POPULARITY
The Action Pack is back and they got A LOT of comics. First, catch up on all the Main Team X-Titles with Exceptional X-Men, Uncanny X-Men, and today's X-Men 12. Then, take a look at the She-Devils of Marvel in an all new Women of Marvel title before hopping over to DC for a double dose of catching up – first with Justice League Unlimited to find out what's going on with Air Wave and then to Detective Comics for more on Asema! It's X-Men 12, Uncanny X-Men 10, Exceptional X-Men 6, Women Of Marvel: She-Devils, Justice League Unlimited 4, & Detective Comics 1094 – all this and more on an all new X Is For Podcast! X IS FOR SHOW is a talk show for your favorite media, the same way THE OFFICE was a documentary about a paper company. Every week, THE ACTION PACK gathers to discuss a wide range of entertainment media and news, from film & TV to comics to gaming, music, and beyond. Led by NICO (@NicoAction) and TK (@TKAccidental) with producer KEVO (@KevoReally), as well as a variety of friends and special guests, these LIVE discussions are not to be missed - so be sure to tune in and join us for all the fun!
Baada ya waasi wa M23 jimboni Kivu Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kupatia wakimbizi waliokuwa wamesaka hifadhi kambini mjini Goma, wawe wamerejea makwao ndani ya saa 72 kuanzia juzi jumatatu, mamia wameanza kutii amri hiyo.Miongoni mwao ni Kibira Bakulu, baba wa watoto 5, aliyekimbia mapigano eneo la Saké, mwezi Februari mwaka jana, takriban kilomita 10 kutoka Goma.Akiwa katika harakati za kubomoa kibanda chake katika kambi ya nane ya CEPAC Mugunga huko Goma, Bwana Bakulu anasema walishangaa, bila kuwa tayari, kuambiwa warudi walikotoka."Tumepatiwa saa 72 tuwe tumeondoka na kurejea Saké, kwani vita vimeisha. Sisi hatua uhakika kamili kwa sababu tuliondoka Saké kutokana na vita. Kama inabidi kusukumwa tuondoke, hatuna la kuchagua,” amesema Bwana Bakulu.Ana hofu ya kurejea Saké, akisema, “kule tulikuwa tunaishi Sake na tukirejea tutaishi vipi? Tunaomba viongozi wajitahidi watusaidie ili watuhakikishia usalama.Alipoeleza hali halisi amesema, “ hii siku ya leo hapa unaniona, watu wamepita hapa wakifanya vurugu, wananyang'anya kila kitu ulichonacho, iwe simu wanabeba. Sasa tunashindwa kufahamu amani iko katika kiwango gani?”Kwa mujibu wa Bwana Bakulu, walishaamua kuwa hawataweza kurudi na kama ni kufa basi watafia Goma, lakini sasa wamelazimishwa kurejea Saké.
Bill and John discuss Detective Comics #1092, Nightwing #121, Batman & Robin #3 & Catwoman #71Support the show
Bill and John discuss Detective Comics #1092, Nightwing #121, Batman & Robin #3 & Catwoman #71
Psykiatria ja yksilön oikeudellinen asema | Tällä kertaa vieraanani Maija-Sofia Ulmanen, joka tekee artikkeliväitöskirjaa Vaasan yliopistoon. Väitöskirjan aiheena on tutkia sitä mekanismia, jonka kautta ihmiset syrjäytyvät yhteiskunnan valtavirrasta yhteiskunnan ulkokehälle ja minkälaisia rooleja psykiatria ja oikeuskäytäntö näyttelevät tässä prosessissa, ja mitä ovat parannusehdotukset havaittuihin ongelmiin. Psykiatria ja yksilön oikeudellinen asema – Vieraana Maija-Sofia Ulmanen Tässä […] The post Psykiatria ja yksilön oikeudellinen asema – Vieraana Maija-Sofia Ulmanen appeared first on Astetta parempi elämä.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Janga la kibinadamu likizidi kushika kasi nchini Yemen, shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM linaongeza kasi ya mpango wake wa kurejesha wahamiaji nyumbani kwa hiari, VHR. Mradi huu hupatia wahamiaji waliokwama njia salama ya kurejea nyumbani kwao. Kupanuliwa kwa mradi huu kunafuatia idadi ya wahamiaji nchini Yemen kuongezeka na kufikia 6,300 mwezi Oktoba mwaka huu, kwa mujibu wa mfuko wa IOM wa Ufuatiliaji wa wahamiaji.Mwaka huu wa 2024, IOM imeshafanya safari 30 za ndege kupitia mradi huo wa VHR ikiwemo ya tarehe 5 mwezi huu waDesemba ambapo wahamiaji 175 wa Ethiopia walirejeshwa Yemen kutoka uwanja wa ndege wa Aden. Makala hii inafuatilia miongoni mwa wahamiaji hao yaliyowasibu hadi kukubali kurejea nyumbani kwa hiari. Msimulizi wako ni Assumpta Massoi.
Jamii ya asili ya Yukpa nchini Colombia imevumilia miongo kadhaa ya migogoro na watu kutawanywa inayosababishwa sio tu na mabadiliko ya tabianchi mila kandamizi bali pia kupotea kwa viumbe hai na hivyo kutishia maisha yao. Esneda Saveedra, Kiongozi wa jamii ya asili ya Yukpa nchini Colombia akiwa anazungumza akiketi ndani ya msitu na kando ya mto Maracas., anasema hana hofu ya kutetea ardhi hii.Ardhi anayozungumzia ni eneo hilo la mto Maracas anayotetea dhidi ya vitisho kutoka kwa waharibifu wa mazingira kufuatia yale yaliyojadiliwa katika mkutano wa 16 wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa bayonuai, COP16 uliomalizika Ijumaa iliyopita huko mjini Cali nchini Colombia."Sina hofu ya kutetea ardhi hii. Yale niliyopitia kama mtoto, changamoto zote hizo, yalinipa nguvu, yalinipa ujasiri, na yakaondoa hofu yangu."Video ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR inatupatia taswira ya juu ya eneo la makazi ya jamii ya Yukpa, msitu mnene na kisha kwenye mto Maracas, shughuli zinaendelea, wengine wakiogelea, wengine wakivua samaki, mama mmoja akisafisha kuku aliyemaliza kumchuna.Esneda anaeleza umuhimu wa mto huu kwa maisha ya jamii yake na anaendelea kujitahidi ili kulinda mazingira hayo."Huu ni mto Maracas, ambapo watu wetu, mababu zangu, walivua samaki kwa ajili ya chakula kila siku. Waliharibu mazingira kwa kukata miti yote, na matokeo yake, mto ulianza kukauka. Leo, mto Maracas hauna mtiririko wa maji kama ulivyokuwa zaidi ya miaka 20 iliyopita."Katika juhudi zake, Esneda ameanzisha mazungumzo na maafisa wa serikali katika manispaa ya Becerril, akijaribu kuleta mabadiliko na uelewa juu ya umuhimu wa kuhifadhi ardhi na utamaduni wa watu wa Yukpa."Kumekuwa na uratibu, kazi ya pamoja, na jambo muhimu zaidi kwangu kama mwanamke wa Yukpa imekuwa kuleta ufahamu kuhusu watu wa Yukpa na ardhi yetu. Mabadiliko ya tabianchi yametufikisha kwenye tatizo kubwa zaidi, ambalo ni upotevu wa mazao na ukosefu wa chakula. Leo hatuna chakula cha kutosha katika jamii zetu. Tunaendelea kupambana, lakini pia tuko hapa kusaidia dunia nzima kuendelea kupambana na kulinda mazingira, ardhi, na hewa. Na kusema: 'Tupo hapa kuchangia kwa ajili ya ubinadamu, kwa ulimwengu mzima.'"Harakati zake zimekumbwa na vitisho.“Walinitishia hapa kwa kuzungumza, na kwa kusema ukweli. Mama yangu alikuwa kiongozi thabiti—na bado ni kiongozi thabiti. Na nilipokuwa mdogo, nilimsindikiza kwenye michakato yake yote ya harakati, mipango na uongozi. Niliendeleza njia hiyo ya uongozi kwa sababu niliona ni muhimu. Ilikuwa ni wajibu wangu. Nilijiambia, ‘mimi ni mwanamke ambaye nimezaliwa kutetea eneo hili.”Kwa Esneda, kulinda ardhi ya Yukpa ni zaidi ya wajibu; ni dhamira ya kuhifadhi urithi wa mababu zake. Katika changamoto za kila siku, Esneda anabaki imara kwa matumaini kuwa jamii yake na mchango wao katika kuhifadhi mazingira utatambuliwa ulimwenguni.
Vieraana Daniel Nummela, Kansanlähetyksen toiminnanjohtaja. Kansanlähetys ja Suomen luterilainen evankeliumiyhdistys viettivät vuoden kirkkopoliittisessa limbossa, jossa niiden asema kirkon lähetysjärjestönä horjui. Mistä siinä oli kyse ja miten tilanne jatkuu?
Kauli ya rais wa DRC kuhusu marekebisho ya katiba yazua hisia mseto, kesi ya naibu wa Rais wa Kenya aliyeenguliwa madarakani Rigathi Gachagua yaendelea, umoja wa Ulaya kuendeleza shinikizo ilizoiwekea Burundi mwaka 2015 hadi mwaka 2025. Ziara ya mkuu wa UNHCR Fillipo Grandi nchini Uganda, mgombea wa chama tawala kule Msumbiji awa mshindi wa uchaguzi mkuu, uchaguzi mkuu wa Marekani na mengineyo.
Leo ni mwaka mmoja tangu vita ianze huko Gaza, Mashariki ya Kati baada ya wanamgambo wa kipalestina, Hamas kushambulia Israeli na kuua waisraeli 1250 pamoja na wageni, kisha Israeli kujibu mashambulizi yaliyoripotiwa kuua hadi sasa zaidi ya wapalestina 41,000 ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa pamoja na wakuu wa mashirika mbali mbali ya chombo hicho wametoa wito kutaka kukoma kwa vita hiyo. Assumpta Massoi na maelezo zaidi. Antonio Guterres huyu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kupitia ujumbe wake kwa njia ya video leo ikiwa in mwaka mmoja, anasema hii ni siku kwa jamii ya kimataifa kurejelea tena kwa sauti kubwa zaidi kulaani kwetu kwa vitendo vya kuchukiza vya Hamas ikiwemo utekaji nyara wa siku ile.Hamas waliteka nyara zaidi ya watu 250. Guterres amesema katika kipindi cha mwaka mmoja amezungumza na familia ambazo ndugu zao wanashikiliwa mateka hadi sasa. Amezungumzia pia machungu yaliyoibuka baada ya vita kuanza. Sasa anasema ni wakati wa kuachilia huru mateka. Wakati wa kunyamazisha bunduki. Wakati wa kukomesha machungu yaliyogubika ukanda huo. Wakati wa amani, sheria ya kimataifa na haki. Umoja wa Matiafa umejizatiti kufanikisha malengo hayo. Pisha nikupishe za manusura, magari ya wagonjwa na viwewe ni hali ya kawaida Gaza kwa mwaka mmoja sasa.Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la afya ulimwenguni, WHO, pamoja na kusaidia waathiriwa wa vita, linashirikiana na mashirika ya kiraia kusaidia wale wanaosaidia manusura, mathalani madereva wa magari ya wagonjwa, wahudumu wa afya ambao waliathiriwa na kile walichokiona wakati wakisafirisha mahututi au kutambua maiti kwenye vifusi.Lile la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina, UNRWA limemnukuu Abu Majdi mpalestina mwenye umri wa miaka 80 akisema baada ya mwaka mmoja wa ukimbizi, joto kali na baridi kali, hadi lini tutaendelea kuhimili ukimbizi huu? Hadi lini tutapata haki na maisha yetu?Naye Kaimu Mkuu wa Ofisi ya UN ya kuratibu misaada ya dharura, OCHA Joyce Msuya anasema hakuna takwimu zinazoweza kueleza bayana madhila ya kimwili, kiakili na kijamii ya vita hiyo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hatowania urais ila Uganda itaendelea kuongozwa na polisi au jeshi baada ya rais Museveni Juma lililopita mtoto wa Rais wa #Uganda pia mkuu wa majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa nchi hiyo itaongozwa na mwanajeshi au polisi baada ya baba yake kuondoka madarakani.
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hatowania urais ila Uganda itaendelea kuongozwa na polisi au jeshi baada ya rais Museveni Juma lililopita mtoto wa Rais wa #Uganda pia mkuu wa majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa nchi hiyo itaongozwa na mwanajeshi au polisi baada ya baba yake kuondoka madarakani.
Katika makala haya tunajadili hatua ya kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, kusema hataki mazungumzo yoyote yatayohusisha wapiganaji wa RSF, akisema jeshi liko tayari kupigana hata kwa miaka 100. Matamshi yake yamekuja wakati huu Marekani ikiongoza juhudi za kupata mwafaka wa mani kati yake na vikosi vya RSF.
Katika makala haya tunajadili hatua ya kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, kusema hataki mazungumzo yoyote yatayohusisha wapiganaji wa RSF, akisema jeshi liko tayari kupigana hata kwa miaka 100. Matamshi yake yamekuja wakati huu Marekani ikiongoza juhudi za kupata mwafaka wa mani kati yake na vikosi vya RSF.
Tumeangazia katika makala ya wiki hii ni pamoja na ugonjwa wa Mpox ulitangazwa kuwa dharura ya kimataifa, DRC ikiathirika zaidi, nchini Kenya Raila Odinga kutojihusisha tena na siasa, jeshi la Uganda lilivamia na kuharibu kambi ya kundi la waasi la LRA huko Sudan pande hasimu zasusia mkutano wa Geneva, nchini Marekani, makamu wa rais Kamala Harris akubali uteuzi wa chama chake cha Democratic kuwa mgombea wa nafasi ya urais, na mengineyo
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Raastotuolissa istuu vuosien rajun huumeiden käytön jälkeen raitistunut Sofia, jonka kanssa pohditaan naisten asemaa päihde- ja rikosmaailmassa. Sofia tuo omakohtaisen kokemuksen avulla ymmärrystä kuulijoille siitä miten huumeiden maailmaan ajaudutaan ja mitä vaatii hoitupolku, jonka avulla sieltä irtaannutaan.
Makala hii imeangazia maandamano nchini Kenya huku rais Ruto akisema hatasaini mswada wa fedha wa 2024 uliokuwa umeidhinishwa na wabunge walio wengi, waasi wa M23 huko DRC walifanikiwa kuuteka mji wa kimkakati wa Kanyabayonga wilayani Lubero mashariki mwa DRC, mgomo wa wafanyabiashara nchini Tanzania, na nini hatima yake, siasa za Afrika kusini lakini pia mdahalo kati ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na Joe Biden kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, yaliyojiri nchini Ufaransa na kwengineko Duniani.
Tervetuloa OPxSijoittamisen Markkinapodin pariin! Vieraana strategi ja salkunhoitaja Jussi Hyöty. Jakson aiheena Euroopan monimutkainen ja haasteellinen asema globaalissa maailmassa. EU:n on mietittävä asemansa uudelleen, sillä se on laskevalla käyrällä. EU ei ole valinnut selvästi puoltaan kaupassa, mikä voi vaikuttaa sen asemaan globaalissa taloudessa. Kiinan ja Taiwanin tilanne on edelleen epävarma, ja Kiinan vaikutusvalta kasvaa maailmassa. Tullikysymys on herättänyt huolta, ja EU:n on seurattava tilannetta tarkasti. Euroopan vihreä siirtymä ja teknologian osaaminen voisivat olla sen kilpailuetu, mutta tavoitteisiin tehdään heikennyksiä, ja USA ja Kiina menevät tälläkin sektorilla menojaan. Euroopan finanssipolitiikka on myös haasteellinen, ja valtioiden ja EU:n on löydettävä keinoja yhteishankinnoille ja velan hallinnalle.Lopussa lisäksi vastaus yleisökysymykseen!Seuraa meitä:Twitter: https://twitter.com/OPsijoittaminen Instagram: https://www.instagram.com/op_sijoittaminen/Videoihin, jotka eivät ole asiakkaan toiminnan kannalta kriittisiä, ei ole tehty kuvatulkkauksia, tekstitystä tai tekstimuotoista vastinetta. Lisätietoja saavutettavuusselosteestamme voit lukea täältä: https://www.op.fi/saavutettavuus/sosiaalisen-median-saavutettavuusOP Varainhoito Oy (jäljempänä ”OP Varainhoito”) on OP Ryhmään kuuluva sijoituspalveluyritys, jonka toimintaa valvoo Finanssivalvonta. OP Varainhoito tarjoaa omaisuudenhoitopalveluita instituutioille ja muille yhteisöille sekä varakkaille yksityishenkilöille. OP Varainhoito voi toimia myös OP-Rahastojen salkunhoitajana. Tämä OP Varainhoidon laatima materiaali on yleistä markkinainformaatiota, joka ei täytä riippumattoman sijoitustutkimuksen edellytyksiä. OP Ryhmässä riippumatonta sijoitustutkimusta tuottaa OP Yrityspankki Oyj. Materiaali on tarkoitettu vain OP Varainhoidon asiakkaiden yksityiseen käyttöön ja sen kopioiminen, julkaiseminen tai levittäminen ilman OP Varainhoidon kirjallista lupaa ei ole sallittua. Esityksen perustuu julkisiin lähteisiin ja informaatioon, joita OP Varainhoito pitää luotettavana. Tämä ei kuitenkaan sulje pois mahdollisuutta, että esitetyt tiedot eivät kaikilta osin olisi täydellisiä ja virheettömiä. OP Varainhoito tai sen palveluksessa oleva henkilökunta eivät vastaa esityksestä ja näiltä sivuilta saatavan muun informaation perusteella tehtyjen sijoituspäätösten taloudellisesta tuloksesta tai muista vahingoista, joita esityksestä saadun informaation käytöstä mahdollisesti aiheutuu. Tätä esitystä ei tule pitää sijoitusneuvona, tarjouksena ostaa tai merkitä mitään arvopapereita, eikä kehotuksena yksittäisen sijoituksen toteuttamiseen.
Antti Kummu, a founding partner of CapMan Growth, joins us to discuss their take-private of Silmäasema, what makes companies valuable, the importance of storytelling, Elon Musk, and much more. Learn more: https://generogrowth.com/ https://capman.com/private-equity/growth/ https://www.linkedin.com/in/antti-kummu-cfa-a85aa11/ (0:00) Introduction (0:40) Antti's background and Finnvera and Tesi (3:35) Working as CFO at a rapidly growing company (6:53)The role of metrics and data in understanding a business (14:07) The insights behind the Silmäasema take-private (18:47) CapMan Growth's investment strategy (23:55) Working with strong-willed entrepreneurs (26:25) What makes companies valuable? (31:17) Storytelling (36:37) Timing the market vs building a good business (38:55) Raising 130 million euros (44:45) Private equity in Finland, Elon Musk
Lähi-idän tilanteessa laajenemisen vaara. Vieraana lähi-idän tutkija Joonas Maristo, Helsingin yliopisto. Britannian rooli Lähi-idässä, Lontoosta raportoi Auli Valpola. Jakautuneen Puolan uusi hallitus on ottanut ensiaskeleitaan. Varsovasta raportoi Justas Stasevskij. Millainen rooli presidentin puolisolla voisi olla? Vieraina historioitsija Kati Katajisto, Helsingin yliopisto ja Ylen politiikan toimittaja Marica Paukkeri. Kotimaan talouden tuoreet näkymät. Puhelimessa ekonomisti Juho Keskinen, Hypo. Juontaja Atte Uusinoka, toimittajat Matti Konttinen ja Satu Heikkilä. Tuottaja Hanna Juuti.
Ensimmäinen sana, jonka tutkija Tiina Airaksinen aikoinaan oppi kiinaksi, oli 'suhteet'. Sanan painoarvo kertoo verkostojen merkityksestä Kiinassa. Airaksinen on Aasian tutkimuksen vanhempi yliopistonlehtori, ja hän on tutkinut kiinalaisia identiteettejä ja naisten toimijuutta 1990-luvulta lähtien. Millaisiin verkostoihin naiset esimerkiksi kuuluvat ja mistä naisten asemaan ja oikeuksiin liittyvistä kysymyksistä Kiinassa keskustellaan juuri nyt? Entä miten Kiinan sensuurikoneisto vaikuttaa suomalaisen Kiinan-tutkijan työhön? Utelias mieli on Helsingin yliopiston podcast, joka puhuu tieteestä tunteella.
Leevi Leivo on Puheenaihe-podcastin toinen juontaja, joka on ollut näissä yhteiskunnallisissa podaushommissa lähes yhtä kauan kuin me. Ohjelmamme ovat kehittyneet vähän eri suuntiin, mutta moni perusperiaate, ja ennen kaikkea rakkaus alaa kohtaan, on todella samaistuttava. Tässä jaksossa avaamme toisillemme periaatteitamme, metodeitamme ja muita havaintoja yhteiskunnallisesta keskustelusta. --- ▶️ Jaksot videon kera Youtubesta: http://www.youtube.com/c/Futucastpodcast
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
In This Episode: Every teenager must pass through the painful gauntlet of puberty, a necessary but sometimes confusing rite of passage, where new emotions alter a previously unshakeable perspective of the world, clouding judgment yet opening new vistas through which to view the universe... This Episode's Sponsors: The Audio Book Recommendos: Screambox Redragon #ad Deathloop #ad Wall World The Lovecraft Tapes is a Call of Cthulhu RPG real-play/actual-play podcast with episodes available on all major podcast platforms Original music provided by composer-in-residence Chris Parker Find us everywhere at https://linktr.ee/lovecrafttapes
Katika hotuba iliyopeperushwa na kituo cha telvisheni cha serikali Jumanne, kati ya mengine Putin alisema kampuni ya upishi inayomilikiwa na kiongozi wa kundi la mamluki, yevgney Prigozhin ililipwa fedha ambazo matumizi yake huenda yanatiliwa shaka.
Rais wa Russia Jumatatu alikemea wale walioshiriki katika jaribio la uasi mwishoni mwa wiki na kuwaita wasaliti, lakini bila kulitaja jina la kiongoizi wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin.
Shutma za unyanyasaji wakijinsia za Seneta Lidia Thorpe za 2021, dhidi ya Seneta mwenza David Van, zime zua dhoruba Bungeni.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema viongozi wa Afrika watajadili na Rais Vladmir Putin wa Russia juu ya hatma ya mpango wa kusafirisha nafaka kupitia bahari ya Black Sea.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu maji ukifikia tamati kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa huku moja ya mikakati ni kuhakikisha kunakuweko matumizi endelevu ya maji, mmoja wa washiriki kutoka Rwanda amezungumzia vile ambavyo teknolojia ya kusafisha maji taka ili yaweze kutumika tena na tena inaweza kuwa mkombozi kwenye eneo lao. Mshiriki huyo Andrew Mpuhwe Rucyahana ambaye ni Naibu Meya wa wilaya ya Musanze katika jimbo la Kaskazini nchini Rwanda amesema hayo akihojiwa na Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. Bwana Rucyahana anasema kule Musanze anakotoka ni eneo lenye shughuli nyingi za kitalii na likipokea wageni wengi wanaofika hivyo ni lazima kuwe na kiasi kikubwa cha maji tena maji safi. “Ushiriki wangu kwenye huu mkutano utaniwezesha kukutana na watu wengine na kufahamu ni vipi tunaweza kufanikisha wilaya ya Musanze iwe na maji safi na salama hasa kwa kuzingatia eneo letu liko milimani na tunapokea watalii wengi,” amesema Naibu Meya huyu wa Musanze. Hapa kwenye mkutano tunaweza kubadilishana mawazo ni vipi watu wanajenga miundombinu ya maji. Tuna maji mengi lakini hayatoshi, tungali na kazi kubwa ya kufanya ili tufikishe maji safi kwa watu wote, anasema Bwana Rucyahana akitaja changamoto ni uhaba wa fedha za kuwezesha kujenga miundombinu ya kufikisha maji milimani. “Tunahitaij kupata maji yaliyo safi. Mfano tupate teknolojia ya kupeleka maji milimani ambako kuna hoteli zinazopokea wageni wengi. Tuna malengo ya kufikisha maji kwa wakazi wote wa wilaya ya Musanze ifikapo mwaka 2024.” Hoja ya kutumia maji tena na tena ilitajwa na Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Csaba Kőrösi, ambaye alisema teknolojia hiyo ni moja ya mambo muhimu ya kuepusha kupoteza maji. “Tunatakiwa kukomesha haraka upotevu wa maji. Kuwa na mzungumko wa matumizi ya maji, yaani kuyatumia tena na tena badala ya kuchimba mengine, huo ndio unapaswa kuwa mwelekeo,” Naibu Meya huyu wa Musanze anasema katika eneo lao watu wanatumia maji mara moja tu “unaona maji mengi yanaharibika. Lakini tayari kuna teknolojia ya kusafisha maji ili yatumike tena na tena mara mbili au tatu. Teknolojia hii ni gharama kubwa Afrika. Kwa Musanze teknolojia hiyo inatumika kwenye hotel za gharama ya juu . Lakini si katika hoteli za bei ya gharama ya chini au kwenye makazi ya watu wenye uwezo mdogo ambao ni wengi.” Ni kwa mantiki hiyo anaamini kuwa kupitia mkutano wa maji anaweza kupata watu wenye teknolojia wanaweza kuipeleka na kuiuza huko Musanze. Lakini juu ya yote wito wake ni kwa watu kutambua kuwa maji ni maisha yetu, kukosa maji ni kukosa maisha. Watu wote tusaidiane ili tuwe na maji safi na mengi barani Afrika.
Mkutano wa 67 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW umeanza leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani ukileta pamoja wawakilishi kutoka serikali, mashirika ya kiraia yanayotambuliwa na Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa ECOSOC pamoja na vijana.Mwenyekiti wa mkutano huo Balozi Mathu Joyini ambaye ni Mwakilishi wa kudumu wa Afrika Kusini kwenye Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa washiriki ni wanawake kutoka kona mbali mbali za dunia pamoja na vijana na zaidi ya yote na maudhui ni mabadiliko ya ugunduzi na teknolojia na nafasi yake katika zama hizi za kidijitali ili kufanikisha usawa wa jinsia na uwezeshaji wanawake na maudhui amesema yamekuja wakati muafaka.. "Teknolojia za kidijitali zinaleta fursa za kipekee katika kuwezesha wanawake na wasichana. Lakini vilevile zinaleta changamoto mpya kubwa kwa haki za wanawake na wasichana. Teknolojia inaenda kwa kasi lakini mfumo wa maadili duniani bado haujarekebishwa." Hivyo amesema, "Tunatumaini kuwa na hitimisho la kijasiri ambalo linaweka maadili na viwango vya kusongesha mbele ili kuhakikisha wanawake wanawakilishwa kwenye nyanja ya teknolojia. Elimu pia ambayo inawaruhusu kushiriki katika ubunifu na mifumo anuai iliyoko, na kwamba wanawake na wasichana wanapatiwa fursa ya kubuni, kuendeleza na kutumia teknolojia." Mkutano huo ulioanza leo tarehe 6 Machi utamalizika tarehe 17 mwezi huu wa Machi ambapo pia wajumbe watatathmini changamoto na fursa za kufikia usawa wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wa vijijini, maudhui yatokanayo na mkutano wa 62 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW62.
Ukame uliolighubika eneo la Pembe ya Afrika kwa miongo minne mfululizo umesababisha changamoto kubwa kwa mamilioni ya raia wa Kenya, Ethiopia na Somalia nchi ambayo maeneo mengi yanakabiliwa na kutokuwa na uhakika wa chakula na hatihati ya kutumbukia kwenye baa la njaa. Mashirika ya misaada ya kibinadamu likiwepo la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP yako mstari wa mbele kuwasaidia watu wenye uhitaji hususani wa chakula. Flora Nducha na maelezo zaidi!Akizungumza na UN News Mkurugenzi wa WFP Pembe ya Afrika Michael Dunford amesema hofu ya baa la njaa bado ni mtihani mkubwa hasa nchini Somalia.Amesema, “kwa bahati mbaya bado baa la njaa bado ni tishio nchini Somalia, tathimini inaendelea na tunaweza kushuhudia kabla ya mwisho wa mwaka huu au pengine mapema mwakani kutangazwa kwa hali ya baa la njaa katika badhi ya shehemu Somalia, kinachoniogopesha zaidi ni kwa sababu hadi wakati huo tuna tatizo kubwa la mvua, ukame utaendelea na huenda tunashuhudia hali hiyo ikitokea pia katika baadhi ya nchi za jirani.” Hali hiyo imesababisha kupanda kwa gharama za chakula Ukanda mzima na bwana Dunford alipoulizwa endapo mradi wa bahari Nyeusi wa kusafirisha nafaka umesaidia chochote kupunguza gharama hizo za chakula katika Pembe ya Afrika amesema, “bila shaka umekuwa na tija ndio maana ni muhimu saba ukaendelea, sio tu kwa upatikanaji wa bidhaa lakini pia mbolea. Unajua kwamba ukanda huo ni mzalishaji mkubwa wa mbolea na kiasi kikubwa kinapelekwa kwenye pembe ya Afrika. Kupungua kwa bei ya mbolea kunamaanisha kuongezeka kwa mazao kwa wakulima na hatimaye kuongeza uhakika wa chakula. Hivyo sababu zote zinahitaji kutiliwa maanani na wafanya maamuzi. Kwa hakina hatutaki kuona kwamba baada ya majadiliano mengi mradi huo unaruhusiwa kuteleza”
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu alitaja chaguo la Rishi Sunak, waziri wa zamani wa fedha, kama waziri mkuu wa kwanza wa Uingereza asiye mzungu, kuwa "la msingi" huku White House ikisema Biden angewasiliana na kiongozi huyo mpya na kumpongeza.
Mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa kuhusu marekebisho ya mfumo wa elimu leo unakunja jamvi kwenye makao makuu ya Umoja huo jijini New York Marekani. Mkutano huo wa siku tatu umeitishwa ili kukabiliana na changamoto ya kimataifa ya elimu hasa kwa kuzingatia suala la usawa na ujumuishwaji, ubora wa elimu na umuhimu. Wadau mbalimbali wakiwemo wakuu wa nchi na serikali, mashirika ya kimataifa na makundi mbalimbali katika jamii wamepata fursa ya kupaza sauti zao, miongoni mwao ni vijana walioshiriki kuwawakilisha mamilioni ya wanafunzi kote duniani. Emmanuel Cosmas Msoka mchechemuzi kijana wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kutoka nchini Tanzania ni moja wa vijana waliozungumza akiwachagiza viongozi wa dunia kuwashirikisha vijana kwa hali na mali . “Moja ya mchango ambao niliweza kuutoa ni ushirikishwaji wa vijana katika mambo yote ambayo yanaathiri mabadiliko ya kiuchumi kwa sasa na kwa baadaye , katika hilo lengo langu kubwa ni kuhakikisha kwamba vijana wanashirikishwa kuanzia katika ngazi ya chini kabisa katika kuanzishwa sheria, katika kuanzishwa kwa mitaala ya elimu, washirikishwe vijana hata katika utekelezaji pia , kwani katika nchi nyingi au katika mazingira ambayo tumetokea ni kwamba vijana wanashirikishwa katika sherehe zile ambazo ni za kuhitimisha baada ya sera au sheria kutengenezwa. Ushirikishwaji ambao mi naungalia ni kuanzia kwenye mipango, kuanzia watu wanaposema kwamba kuna kitu Fulani tunataka tukibadilishe , vilevile unapoanza kukusanya maoni tu vijana washirikishwe , katika utekelezaji wa ile mipangopia tuwashirikishe vijana na mwishoni kabisa katika kusherehekea kwamba lengo tulilojiwekea tumeweza kufanikiwa vijana pia washirikishwe. Ushirikishwaji wao ni kuanzia ngazio yaw azo mpaka kwenye kutengeneza sheria na sera na katika kusherehekea mafanikio ya sera ambazo zimetengenezwa katika nchi.” Na kwa Tanzania anakotoka Emmanuel anasema ni wakati wa kujifunza kutoka kwa wengine “Nimejifunza kutoka kwa vijana ambao wametokea katika nchi nyingine hapa wameweza kunielezea kwamba katika nchi zao kuna mabaraza ya vijana, mashirika ya kimataifa katika nchi zao yana mabaraza ya vijana , nchi kama nchi ina baraza la vijana . Tanzania sasa ni muda wa kurejesha lile baraza la vijana ambalo lilikuwepo na kikapotea. Ni muda ambao tunahitaji kuwashirikisha vijana wakati dunia inawahitaji vijana. Kama nchi tunatakiwa tuonyeshe kabisa kuwa tunaelekea katika mwelekeo huo. Na katika hilo tunaamini na watu wengi sio wanasiasa viongozi tunaweza tukasema wamekuwa pia wakisema viojana ni taifa la kesho lakini ushirikishwaji huo uko wapi? Tufanye hivi vitu kwa vitendo , leo nimeweza kusema kwamba maneno yanaonekana ni bei nafuu sana lakini vitendo ni bei ghali sana kwa hiyo ni muda sasa tuweze kuvifanyiakazi tunavyovizungumzia.”
Kiongozi huyo ameomba makampuni ya kuchimba mafuta yasiogope kuwekeza kaskazini mwa nchi kwa kuwa sasa usalama umeimarika.
Energiamarkkina on ihan täydessä myllerryksessä, ja yksi syy siihen miksi uutiset sieltä aiheuttavat jonkinlaista selkäpiitä karmivaa paniikkia on se, että tosi harva meistä tietää miten tosi monimutkainen järjestelmä edes toimii. Toimittajana Tuomas Peltomäki, vieraana Anni Lassila. Tämä podcast julkaistiin 7.9.2022. Lue lisää aiheesta: -> Miten Suomi ja Eurooppa selviävät ensi talvesta? Neljän skenaarion mukaan Eurooppa ajautuu synkimmillään kaaokseen https://www.hs.fi/talous/art-2000009036160.html #hsvisio #hsvisiopodcast #hs-analyysi Lyhyt ilmoitus: HS Visio on talouteen, politiikkaan ja teknologiaan keskittyvä sivusto, jonka jutut ilmestyvät osana Helsingin Sanomien tilausta. Ne löytyvät HS:n sovelluksesta ja osoitteesta HS.fi. Jos sulla ei ole vielä HS:n tilausta, voit kokeilla sitä kaksi viikkoa osoitteesta hs.fi/parempaakuunneltavaa. Oheinen video on osa HS Visio -podcastia, joka julkaistaan yleisimmissä podcast-palveluissa arkiaamuisin kello 5.30. Podcastissa avataan päivän tärkeimmän uutisen merkitys ja kerrotaan lyhyesti, mitä uutisnotifikaatioita puhelimiin on päivän aikana luvassa. Tilaa podcast mieleiseesi appiin näistä linkeistä: Supla: http://bit.ly/suplavisio Spotify: http://bit.ly/spotifyvisio Apple: http://bit.ly/applepodcastvisio Google Podcasts: http://bit.ly/googlepodcastvisio sekä HS:n sovelluksesta Kuuntele, Podcastit. Vanhat jaksot löydät HS.fi:stä: http://bit.ly/visiopodcast. Tämän podcastin pääjuttu julkaistaan myös videomuotoisena: Youtube: http://bit.ly/youtubevisio Instagram: http://bit.ly/instagramvisio Twitter: http://bit.ly/twittervisio HS VISIO on Helsingin Sanomien julkaisema talouteen, politiikkaan ja ulkomaan uutisiin keskittyvä sivusto, joka ilmestyy joka päivä osoitteessa HS.fi ja Helsingin Sanomien välissä lauantaisin. Podcastin vastaava tuottaja on Tuomas Peltomäki. HS Vision esimies on Jussi Pullinen ja Helsingin Sanomien vastaava päätoimittaja on Kaius Niemi. Lisätietoja HS Visiosta: https://www.hs.fi/visio.
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, Jumatano amesema mgogoro katika jimbo la kaskazini mwa Ethiopia la Tigray ni mzozo mbaya wa kibinadamu na janga lililosababishwa na mwanadamu duniani.
Damini Ebunoluwa Ogulu al maaruf "Burna Boy" amefanya ziara kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Naibu Katibu Mkuu, Amina J. Mohammed. Bi. Mohammed ambaye ni raia wa Nigeria amesema wakati wa ziara hiyo kuwa Burna Boy ni raia mwenzangu kutoka Nigeria na katika taifa hilo wako wanamuziki wengi mashuhuri wanaotumia sauti zao kusongesha masuala ambayo pia Umoja wa Mataifa unapigia chepuo. Sasa ni bora kuwaleta walio nje ndani ya Umoja wa Mataifa ili wapeleke ujumbe wetu nje. Hayo na mengine mengi yaliyojiri kwenye ziara hiyo utapata kwenye makala hii inayosimuliwa kwako na Assumpta Massoi.
#011 - Join us for a very powerful conversation with Dan Wahpepah of the Anishinaabe, Kickapoo and Sac & Fox tribes on Honoring Indigenous Traditional Ecological Knowledge. I'm deeply honored that Dan joined us as a guest on the Plant Spirit Podcast. And his message is so important for the times we are in!In this episode, Dan shares profound insight into what it means to decolonize the mind, particularly when working with permaculture and other land based practices. He also offers deep wisdom into:How prayer opens up a circular conduit between yourself, the Universe, the person you're praying for, and the Earth. Re-indigenizing permaculture with Traditional Ecological Knowledge (TEK). His Permaculture Foundations work with Megan Toben at the Eco-Institute. How important it is to connect with Indigenous people who have been taking care of the land for thousands of years. Coming back into balance with our Elder relatives and learning the stories of the landHow we're in a crossroads of prophecy at this time. The importance of having a reciprocal relationship with the plants. And he also shares the powerful story of the first Tobacco plant Asema, and how to be in right relationship with this sacred medicine plant. Dan Wahpepah is from the Anishinaabe, Kickapoo and Sac & Fox tribes. He grew up with his community's cultural ways and has been politically active with the American Indian Movement and spiritually active through tribal ceremonies. Dan started the Rogue Valley Pow Wow, the American Indian Cultural Center, and Red Earth Descendants. He's also a board member of Natives of One Wind Indigenous Alliance, Rogue Climate, and Pipeline Fighters. As part of his tradition, he is a Drum Keeper and Drum Chief. Dan works with Traditional Ecological Knowledge and permaculture. And his life work is focused on the preservation of this Earth for future generations. He believes that “Permaculture combined with Traditional Ecological Knowledge is a powerful pairing. To contribute to life is what we need to feel. We are moving into a giveaway society. The best way for us to train for this new paradigm is to garden. By gardening, we contribute to life while gaining a harvest, feeding pollinators, sequestering carbon, feeding sugars and carbon to the billions of microbes and miles upon miles of mycorrhiza, connecting to community for excess giveaway, connecting with the seasons, connecting.”You can find out more about Dan's work at https://eco-institute.org/permaculture-foundations-certificate and http://www.redearthdescendants.org.For more info please visit: www.saraartemisia.com and IG @multidimensional.nature
In this episode of Hammered In Helios, the crew journies towards the city of Kork. Even though it's only a three-day sail from Asema to Kork, it won't be easy. Anessan attempts to learn more about his hag's power, Victoran tries to learn some swashbuckling, Orrin devises a plan and Ikgnath bets on some duels. As well the crew reviews, Chartreuse Liquor, a service industry secret. Our next episode comes out on August 2nd, titled "A Father Disappointment" and we review Grass Widow Bourbon. Special shout out to Battlebards for supplying us with some amazing sound effects and ambient music! Visit them and use the code Helios to let them know we sent you.https://battlebards.com/#/register/Helios CW: Langauge, Alcohol, Suggestive ThemesSupport the show (HTTPS://Www.Patreon.com/hihpodcast)