule 8,300 zimefungwa katika shule zote kwa sababu zilishambuliwa moja kwa moja na walimu kukimbia au kwa sababu wazazi walikimbia au wanahofia kupeleka watoto wao shuleni.Sasa Abasse na familia yake wako Benin na akiwa darasani akiandika anasema “kwa kuwa sasa naenda shuleni, nimepata marafiki. Napenda kifaransa, nazungumza kidogo. Na mwalimu wangu ni mzuri.”UNICEF inasema janga la Sahel ya Kati bado halijapata ufadhili wa kutosha kuweza kufanikisha operesheni zake kwani mwaka 2022 ilipokea theluthi moja tu ya dol amilioni 391 na kwamba mwaka huu imeomba dola milioni 473 kufanikisha operesheni za kiutu Sahel ya Kati na nchi Jirani. TAGS: Usaidizi wa kibinadamuAdditional: Usaidizi wa kibinadamuNews: Sahel ya KatiRegion: AfrikaUN/Tags: UNICEF
Janga litokanalo na mabadiliko ya tabianchi ni janga pia la haki za watoto, linasema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani, UNICEF. Shirika hilo linasema mabadiliko ya tabianchi yanajidhihirisha kwenye ukame, vimbunga, mikondo joto, mafuriko na magonjwa Vyote hivyo vinaathiri zaidi watoto. Tayari nchini Kenya, katika kaunti ya Turkana, UNICEF na wadau wametambua changamoto hiyo na wamechukua hatua kurejesha tabasamu si tu kwa watoto bali pia kwa familia zao kupitia miradi mbalimbali, huku shirika hilo likitoa wito kwa serikali ya Kenya kuendelea kupatia kipaumbele huduma za nishati ya kufanikisha huduma za maji, nishati kama vle ya jua na upepo. Thelma Mwadzaya anamulika kwa kina kilichofanyika katika Makala hii iliyoandaliwa na UNICEF.
Hii leo katika Habari za UN tunamulika haki za binadamu hasa za watu wenye ukoma, kisha teknolojia, wakimbizi na wahamiaji Rwanda na amani na usalama. kwa kina!Watu wenye ukoma na familia zao wamesubiri muda mrefu sana ili haki zao za kuwa na ulemavu ziweze kutambuliwa kitaifa na kimataifa, amesema mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa hii leo kwa ripoti yake kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.Janga la COVID 19 lilipotangazwa mwaka 2019 lilizua taharuki kila kona ya dunia lakini changamoto zilizoletwa na janga hilo zilikuwa fursa kwa vijana nchini Zimbabwe ambao walikuja na wazo la shule mtandaoni na Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo duniani, UNDP likawapatia fedha ili watekeleze wazo na kuwanufaisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.Makala inatupeleka katika eneo la Nyarugenge mjini Kigali Rwanda ambako katika pitapita yake Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili alipata fursa ya kuzungumza na baadhi ya mafundi cherahani wahamiaji kutoka Jamhuri ya Kimekrasia ya Congo DRC walioingia Rwanda kusaka mustakbali bora ikiwemo amani na usalama na kujitafutia riziki kwa sababu ya changamoto za usalama zinazoendelea nchini mwao.Mashinani tutasikia ujumbe Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ushiriki wa wanawake na vijana katika ujenzi wa amani na kuleta maendeleo.Karibu na mwenyeji wako ni Assumpta Massoi
Janga la COVID 19 lilipotangazwa mwaka 2019 lilizua taharuki kila kona ya dunia lakini changamoto zilizoletwa na janga hilo zilikuwa fursa kwa vijana nchini Zimbabwe ambao walikuja na wazo la shule mtandaoni na Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo duniani, UNDP likawapatia fedha ili watekeleze wazo na kuwanufaisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Tuungane na Evarist Mapesa wa Radio Washirika SAUT FM ya Mwanza Tanzania kwa ufafanuzi zaidi.Ni Kudakwashe Mlambo, mwazilishi wa Kampuni ya Digital kiota, kampuni ambayo miongoni mwa kazi zake wana jukwaa liitwalo cheza na ujifunze ambayo anasema“Kimsingi ni jukwaa, la kujifunza mtandaoni ambalo lina maudhui ya video yaliyorekodiwa awali na yanafuata muongozi wa mtaala wa Zimbabwe kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.” Anasema katika jukwaa hilo wana walimu ambao wanarekodi masomo na pembeni ya video ya mwalimu kunakuwa na picha au michoro inayoonesha kile mwalimu anachofundisha ili kujenga uelewa zaidi.Mlambo anasema wazo la jukwaa hili alilipata akiwa chuoni wakati wakijadiliana na wenzake lakini hakuwa na uwezo wakifedha wala kiufundi wa kulitekeleza kwa wakati huo lakini baada ya kusikia tangazo la UNDP kuwa wanatafuta mawazo mapya katika kipindi cha COVID19 ndio wakaona wazo lao litasaidia mamilioni ya wanafunzi ambao walikuwa majumbani na kuamua kuliwasilisha ambapo waliibuka nafasi ya pili.“Fedha tulizoshinda katika mashindano ya Youth connekt tulinunulia vifaa, tuna camera, taa, sehemu ya kuwekea vipindi vyote tunavyozalisha na pia kompyuta tunazozitumia katika uzalishaji wa vipindi. “Vijana hao hawana utaalamu wa kuendesha biashara UNDP imehakikisha wanapata mafunzo hayo pia“Pia tumepata mafunzo ya kina ya ujasiriamali na tumejifunza kuhusu masoko na kuendesha biashara kwasababu wengi wetu ni wajasiriamali kwa mara ya kwanza kwahiyo tunajifunza sana kadri tunavyoendelea kufanya kazi, madarasa ya kujifunza tunayoshiriki yamekuwa na manufaa sana kwetu.”Mbali na jukaa hilo la cheza na jifunze au kwa kiingereza Playandlearn wameweza kutumia elimu ya ujasiriamali waliyopata katika kuanzisha biashara ya kupiga picha na video na kujipatia kipato cha Zaida kwakutumia vifaa vilevile walivyonunua kwa fedha walizopatiwa na UNDP.
Mkutano wa Ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa kuhusu marekebisho ya mfumo wa elimu duniani ukianza leo katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF limetoa taarifa inayoeleza idadi ya Watoto wasiojua kusoma imeongezeka ulimwenguni ikilinganishwa na miaka miwili iliyopita.Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Assumpta Massoi Jijini New York, Marekani katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, UNICEF wameweka mfano wa darasa kando mwa bustani ya mawaridi, darasa hili linaitwa “Darasa la Mgogoro wa kujifunza”, lengo ni kufikisha ujumbe wa changamoto ya elimu duniani hivi sasa. Katika kuhakikisha wanafikisha ujumbe wa changamoto ya elimu UNICEF wameweka mfano wa darasa kando mwa bustani ya mawaridi katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, darasa hili linaitwa “Darasa la Mgogoro wa kujifunza”. Darasa hili limewekwa ubao na madawati lakini theluthi moja ya madawati hayo yametengenezwa kwa mbao na kuwekwa mabegi ya mgongoni ikiwakilisha theluthi moja ya Watoto wenye umri wa miaka 10 wanaokadiriwa kuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa ulimwenguni. Kabla ya Janga la COVID-19 miaka miwili iliyopita watoto waliojua kusoma wenye umri wa miaka 10 ulimwenguni walikuwa nusu lakini sasa UNICEF linasema idadi yao ni theluthi moja hii ikiwa sawa na mtoto mmoja kati ya watatu ndio mwenye uwezo wa kusoma na kuelewa hadithi fupi. Katika taarifa yake iliyotolewa jijini New York Marekani Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Catherine Russell ameeleza sababu za kuporomoka kwa uwezo wa Watoto kujua kusoma ni shule zilifungwa muda mrefu kipindi cha janga la CORONA na kuwaacha mamilioni ya Watoto bila ujuzi wa msingi wa kusoma na kuhesabu, elimu haikuwa bora na kufichua mapungufu mengi ndio maana idadi ya Watoto wasiojua kusoma na kuhesabu imeongezeka kwa kiwango cha kushtusha na kuonya hii ni hatari kwa Maisha ya baadae ya watu wote duniani. Taarifa hiyo imemnukuu Bi Russelle akisema “Mifumo yetu ya elimu ndio mwelekeo wa maisha yetu ya baadae. Tunahitaji kubadili mwelekeo wa sasa au itatubidi kukabiliana na matokeo ya kushindwa kuelimisha kizazi chote. Viwango vya chini vya kujifunza vya leo inamaanisha fursa ndogo kesho.” Wakati viongozi wakikutana katika Mkutano wa marekebisho ya mfumo wa elimu UNICEF imetoa wito kwa serikali kujitolea kuwafikisha Watoto elimu bora kwa kuongeza uwekezaji kwenye elimu, kuweka mazingira salama ya kujifunzia, kuandikisha Watoto wengi shule na kuboresha maslahi ya walimu. Mkuu huyo wa UNICEF amesema hali ya sasa ni mbaya “Shule hazina rasilimali, walimu wanalipwa ujira mdogo, walimu wengine wasio na sifa wanaajiriwa, msongamano wa wanafunzi madarasani, mitaala ya kizamani na vyote hivi vinasababisha Watoto kushindwa kufikia uwezo wa juu wa ufaulu.”
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, Jumatano amesema mgogoro katika jimbo la kaskazini mwa Ethiopia la Tigray ni mzozo mbaya wa kibinadamu na janga lililosababishwa na mwanadamu duniani.
1 - Fiarovana mahatoky ny fahatahorana an'i Jehovah 2 - Ilay vehivavy janga
Hii leo jaridani tuna mada kwa kina mahsusi ikimulika raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC aitwaye Esperance Tabisha aliyenufaika na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuhamishia wakimbizi nchi ya tatu kupitia mkataba wa kimataifa wa wakmbizi, GCR. Katoka DRC kaingia kambini Kakuma nchini Kenya na kisha Canada na sasa ni mbunifu wa mitindo akitumia mtandao wa kijamii kupata wateja wake. Janga la COVID-19 lilikuwa chungu na tamu hapo hapo kwa vipi? Thelma anasimulia. Usisahau kuna habari kwa ufupi ikiletwa na Leah Mushi akianza na wakimbizi wa DRC wanaorejea nyumbani kwa hiari kutoka Angola, kisha hatua ya UN kupatia fedha Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR ili kukidhi mahitaij ya chakula na mwisho ni watoto kwenye mizozo ikimluika ripoti ya Katibu Mkuu. Mashinani ni nchini Rwanda ambako shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana Chama cha Madaktari wa Watoto wa nchini Rwanda na Chuo cha Madaktari wa Watoto, Royal College of Pediatrics cha Uingereza ili kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa akina mama na watoto ndani ya siku 1,000 za kwanza za maisha kwa kuimarisha uwezo wa watoa huduma za afya na kwa kuvipa vituo vya afya vifaa muhimu vya matibabu. Noella Uwera ni Muuguzi anayehusika na watoto wachanga katika Hospitali ya Kacyiru katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali.
Licha ya mwaka 2021 kutegemewa utakuwa mwaka bora wa utoaji chanjo kwa watoto wachanga baada ya janga la COVID-19 kuvuruga utoaji chanjo mwaka 2019 na 2020, ripoti iliyotolewa leo na Umoja wa Mataifa imeonyesha kiwango cha utoaji chanjo duniani kimeendelea kupungua mara dufu na kurudisha takwimu kwa miongo mitatu nyuma huku watoto milioni 25 wakikosa chanjo muhimu za kuokoa maisha yao. Leah Mushi ametuandalia taarifa zaidi Ripoti hiyo ya pamoja iliyotolewa leo jijini New York, MArekani na GEneva Uswisi na mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa lile la Afya duniani WHO na la kuhudumia Watoto UNICEF imeeleza kuwa utoaji wa chanjo dhidi ya dondakoo, pepopunda, kifaduro ulishuka kwa asilimia tano mwaka 2019 na mwaka 2021 imeshuka hadi asilimia 81. Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Catherine Russell ameonya kuwa ripoti hiyo ni” tahadhari nyekundu juu ya afya ya Watoto “hata hivyo amesema hatari hiyo kubwa inaweza kuzuilika. “Janga la covid-19 sio sababu tena ya kutotoa chanjo na bado tunashuhudia utoaji chanjo ukishuka. Tunapaswa kuhakikisha kuna upatikanaji wa chanjo kwa mamilioni ya watoto waliokosa chanjo hizo la sivyo tutashuhudia mlipuko zaidi wa magonjwa, watoto wengi wata ugua na hii itaongeza shinikizo kubwa katika mifumo ya afya ambayo kwasasa tayari ipo kwenye matatizo.” Miongoni mwa sababu za ongezeko la watoto kutopata chanjo ni pamoja na kuongezeka kwa watoto wanaoishi kwenye maeneo yenye mapigano au mazingira hatarishi kiusalama ambayo ufikishaji wa chanjo umekuwa changamoto, kuongezeka kwa taarifa za uongo na upotoshaji kuhusu chanjo pamoja na changamoto nyingine zilizosababishwa na janga la COVID-. Hata hivyo Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema nchi zinapaswa kuhakikisha zinajipanga vyema na kuhakikisha kila eneo katika sekta ya afya linaguswa “Tunapopanga kupambana na COVID-19 tunapaswa pia kwenda sambamba na mipango ya utoaji chanjo ya magonjwa kama surau, nimonia na kuhara. Hapa sio swali la twende na hii au hii”. Hata hivyo ripoti hiyo imesifu nchi za Uganda na Pakistan kwa kuwa na mipango madhubuti wakati wakishughulikia janga la COVID-19 ambapo walijumuisha pia utoaji chanjo kwa watoto. Nchi zilizoathirika zaidi kwenye kushindwa kufikia idadi kubwa ya watoto kuwapatia chanjo ni zile za kipato cha chini na cha kati ambazo ni India, Nigeria, Indonesia, Ethiopia na Ufilipino na zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya watoto ambao hawajapata chanjo. Nchi nyingine ambazo mwaka 2021 watoto wengi walikosa chanjo ni Myanmar na Msumbiji.
Mkutano wa kimataifa wa maendeleo ya mawasiliano umeanza leo mjini Kigali nchini Rwanda ukiwa na lengo la kupitisha mwongozo wa kimataifa wa mabadiliko ya kidigitali ili hatimaye kusaidia kuweka ufikiaji wa maana wa teknolojia za kidijitali mikononi mwa mabilioni ya watu duniani kote na kuhakikisha wananchi wasiounganishwa na mtandao wanaunganisha ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu SDGs. Anold Kayanda na maelezo zaidi. Mkutano huo wa siku kumi ulioanza leo (Juni 6 mpaka Juni 16, 2022) ulioandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mawasiliano Duniani, ITU unawaleta pamoja zaidi ya wadau elf moja na mia mbili ikiwemo wakuu wa nchi na serikali, mawaziri pamoja na wawakilishi wa vijana kutoka kila kona ya dunia. Katika ujumbe wake kwa njia ya video wakati wa ufunguzi wa mkutano huo katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekumbusha dhima ya kuhakikisha hakuna mtu anaachwa nyuma katika kusaka maendeleo kwa wote. “Zaidi ya theluthi moja ya wanadamu bado hawana uwezo wa kufikiwa na huduma ya intaneti. Jukumu lako katika mkutano huu wa mawasiliano ( #ITUWTDC) ni kuandaa mpango Kazi mpya ambao utawaleta karibu watu bilioni 3 ambao hawajaunganishwa katika jumuiya yetu ya kimataifa ya kidijitali kwa sababu tunavyosema tusimuache mtu nyuma, tunamaanisha kutomwacha mtu yeyote nje ya mtandao wa intaneti.” Guterres mbali na kuishukuru Rwanda kwa kuandaa mkutano huo pia amekumbusha umuhimu wa Mpango kazi wa Kigali utakao pitishwa katika mkutano kuweka ubinadamu mbele na kutatua changamoto ya mgawanyo wa kidigitali katika jamii maana unachochea kuongeza pengo la usawa. “Pengo la kidigitali linachochea utofauti wa kijamii, kiuchumi na kijinsia katika maeneo yote kutoka mijini mpaka vijijini, kutoka kwenye elimu mpaka sekta ya afya, kutoka utotoni mpaka utu uzima na kwakuwa mkutano huu unawaleta watu pamoja ikiwemo wakuu wa nchi, makampuni binafsi, asasi za kiraia na wadau wengine ni sehemu nzuri ya kukubaliana masuala muhimu ikiwemo uwazi, uhuru na usalama katika mitandao ya kidijitali.” Mkutano huu ambao hufanyika mara moja kila baada ya miaka minne unatoa wito wa kutumia uwezo ambao haujatumiwa wa teknolojia ya kidijitali ili kuharakisha kufikiwa kwa Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa na Ajenda ya ITU ya kuunganisha wote ifikapo mwaka 2030. Pia unatoa fursa ya kipikee kwa jumuiya ya kimataifa kuunda mikakati ya kijasiri na ya kibunifu inayolengwa kidijitali ili kusaidia kuvunja vizuizi sugu vya maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Janga la COVID-19 limeonesha kwa kina umuhimu wa jamii nzima kuunganishwa na mtandano ili kuimarisha uthabiti wa kiuchumi na kuhakikisha ushirikishwaji wa kijamii kila mahali.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari nchini Tanzania wameeleza kunufaika na mkopo wa riba nafuu Trilioni 1.3 ambao Tanzania iliupata mwaka jana 2021 kutoka Shirika la Fedha Dunia IMF kwa kuelekeza sehemu ya fedha katika uboreshaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19, ikijenga vyumba vya madarasa 12,000 vilivyogharimu shilingi Bilioni 240 kwa lengo la kupunguza msongamano shuleni sambamba na miundombinu ya madarasa na samani za ndani kuzingatia afua za kujikinga na ugonjwa wa Covid 19 au kama wanavyoita katika nchi hiyo, Uviko 19. Katika kuonesha taswira halisi, Hamad Rashid ni mwandishi wa Habari wa Redio washirika Tanzania kids time Fm ya mkoani wa Morogoro, amefanya ziara ya kutembelea mradi uliokamilika wa vyumba vya madarasa ya Uviko 19 katika Shule za Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Manispaa ambayo imejenga jumla ya vyumba vya madarasa 86.
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya Ulimwenguni WHO limetoa wito wa dharura wa hatua za haraka za viongozi na watu wote kuhifadhi na kulinda afya na kupunguza janga la mabadiliko ya tabianchi kama sehemu ya kampeni ya "Sayari yetu, afya yetu" kuadhimisha siku ya afya, ambayo inafanyika wakati kukishuhudiwa mzozo mkubwa na udhaifu. Taarifa kamili na Grace Kaneiya Katika wito wake wa kuchukua hatua, WHO imetanabaisha kuwa asilimia 99 ya watu hupumua hewa isiyofaa hasa inayotokana na kuchomwa kwa mafuta ya kisukuku. Ulimwengu ulioghubikwa na joto unashuhudia mbu wakieneza magonjwa zaidi na haraka kuliko hapo awali. Matukio makubwa ya mabadiliko ya tabianchi, upotevu wa bayoanuai, uharibifu wa ardhi na uhaba wa maji vinasababisha watu kuhama makwao na kuathiri afya zao. Pia shirika hilo linasema uchafuzi wa mazingira na plastiki hupatikana chini kabisa ya bahari zetu, na kwenye milima mirefu zaidi, na zimeingia kwenye mnyororo wa chakula na mkondo wa damu. Mifumo inayozalisha vyakula na vinywaji vilivyosindikwa na, visivyo na afya na vinywaji vinavyosababisha wimbi la utipwatipwa, vinaongeza visa vya magonjwa ya saratani na magonjwa ya moyo huku ikizalisha hadi theluthi moja ya utoaji wa gesi chafuzi duniani. Janga la kiafya na kijamii vinahatarisha uwezo wa watu kuchukua udhibiti wa afya na maisha yao. Taarifa hiyo imemnukuu Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt. Tedros ASdhanom Ghebreyesus akisema, “Janga la mabadiliko ya tabianchi ni janga la kiafya: chaguo zisizo endelevu ambazo zinaua sayari yetu zinaua watu". Ameongeza kwamba, "tunahitaji suluhu za mageuzi ili kuufanya ulimwengu kuachana na uraibu wa nishati ya mafuta, kufikiria upya uchumi na jamii zinazozingatia ustawi, na kulinda afya ya sayari ambayo afya ya binadamu inategemea." Janga la COVID-19 limeweka bayana ukosefu wa usawa ulimwenguni kote, imesem taarifa hiyo ikisisitiza udharura wa kuunda jamii endelevu, zenye ustawi ambazo hazikiuki mipaka ya kiikolojia na ambazo zinahakikisha kuwa watu wote wanapata vifaa vya kuokoa maisha na kuboresha maisha, mifumo, sera na mazingira. Muongozo wa WHO wa kuhakikisha urejeshaji wa afya na ulinzi wa mazingira kutoka kwenye janga la COVID-19 unapendekeza kulinda na kuhifadhi mazingira kama chanzo cha afya ya binadamu; kuwekeza katika huduma muhimu kama vile maji, huduma za kujisafi mpaka nishati safi katika vituo vya afya; kuhakikisha mpito wa nishati yenye kuzingatia afya; kukuza mifumo ya chakula yenye afya na endelevu; kujenga miji yenye afya na ambayo watu wanaweza kuishi; na kusitisha matumizi ya pesa za walipa ushuru kufadhili uchafuzi wa mazingira. Mkataba wa Geneva wa ustawi umetanbaaisha ni ahadi gani za kimataifa zinahitajika ili kufikia matokeo sawa ya afya na ya kijamii sasa na kwa vizazi vijavyo, bila kuharibu afya ya sayari yetu. Kupitia kampeni yake ya Siku ya Afya Duniani, WHO inatoa wito kwa serikali, mashirika na raia kushirikiana katika hatua wanazochukua kulinda sayari na afya ya binadamu.
DJ Richie R.A.S. alongside DJ Lank (Code Red Sound) live audio from Janga's Soundbar in Kingston Jamaica, Friday March 11, 2022
Mbali na janga la Janga la Corona au COVID-19 ambalo limeikumba dunia kwa zaidi ya miaka miwili, wananchi wa Uganda waishio karibu na Ziwa Albert kwa miaka hiyo miwili wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya ziada ya mafuriko. Wanawake wanachama wa kikundi cha Kaizo Women's Group (KWG) wilayani Hoima ni moja wapo ya vikundi ambayo mipango yao ilikwamishwa na atahri za mafuriko na ambao sasa wanaomba msaada wa kifedha kutoka serikali katika juhudi zao za kujikwamua kutokana na uharibifu wa maji huku wakikabiliana na janga la COVID-19. Mwandishi wetu wa Uganda, John Kibego amefanya mahojiano na Ongyera Aness afisa wa ujasiriamali katika kikundi hicho.
Janga la Corona au COVID-19 lilipoibuka miaka miwili iliyopita halikuleta changamoto za afya pekee bali kiuchumu na masuala mengine ya kijamii kama hofu juu ya taarifa zihusianazo na janga hilo. Kwakuwa janga hilo lilikuwa jipya wananchi wengi walijikuta wakihamaki kutokana na kuenea kwa taarifa za uzushi zilizokuwa zikisambaa mitandaoni. Kwa kuona adha hiyo Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma wa Umoja wa Mataifa Melissa Fleming alizindua kampeni maalum ya “Tafakari kwanza” au “Verified initiative” kwa lengo la kuwataka watu kote duniani kutafakari kabla ya kusambaza taarifa au maudhui kwenye mitandao ya kijamii. Wadau mbalimbali duniani waliunga mkono kampeni hiyo na nchini Tanzania kijana Nuzulack Dausen ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Nukta Afrika yenye lengo la kuelimisha waandishi wa habari naye alianzisha ukurasa maalum wa Nukta Fakti mtandaoni ambao unatoa elimu na kukanusha taarifa za uongo zinazoenea mitandaoni. Dausen anatoa elimu ya namna mwananchi wa kawaida anavyoweza kutambua habari ya uongo mtandaoni.
1 - Samy nomen'Andriamanitra ny maha izy azy avy ny olona tsirairay 2 - Faly i Neny 3 - Fifandraisana mamonjy 1 4 - Fanabeazana ho an'ny Ray aman-dReny 01 5 - Ny finoan'i Rahaba janga
01 - Ny tena Vavaka marina - 02 - Ilay vehivavy janga
From Pease Park to Praia do Janga, discover the origins of the song "Ciranda," a folk song from the northeast of Brazil. A 3,000 mile journey across Brazil in 2017 inspired the songs on Ley Line's sophomore album "We Saw Blue." Every song has a story. The song "Ciranda" was adapted from a Brazilian folk song written in 1973. In Episode 5 of Following Ley Line Emilie tells the story of how she managed to track down the songwriter of this traditional song. "It's an opportunity to share this traditional Ciranda with a wider audience by including this English part that comes from our own experience and our own hearts. I think that's a really special thing that music can do—it's something that's shared and always changing" ~Lydia