POPULARITY
Hii leo jaridani mwenyeji wako ni Cecily Kariuki akikupatia yaliyojiri kutoka huko Paris, Ufaransa. Anamulika usalama wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa huko DRC; Mradi wa WFP Tanzania kwa vijana wakulima; makala ni ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa UN Sudan na mashinani ni afya Tanzania.Afya ya mlinda amani wa Umoja wa Mataifa aliyejeruhiwa katika shambulizi lilitekelezwa na kundi la waasi, CODECO juzi Agosti 28 huko Bali, kaskazini mashariki mwa Djugu jimboni Ituri, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inaendelea vizuri, amesema msemaji wa Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Taarifa ya Anold Kayanda inaeleza zaidi.Mradi wa Vijana Kilimo Biashara (VKB), unaotekelezwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani (WFP) nchini Tanzania, unawapatia vijana wakulima wadogo ujuzi na rasilimali zinazohitajika, ili kuboresha uzalishaji wa chakula na kujenga uchumi endelevu wakati huu ambao madhara ya El niño [EL NINYO] yanayosabisha ukame na mafuriko yamekuwa dhahiri. Bosco Cosmas na maelezo zaidi.Makala, Evarist Mapesa anatupeleka Sudan kusikia ziara ya ujumbe mzito wa Umoja wa Mataifa nchini humo ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed. Mashinani, tunakwenda nchini Tanzania ambako nampisha Daktari bingwa wa ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi, akihimiza wananchi wa taifa hilo la Afrika Mashariki kusaka huduma dhidi ya ugonjwa huo.
Sudan, kila uchao ripoti za majanga, mapigano na ukosefu wa huduma za msingi vinaripotiwa wakati huu ambapo mzozo ulioanza mwezi Aprili mwaka jana hadi leo hii, umezidi kutia moto kwenye mafuta na kuyoyomesha matumaini ya kufikia sitisho la mapigano kati ya jeshi la serikali na lile la usaidizi wa haraka, RSF.Umoja wa Mataifa ukaamua kufika mji wa Port Sudan nchini Sudan kujionea hali halisi ya kinachoendelea hasa kwa kuzingatia ufunguzi wa eneo la mpakani wiki iliyopita na hiyo ndio makala yetu leo ikiletwa kwako na Evarist Mapesa.
Education is one of the most important enablers of girl power all over the world. And in a lot of ways, girls' education has improved. The percentage of girls in school is on the rise globally compared to two decades ago. But there are still significant gaps, particularly in areas with high levels of conflict. On today's episode of the Hidden Economics of Remarkable Women, host Reena Ninan speaks with Julie Mwabe, the team lead at the global advocacy and public policy program at Global Partnership for Education. She leads efforts to mobilize political support at the highest levels for education, including from heads of state. They talk about the state of girls' education and what the international community can do to close learning gaps, especially following the COVID-19 pandemic. The Hidden Economics of Remarkable Women is supported by the Bill & Melinda Gates Foundation and the Roberta Buffett Institute for Global Affairs at Northwestern University. And a quick plug: Foreign Policy will host its annual Her Power summit on April 18th in Washington D.C. Host Reena Ninan will do two live interviews, including with the deputy secretary general of the UN, Amina J. Mohammed. If you would like to attend Her Power, you can email us at podcasts@foreignpolicy.com. Here's more information about the Her Power lineup: https://foreignpolicy.com/events/her-power-2024/ Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoices
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed anaendele ana ziara yake ya siku tano nchini Brazil ambapo siku ya Alhamisi Agosti 3, 2023 alizuru jamii ya watu wa asili ya Mapuera kwenye ukanda wa Amazon jimboni Para ambako huko alipata fursa ya kuzungumza na wanajamii hao na kusikia maombi yao, ziara ambayo anafanya kufuatilia utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs kuelekea mkutano wa viongozi kuhusu SDGs mwezi Septemba mwaka huu. Thelma Mwadzaya anatusimulia kilichojiri.
This podcast is a commentary and does not contain any copyrighted material of the reference source. We strongly recommend accessing/buying the reference source at the same time. ■Reference Source https://www.ted.com/talks/amina_j_mohammed_a_new_perspective_on_the_journey_to_net_zero ■Post on this topic (You can get FREE learning materials!) https://englist.me/108-academic-words-reference-from-amina-j-mohammed-a-new-perspective-on-the-journey-to-net-zero--ted-talk/ ■Youtube Video https://youtu.be/75SNjs52L6k (All Words) https://youtu.be/ZFEnJBx9oEI (Advanced Words) https://youtu.be/vds8sxUJU8w (Quick Look) ■Top Page for Further Materials https://englist.me/ ■SNS (Please follow!)
Damini Ebunoluwa Ogulu al maaruf "Burna Boy" amefanya ziara kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Naibu Katibu Mkuu, Amina J. Mohammed. Bi. Mohammed ambaye ni raia wa Nigeria amesema wakati wa ziara hiyo kuwa Burna Boy ni raia mwenzangu kutoka Nigeria na katika taifa hilo wako wanamuziki wengi mashuhuri wanaotumia sauti zao kusongesha masuala ambayo pia Umoja wa Mataifa unapigia chepuo. Sasa ni bora kuwaleta walio nje ndani ya Umoja wa Mataifa ili wapeleke ujumbe wetu nje. Hayo na mengine mengi yaliyojiri kwenye ziara hiyo utapata kwenye makala hii inayosimuliwa kwako na Assumpta Massoi.
Climate action can be a vehicle to deliver dignity, opportunity and equality for all. UN Deputy Secretary-General Amina J. Mohammed invites us to reimagine what the journey to net-zero could look like if we invest in people's climate efforts while prioritizing the 17 Sustainable Development Goals -- a blueprint of interlinked global goals to protect humanity and our warming planet. "It's time to make some serious noise to transform our world," she says.
Climate action can be a vehicle to deliver dignity, opportunity and equality for all. UN Deputy Secretary-General Amina J. Mohammed invites us to reimagine what the journey to net-zero could look like if we invest in people's climate efforts while prioritizing the 17 Sustainable Development Goals -- a blueprint of interlinked global goals to protect humanity and our warming planet. "It's time to make some serious noise to transform our world," she says.
Climate action can be a vehicle to deliver dignity, opportunity and equality for all. UN Deputy Secretary-General Amina J. Mohammed invites us to reimagine what the journey to net-zero could look like if we invest in people's climate efforts while prioritizing the 17 Sustainable Development Goals -- a blueprint of interlinked global goals to protect humanity and our warming planet. "It's time to make some serious noise to transform the world," she says.
Climate action can be a vehicle to deliver dignity, opportunity and equality for all. UN Deputy Secretary-General Amina J. Mohammed invites us to reimagine what the journey to net-zero could look like if we invest in people's climate efforts while prioritizing the 17 Sustainable Development Goals -- a blueprint of interlinked global goals to protect humanity and our warming planet. "It's time to make some serious noise to transform our world," she says.
Muda wa kurudisha nyuma saa ya haki za wanawake umepita, sasa iende mbele- Guterres alieleza Baraza (OVERNIGHT) Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na mjadala wa wazi kuhusu wanawake, amani na usalama ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema wakati umefika kwa baraza hilo kuonesha kwa vitendo uungaji wake mkono wa harakati za wanawake katika ujenzi na uendelezaji wa amani badala ya kusalia maneno matupu. Flora Nducha na maelezo zaidi. (Taarifa ya Flora Nducha) Guterres amehutubia kikao hicho katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani baada ya kutembelea ushoroba mahsusi uliokuwa umepambwa na picha za wanawake walio mstari wa mbele katika kusongesha amani kwenye nchi zao. Katibu Mkuu amesema ushiriki wa wanawake kama hao unazidi kukumbwa na changamoto kubwa ambako katika baadhi ya nchi kama vile Afghanistan na Mali fursa hiyo imebinywa na kwingineko ushiriki wao hata kule ambako Umoja wa Mataifa unaendeleza shughuli za ulinzi na ujenzi wa amani unakumbwa na changamoto na vitisho. Amesema kuongeza uwakilishi na uongozi wa wanawake katika shughuli zote za masuala ya amani za Umoja wa Mataifa ni muhimu ili kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya umoja huo kwa jamii ambazo zinahudumiwa. (Sauti ya Antonio Guterres) “Hata hivyo tunahitaji Baraza hili lituunge mkono katika njia tatu- ubia, ulinzi na ushiriki. Mosi ungeni mkono kazi yetu ya kuimarisha ubia wetu na wanawake viongozi na mitandao yao katika jamii ambako Umoja wa Mataifa unafanya kazi ili kusaidia wanawake waleta mabadiliko ya amani na usalama. Wanahitaji kuwa na uwezo wa kushiriki katika michakato ya kina na dhati ya amani na kisiasa” Katibu Mkuu amesema kwa ulinzi, “tusaidieni kuwalinda wanawake watetezi wa haki za binadamu na wanaharakati. Mashujaa ambao wameoneshwa katika onesho la picha pale nchi wanatia maisha yao hatarini ili kujenga amnai katika jamii zao. Wanahitaji ulinzi pindi wanapotekeleza kazi hiyo muhimu.” Akifafanua kuhusu ushiriki wa wanawake katika amani na usalama, Katibu Mkuu amesema “shirikianeni nasi katika kuendeleza ushiriki wa uwiano sawa na wa dhati wa wanawake katika mazungumzo ya amani, na mifumo ya kisiasa wakati nchi zinakuwa katika kipindi cha mpito cha amani.” Akimaanisha kuwepo na uwiano sawa wa uwakilishi kati ya wanawake na wanaume kuanzia ngazi ya uchaguzi hadi taasisi za uongozi. Wajumbe wa Baraza wamekumbushwa ahadi yao waliyoitoa kwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed alipohutubia baraza hilo baada ya kurejea Somalia alikoenda kuunga mkono suala la kuwa na asilimia 30 ya wanawake katika chaguzi zijazo ambapo Baraza lilisema litaunga mkono. “Wakati umefika kubadili maneno yenu ya kuunga mkono kuwa vitendo, na siyo tu kwa Somalia bali pia katika nchi zote ambazo zinajadiliwa kwenye Baraza hili.” Amesema Guterres akitamatisha akisema wanawake katu hawatokubali tena haki zao kurejeshwa nyuma na njia pekee ya kuheshimu wanawake majasiri wajenzi wa amani ni kufungua milango na wao waweze kushiriki kwa dhati. TAGS: Wanawake, Amani na Usalama
U.N. Deputy Secretary-General Amina J. Mohammed joins The Post to discuss the high stakes for protecting our planet and the COP26 conference this November in Scotland.
The annual opening of the UN General Assembly is always one the most important weeks on the diplomatic calendar. The podcast has partnered with the United Nations Foundation to provide listeners with daily news and expert analysis about what is driving the diplomatic agenda at the United Nations during this key week. Today, we speak with UN Deputy Secretary General Amina J. Mohammed who articulates her priorities for #UNGA76. We then turn to climate diplomacy expert Yamide Dagnet of the World Resources Institute who explains the significant moments in climate diplomacy this week.
Episode three of this WeThe15 mini-series of A Winning Mindset: Lessons From The Paralympics sees Paralympic Games legend Tatyana McFadden quiz Amina Mohammed, Deputy Secretary-General of the United Nations. As part of the WeThe15 global campaign, the IPC are working with over 20 organisations, including the United Nations, to spark global conversations on the topic of disability rights Launched ahead of the Tokyo 2020 Paralympic Games, WeThe15 aims to end discrimination towards persons with disabilities and act as a global movement publicly campaigning for disability visibility, inclusion, and accessibility. “The campaign is really important now because what it's done is brought down the barriers to have those conversations, and not to feel you can't. Many people have the fear of making a mistake or being improper, and so they start to look past or over you. So this initiative is really important to bring things down to our level, because we don't get it. It's a brilliant way of opening up that space.” Alongside Mohammed, Team USA's Para Athletics legend Tatyana McFadden moved into the role of presenter after appearing in the first series as a guest. McFadden, now preparing for her sixth Paralympic Games, is looking to add to her phenomenal tally of 17 Paralympic medals. Webby and Digiday award-winning podcast, A Winning Mindset: Lessons From The Paralympics, delves into the lives of those at the heart of the Paralympic Movement. Athletes and individuals who have life lessons to educate listeners, and to apply to every single day.
Tune in to our special interview with the Deputy Secretary-General of the United Nations, Amina J. Mohammed, hosted by our Editor-in-Chief Azubuike Ishiekwene, from our state-of-the-art Last Word Leadership Podcast Studio in Abuja, Nigeria. Thanks for listening. Kindly Subscribe to our Facebook, Anchor FM, Twitter and YouTube channels: @LeadershipNGA Check out our podcast archives at https://podcast.leadership.ng #LeadershipNews #NigeriaPodcasts #AminaJMohammed #UnitedNations #LastWord
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed ambaye yuko ziarani Afrika Magharibi na ukanda wa Sahel amewachagiza wasichana katika eneo la Maiduguri jimbo la Borno nchini Nigeria kufanya kila wawezalo kutimiza ndoto zao kwani hakuna linaloshindikana.
Ni wakati wa kukomesha ukatili wa kijinsia unaowakabili wanawake, wanaume na wavulana ni kitovu cha hili kote duniani kwa mujibu wa naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed. Kupitia ujumbe binafsi kuhusu jinamizi hilo la ukatili Bi. Mohammed amesema wanaume na wavulana ambao wanafumbia macho ukatili dhidi ya wanawake lazima wakubali kwamba wanashiriki ukatili huo.
Listen to the Sun. April 26, 2020 special edition of the Pan-African Journal: Worldwide Radio Broadcast hosted by Abayomi Azikiwe, editor of the Pan-African News Wire. The program features our regular PANW report with dispatches on the efforts by the government of the Republic of Zimbabwe to prevent the spread of COVID-19 inside the country; the United States ruling class is placing pressure on working people through the White House to speed up a return to some sense of normalcy in the economy; Kenya says that it will extend the re-opening of schools in light of the pandemic; and locust infestations are compounding already existing food insecurities in the East Africa region. In the second and third hours we continue our coverage of the impact of the COVID-19 pandemic in various regions of the African continent. There are briefings, statements and interviews from South African Minister of Finance Tito Mboweni, World Health Organization (WHO) Director General Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus and United Nations Deputy Secretary General Amina J. Mohammed.
Ozzy Etomi is a writer, feminist and communications strategist based in Lagos, Nigeria. In 2016, Ozzy was named one of the top 10% of writers on Medium, and is a leading voice in the feminist and gender advocacy space in Nigeria. On this episode of the Perfete Podcast, Ozzy reveals the inspiration behind her writing, how she found her voice and fine-tuned her path. How the women in her life influenced and empowered her voice (some, unintentionally) and how she has chosen to speak up no matter what. We discuss everything from impostor syndrome to cancellation culture and how she handles backlash and criticism on her opinions. Ozzy shares advice on how women can uplift themselves in personal and professional space, and what we all can learn from the younger generation of women coming behind us . This episode is a MUST listen! Links: Ozzy Etomi: https://www.ozzyetomi.com Connect with Ozzy: · LinkedIn: https://www.instagram.com/ozzyetomi/ · Twitter: https://twitter.com/ozzyetomi · Medium: https://medium.com/@ozzyetomi The Writer’s Table: On Impostor Syndrome & Self Sabotage Amina J. Mohammed: https://twitter.com/AminaJMohammed
Caught in-between the massive demonstration of the Global Climate Strike, and the UN Climate Action Summit, Christiana sits down for an exclusive with UN Deputy Secretary-General, Amina J. Mohammed. Amina shares both her eager anticipation for solutions at the summit upcoming this week, as well as her solidarity in the outrage which was shown worldwide on Friday by over 4 million people who hit the streets. But before that, our trusted hosts provide a first-hand account of the shift in mood the world is feeling this time around as we anticipate the world's ambition for solving the climate crisis.
News Brief - https://news.un.org/en/story/2019/06/1039811 Bicycles for the environment - Cars have replaced bicycles as the primary means of transport in many Chinese cities but, with air pollution a major problem for the country, the bike is making a comeback, thanks to digital technology, and some 21st Century thinking. China was once considered to be the "Kingdom of the Bicycle,” with bikes dominating city streets across the country, but over the past four decades, China’s dramatic economic prosperity and urbanization has seen many people move to motor vehicles as their primary means of transport, contributing to a marked deterioration in air quality. New leader for the UN General Assembly: The global reach of the United Nations makes it “the world's best hope for peace and security, sustainable development and the promotion and protection of human rights and social progress”, said the top Nigerian diplomat who will be the next President of the General Assembly. Tijjani Muhammad-Bande, Nigeria’s current UN Permanent Representative, was elected to head the world body by acclamation on Tuesday in the General Assembly Hall in New York and will succeed Ecuador’s Maria Fernanda Espinosa. UN values, Continuing her trip to London, the UN Deputy Secretary-General, Amina J. Mohammed, attended several events on Tuesday, highlighting the importance of “Our Shared Humanity” and our global values, and the centrality of unlocking the potential of women and girls. “The solidarity expressed in the United Nations Charter’s opening words, 'we the people', is critical for our humanity’s future. The values enshrined throughout the document must remain our benchmark and guide,” said Ms. Mohammed in her statement delivered at foreign affairs think-tank, Chatham House. Urging the world to move faster towards the 2030 Sustainable Development Goals, she noted that “without deep transformation, we risk catastrophic climate change; mass extinction of ecosystems and species; even higher levels of forced displacement; a major rollback of decades of development progress - and all of the political turmoil that accompanies social and economic disruption.” In another event on tackling inequality, she stressed the importance of unlocking the power and potential of women and girls. “Gender equality is one of the critical social, economic and political priorities of our time. This should not be such a struggle. After all, the benefits of gender equality are many and proven.” Ebola: In the Democratic Republic of the Congo (DRC), where the World Health Organization has expressed frustration at insecurity challenges as the number of cases of Ebola virus disease has now passed 2,000. Since the beginning of the outbreak last August, more than 1,340 have died. The UN response has been hampered by attacks by armed groups, protests and demonstrations, including one in April that killed a WHO medic, --- Send in a voice message: https://anchor.fm/mapradiong/message
"We Come Together to Go Further" United Nations Deputy Secretary-General Amina J. Mohammed on her work of bringing humanity together to better each other's welfare Our host Hannah Meholick (left) with Amina J. Mohammed Our Guest: In this episode, Hannah Meholick talks with Amina J. Mohammed, Deputy Secretary-General of the United Nations and former Minister of Environment of the Federal Republic of Nigeria. Ms. Mohammed was instrumental in bringing about the United Nations' unprecedented 2030 Agenda for Sustainable Development including the Sustainable Development Goals (also known as "SDG's"). For her contributions to worldwide sustainable development, The Interfaith Center of New York will be honoring the Deputy Secretary-General with the James Parks Morton Interfaith Award at its 21st annual gala celebration on June 11. Please click here if you are interested in attending the event. Podcast Episode Highlights: On the benefits of diversity within her own family: "I grew up as a Muslim, but we have such a multi-religious family because my mother's father was a Presbyterian minister. My father was a Nigerian veterinary doctor, and my mother, a Welsh nurse, so I come from two sides, which is great, because I see through two lenses all the time, it's never one way." On the partnerships required to make sustainable development possible: "When you think about religions, at the core of them, is about understanding and mutual respect. And for partnerships, it's the same thing. So it's another dimension of how we come together to go further. On working with faith leaders toward sustainability goals: "Meeting with religious leaders was, for me, a way to get across to a number of messengers my message, and also to hear back from them, what it was perhaps we were not messaging right." On the value of interfaith dialogue: "There are some challenges that cross faiths - female genital mutiliation goes across faiths - that's culture. And when you address that, it's interesting to get faiths together, to tell the culture that it's not right. Many times, in the conflicts that we have, it's the interfaith dialogue that helps us get through it." Click here to learn about the United Nations' Sustainable Development Goals ___________________________________________________ We'd like to offer props to our underwriter, One Spirit Learning Alliance! One Spirit Learning Alliance – an interfaith learning institute that trains spiritual leaders and offers workshops for the public to spark personal transformation. More information is at Onespiritinterfaith.org/Matters, where our listeners can find a free download of one of their teachings, “The Life We Are Called to Live.” ___________________________________________________ Podcast Questions? Comments? Have a question for our guests, or a comment on our podcast series? Please feel free to leave comments on your podcast player, or send us an email at socialmedia@interfaithcenter.org. And please be sure to rate us! "Interfaith Matters" is hosted by Hannah Meholick, and engineered and edited by Jeff Berman. Learn more about Hannah and Jeff on our website. Intro and outro music for this episode are edited excerpts of "Maximum Relax" by Lee Rosevere, used under CC BY 4.0 / Edited from original.