Podcasts about naibu

  • 42PODCASTS
  • 107EPISODES
  • 1h 2mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Feb 13, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about naibu

Latest podcast episodes about naibu

Habari za UN
13 FEBRUARI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 13, 2025 11:05


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Tanzania kumulika siku ya redio duniani, maudhui yakiwa Radio na Tabianchi, na ni kwa vipi chombo kinachodaiwa kutwamishwa na maendeleo ya teknolojia kinaendelea kusaidia kuelimisha umma kuhusu madhara ya mabadiliko ya tabianchi, Teonas Aswile wa TBC Taifa nchini Tanzania anaeleza.Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambapo hali inazidi kuwa tete na leo Mkurugenzi Mtendaji wa shirkika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, Catherine Russell, ameelezea wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa ghasia mashariki mwa mwa  nchi hiyo katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini, ambapo watoto na familia wanakabiliwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu.Naibu mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masiala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA nchini Sudan Edmore Tondhlana akizungumza na UN News amesema hali nchini Sudan inaendelea kuwa janga la kibinadamu wakati vita ikishika kasi na watu wakiendelea kufurushwa makwao. Amesema "Tunashuhudia hali ambapo Sudan ina mahitaji ya kibinadamu yaliyo miongoni mwa makubwa zaidi duniani. Takriban watu milioni 30 wanahitaji msaada wa kibinadamu. Hili ni ongezeko la takriban watu milioni tano zaidi ikilinganishwa na mwaka uliopita, pia, Sudan ina idadi kubwa zaidi ya watu waliopoteza makazi yao.Na leo ni siku ya Redio Duniani mwaka huu ikibeba maudhui Redio na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO lengo la maudhui haya ni kudhihirisha jukumu la redio katika kusambaza ujumbe na kuelimisha kuhusu changamoto za mabadiliko ya tabianchi, kutanabaisha kuhusu hatua endelevu na kuwapa sauti wanaharakati wa mabadiliko ya tabianchi.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa      nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana za neno “MSUMBI”.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!  

VOA Express - Voice of America
Baadhi ya vijana nchini Kenya wanatoa maoni na matarajio yao yanayohusu uongozi kwa Naibu Rais mpya Kithure Kindiki. - Novemba 01, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 1, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Wimbi la Siasa
Kenya : Bunge la Kenya lamuondoa naibu rais afisini

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Oct 26, 2024 10:04


Nchini Kenya bunge la kitaifa na seneti limeidhinisha kuondolewa afisini kwa naibu rais Rigathi Gachagua, kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo kueneza siasa za kikabila. Makala haya yaliandaliwa mapema.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Rais Tshisekedi asema katiba ya Congo itarekebishwa, kesi ya naibu rais wa Kenya

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Oct 26, 2024 20:12


Kauli ya rais wa DRC kuhusu marekebisho ya katiba yazua hisia mseto, kesi ya naibu wa Rais wa Kenya aliyeenguliwa madarakani Rigathi Gachagua yaendelea, umoja wa Ulaya kuendeleza shinikizo ilizoiwekea Burundi mwaka 2015 hadi mwaka 2025. Ziara ya mkuu wa UNHCR Fillipo Grandi nchini Uganda, mgombea wa chama tawala kule Msumbiji awa mshindi wa uchaguzi mkuu, uchaguzi mkuu wa Marekani na mengineyo.

Wimbi la Siasa
Mgogoro kati ya rais na naibu wake nchini Kenya ambao ni mzozo wa kihistoria

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Oct 23, 2024 10:03


Hatma ya aliyekuwa naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua sasa utaamuliwa na mahakama baada ya mabunge yote mawili kumwondoa madarakani kwa njia ya hoja maalum Hatua ya kuondolewa Gachagua ni dhihirisho ya kuvunjika kwa uhusiano kati ya rais William Ruto na naibu wake Gachagua ,matukio ambayo si mageni nchini Kenya.

Jioni - Voice of America
Mahakama ya juu Kenya inasikiliza kesi ya kupinga kuondolewa madarakani kwa Rigathi Gachagua kama Naibu Rais wa nchi hiyo. - Oktoba 22, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 22, 2024 30:00


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Naibu rais wa Kenya Gachagua atimliwa, usalama wa mashariki ya DRC wajadiliwa Luanda

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Oct 19, 2024 20:16


Kuondolewa madarakani kwa naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua na uteuzi wa profesa Kithure Kindiki, serikali ya Kinshasa yakaribisha makubaliano yaliyoafikiwa kati ya mawaziri wa mambo ya nje wa DRC na Rwanda kuhusu suala kulitokomeza kundi la FDLR na Rwanda kusema iko tayari kuwaondoa wanajeshi kwenye ardhi ya Congo, maandamano ya upinzani kule Msumbiji baada ya uchaguzi mkuu, kuuawa kwa kiongozi wa Hamas Yahya Sunwar, uchaguzi mkuu wa Marekani na mengineyo.

Alfajiri - Voice of America
Baraza la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kwenye wadhifa wake naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua - Oktoba 18, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 18, 2024 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

VOA Express - Voice of America
Vijana wa Kenya wanatoa maoni kuhusu kuondolewa madarakani kwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua baada ya bunge kuidhinisha hatua hiyo. - Oktoba 18, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 18, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Kwa Undani - Voice of America
Rais wa Kenya William Ruto amemteua Kithure Kindiki kama Naibu Rais wa Kenya baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa madarakani na bunge. - Oktoba 18, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 18, 2024 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Debri drum'n'bass radioshow
Debri 12/10/2024 by C-LeeN ft. DJ DeZa

Debri drum'n'bass radioshow

Play Episode Listen Later Oct 13, 2024 101:07


1. Archangel: Cascade 2. Archangel: Bamako 3. Neuronex & Frosper: Starship 4. Maduk ft. Nymfo: Just Be Good 5. Danny Byrd & Maduk ft. I-Kay: Better Life 6. Dynamic ft. mSdoS: Highway Patrol 7. Logistics: Machine 8. Logistics: Transporter 9. Netsky: I Choose You 10. Midnight Request: Groove All Night 11. Anth M: At First Glance 12. Netsky: Storm Clouds 13. London Elektricity: The Strangest Secret In The World 14. High Contrast: Make It Tonight 15. Nookie: Only You (mSdoS & Ted Ganung rmx) 16. London Elektricity: Remember The Future 17. S.P.Y ft. Total Science & Grimm: Cold Harsh Air 18. High One: Waraome 19. Sabre & Survival: Omega King 20. Kemal: Mechanizm 21. GNTLMAN: Feel Your Touch ft. DJ DeZa 22. Big Bud: Lady Sings The Blues 23. Oz: People Say 24. Ruti: Lungs (Calibre rmx) 25. Zero T: The Technique 26. Dave Owen: Hoes & Shows 27. FD: Deadly Styles 28. LSB: Walking Blues 29. EIJER: Expansion 30. Alibi: Black Piano 31. Dub Phizix: Os Canos 32. Bredren: Just See 33. Dan Guidance: Big Thing 34. Zero T: Ladies & Gentlemen 35. Marcus Intalex: Riots 36. Lana del Rey: West Coast (Camo & Krooked rmx) 37. Tyrone: Come Closer 38. Naibu & Robert Manos: Just A Dream 39. Cutworx: Midnight Dealer 40. Easy: Almost Blue 41. Chet Baker: Almost Blue 42. Bob James: Dream Journey

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mchakato wa kuondolewa madarakani naibu rais wa Kenya, mazishi ya waliokufa Goma

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Oct 12, 2024 20:17


Wabunge 281 walipiga kura ya ndio kumwondoa naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua madarakani, mazishi ya watu waliokufamaji katika ajali ya Meli huko Goma DRC, ziara ya mkurugenzi wa kituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa barani Afrika, Dr Jean Kaseya, nchini Rwanda kutathmini mikakati ya kupambana na mlipuko wa MPOX pamoja na marburg, mafuriko makubwa nchini Mali, mashambulio ya jeshi la Israeli dhidi ya ngome za Hezbollah nchini Lebanon, mchakato wa uchaguzi mkuu kule Marekani. Ungana na Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi

Jioni - Voice of America
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua anayekabiliwa na mashtaka 11 amefika mbele ya bunge na kukanusha madai, akidai yamechochewa kisiasa - Oktoba 08, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 8, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mswada wa kumwondoa naibu rais wa Kenya Kachagua, watu zaidi 78 wafamaji DRC

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Oct 5, 2024 20:17


Makala imeangazia mchakato wa kumwondoa madarakani naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua, makumi ya watu wafamaji katika ajali ya boti huko Goma mashariki mwa DRC, hali nchini Rwanda na ugonjwa wa murburg, Uganda na Sudan, siasa za Nigeria na maeneo mengine ya Afrika magharibi, mashambulio ya jeshi la Israeli dhidi ya ngome za Hezbollah nchini Lebanon na yale ya Hezbollah nchini Israeli  na mambo mengine.

Jioni - Voice of America
Mswada wa kumfungulia mashtaka na kumuondoa madarakani Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua umewasilishwa bungeni. - Oktoba 01, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 1, 2024 29:55


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Sepetuko
Sharti rais Ruto na Gachagua wakomeshe ukabila

Sepetuko

Play Episode Listen Later Jun 10, 2024 4:16


Ukabila bado ni sumu hatari inayokumba Kenya na Wakenya. Wacha Rais na Naibu wake waoneshe mfano bora katika kutokomeza jinamizi hili na sio kuanzisha siasa za kimaeneo ambazo kwa kiasi kikubwa zinatishia kuigawanya nchi.

Hydration Mix Series
Feelgood - Live from Hydration feat GLXY June 1

Hydration Mix Series

Play Episode Listen Later Jun 7, 2024 70:36


https://soundcloud.com/deejayfeelgood Opened the floor for a great night of liquid and adjacent. Started it off quietly and brought the energy up as the floor filled up. Threw in lots of classics and kept the vibe upbeat. As always, gratitude to the artists whose music I play in service. -- Naibu ft Key - Just Like You (Fracture's Astrophonica Remix) Doc Scott - Far Away (2015 Remaster) Calibre - End of Meaning Humanature - Cosmos Bachelors Of Science - Bell Of The Dawn Echomatics - Wild Orchard (Original Mix) Seba - Never Let You Go (Blu Mar Ten Remix) A:D - Little Breaths (Original Mix) The Vanguard Project - Con Gas Saikon - Broken Chains (Original Mix) Monika, Phoebe Freya - Suited Me (Original Mix) Furney - Love Changes (Original Mix) Marcus Intalex - Sweet Little Supernova (dBridge Remix) Robert Owens, Bcee - Keep the Faith (Seba Remix) Edlan - Rewind Vector, Macca & Loz Contreras and Charli Brix - Lose Myself Zero T, Steo - Can't Hide (Visages Remix) Villem & Hadley (ft. Riya & Collette Warren) - Invisible Nelver - Daydreaming (Original Mix) Alix Perez - SWRV (Original Mix) Technicolour, Komatic - No Evil (Original Mix) Impish - Rain BCee feat. Lucy Grimble - Cannot Escape Your Love LSB It Finds You feat. Tokyo Prose (Original Mix) Rowpieces Dirty Mind Halogenix, Charli Brix, QZB Take It All (Halogenix Remix) Soligen (from start) Beautiful Liquid Waves, Cnof Drop The Beat (Original Mix) Lenzman Golden Age (Feat. Steo)

1 More Thing
1 More Thing Podcast #018: Naibu

1 More Thing

Play Episode Play 59 sec Highlight Listen Later Mar 11, 2024 67:13


#podcast #dnb Today on the 1 More Thing podcast we celebrate the return of a French craftsman who has recently broken a five year release silence with his remarkable and ambitious new album Sans Soleil.Bonjour Naibu. An enigmatic, talented and philosophical musician. Breaking through in the late 2000s on Fabio's Creative Source with a beguiling signature that owes just as much to classical as it does contemporary deep drum & bass, Robin Leclair's ever-evolving sound holds a unique space in drum & bass. His return has been long overdue. We find out where Naibu's been, how he came to work with a massive orchestra on his new album, why he doesn't DJ and why we hopefully won't have to wait another five years for more fresh Naibu music. Get to know! Visit https://1-more-thing.co.uk/ for more information on this podcast and other similar content. Like what you're hearing and want to support it? Subscribe on Patreon: https://www.patreon.com/1_more_thing

SHADOWBOX ON AIR
Shadowbox @ Radio 1 11/02/2024: Drum & bassové novinky

SHADOWBOX ON AIR

Play Episode Listen Later Feb 10, 2024


Jeden mix za druhým v podání M4Y4 a Rudeboye - dvě hodiny novinek, skvělá hudba ale především. Nová deska Naibu, novinka na Jazzsticks, ukázka z desky Gremlinz a Jesta na Metalheadz nebo nový Workforce s Breakem z nového EP na Must Make.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 7 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 8, 2023 6:33


Naibu kiongozi wa chama cha Liberal Sussan Ley ameomba serikali ya Albanese, iwaombe wa Australia msamaha wakati serikali ya Labor inazingatia kuwakamata tena watu ambao si raia walio achiwa hivi karibuni kutoka vizuizi vya uhamiaji, ambao huenda wakawa tisho kwa usalama wa jamii.

Jioni - Voice of America
Kenya: Mazungumzo yenye lengo la kubuni vyeo kwa upinzani yanakiuka katiba-Naibu Spika wa zamani wa Bunge - Agosti 14, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 14, 2023 29:59


Habari za UN
05 MACHI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 5, 2023 0:11


Hii leo jaridani tuanaangazi waendeshaji wa pikipiki, na kazi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania TANBAT 6 nchini CAR. Makala na mashinani tunasalia hapa makao, kulikoni?Hii leo shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO kwa kutambua majeraha ya kichwa ndio sababu inayoongoza ya vifo vya waendesha pikipiki duniani, limezindua mwongozo mpya utakaowezesha mamlaka kuongeza matumizi ya helmeti kwa waendeshaji na watumiaji wa pikipiki.Kikosi cha sita cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wanaohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati – MINUSCA wametoa huduma ya maji safi na salama kwa vijiji vinavyokabiliwa na uhaba wa maji mjini Berberati mkoa wa Mambéré-Kadéï.Katika makala Bi. Elly Kitaly, Mkurugenzi na Mwanzilishi wa asasi ya kijamii iitwayo Chadron's Hope Foundation inayojihusisha na kujenga mazingira bora kwa watu wenye changamoto ya Down Syndrome ambayo ni hali mtu anayozaliwa nayo na inaathiri uwezo wa kujifunza, anaeleza aliyojifunza katika mkutano wa Siku ya Kimataifa ya Down Syndrome uliofanyika hivi karibuni hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa ili kuhamasisha kuwahusisha watu wenye changamoto hiyo katika masuala yote ya kijamii.Na mashinani Naibu msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu Ilze Brands Kehris akisisitiza kwamba kila binadamu ana haki ya maji safi na salama.Mwenyeji wako Flora Nducha, karibu!

Habari za UN
Naibu Meya wa Musanze asema teknolojia ya kusafisha maji itatuokoa Rwanda

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 24, 2023 0:04


Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu maji ukifikia tamati kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa huku moja ya mikakati ni kuhakikisha kunakuweko matumizi endelevu ya maji, mmoja wa washiriki kutoka Rwanda amezungumzia vile ambavyo teknolojia ya kusafisha maji taka ili yaweze kutumika tena na tena inaweza kuwa mkombozi kwenye eneo lao. Mshiriki huyo Andrew Mpuhwe Rucyahana ambaye ni Naibu Meya wa wilaya ya Musanze katika jimbo la Kaskazini nchini Rwanda amesema hayo akihojiwa na Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. Bwana Rucyahana anasema kule Musanze anakotoka ni eneo lenye shughuli nyingi za kitalii na likipokea wageni wengi wanaofika hivyo ni lazima kuwe na kiasi kikubwa cha maji tena maji safi. “Ushiriki wangu kwenye huu mkutano utaniwezesha kukutana na watu wengine na kufahamu ni vipi tunaweza kufanikisha wilaya ya Musanze iwe na maji safi na salama hasa kwa kuzingatia eneo letu liko milimani na tunapokea watalii wengi,” amesema Naibu Meya huyu wa Musanze. Hapa kwenye mkutano tunaweza kubadilishana mawazo ni vipi watu wanajenga miundombinu ya maji. Tuna maji mengi lakini hayatoshi, tungali na kazi kubwa ya kufanya ili tufikishe maji safi kwa watu wote, anasema Bwana Rucyahana akitaja changamoto ni uhaba wa fedha za kuwezesha kujenga miundombinu ya kufikisha maji milimani.  “Tunahitaij kupata maji yaliyo safi. Mfano tupate teknolojia ya kupeleka maji milimani ambako kuna hoteli zinazopokea wageni wengi. Tuna malengo ya kufikisha maji kwa wakazi wote wa wilaya ya Musanze ifikapo mwaka 2024.” Hoja ya kutumia maji tena na tena ilitajwa na Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Csaba Kőrösi, ambaye alisema teknolojia hiyo ni moja ya mambo muhimu ya kuepusha kupoteza maji. “Tunatakiwa kukomesha haraka upotevu wa maji. Kuwa na mzungumko wa matumizi ya maji, yaani kuyatumia tena na tena badala ya kuchimba mengine, huo ndio unapaswa kuwa mwelekeo,”  Naibu Meya huyu wa Musanze anasema katika eneo lao watu wanatumia maji mara moja tu “unaona maji mengi yanaharibika. Lakini tayari kuna teknolojia ya kusafisha maji ili yatumike tena na tena mara mbili au tatu. Teknolojia hii ni gharama kubwa Afrika. Kwa Musanze teknolojia hiyo inatumika kwenye hotel za gharama ya juu . Lakini si katika hoteli za bei ya gharama ya chini au kwenye makazi ya watu wenye uwezo mdogo ambao ni wengi.” Ni kwa mantiki hiyo anaamini kuwa kupitia mkutano wa maji anaweza kupata watu wenye teknolojia wanaweza kuipeleka na kuiuza huko Musanze. Lakini juu ya yote wito wake ni kwa watu kutambua kuwa maji ni maisha yetu, kukosa maji ni kukosa maisha. Watu wote tusaidiane ili tuwe na maji safi na mengi barani Afrika. 

Habari za UN
UNICEF: Watoto katika nchi 11 za Mashariki na Kusini mwa Afrika wako hatarini sababu ya kipindupindu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 10, 2023 0:02


Nchi 11 Mashariki na Kusini mwa Afrika zinakabiliwa na hali mbaya ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambako hadi sasa kumeripotiwa wagonjwa 67,822 na vifo 1, 788 kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.Taarifa ya UNICEF iliyotolewa leo mjini Nairobi, Johannesburg na New york inasema huenda idadi kamili ya wagonjwa na vifo ikawa kubwa zaidi kutokana na changamoto ya mifumo ya ufuatiliaji, utoaji taarifa na unyanyapaa.Nchi mbili ambazo zina mzigo mkubwa zaidi ni Malawi na Msumbuji ambazo shirika hilo linasema “kwa pamoja zaidi ya watu milioni 5.4 wanahitaji msaada wakiwemo watoto zaidi ya milioni 2.8.”Naibu mkurugenzi wa kinanda wa UNICEF Lieke van de Wiel ambaye amehudhuria mkutano wa mawaziri kuhusu kipindupindu mjini Lilongwe Malawi amesema “Tulifikiri ukanda huu hautoshuhudia mlipuko wa kipindupindu wa kiwango hiki cha kusambaa kwa zama hizi. Mifumo duni yam aji na usafi, matukio mabaya ya hali ya hewa, mizozo inayoendelea na mifumo duni ya afya vimezidisha adha na kuweka rehani maisha ya mamilioni ya watoto kote Kusini mwa Afrika.”Msaada wa UNICEF katika ngazi za kitaifa unajumuisha “utoaji wa maji safi na huduma ya usafi, kuweka tembe za kusafisha maji, sabuni za kunawia mikono,dawa za kuongeza maji mwilini, huduma ya kubadili mwenendo wa tabia, na kusambaza ujumbe wa kampeni ya kuishirikisha jamii na zaidi ya hayo UNICEf na washirika wake pia wanatoa msaada wa vifaa vya afya na mahema kwa ajili ya kukabiliana na kiwango kikubwa cha wagonjwa.”Kutokana na kuendelea kuzorota kwa hali hususani katika nchi zilizoathirika zaidi na kipindupindu sasa “UNICEF inaomba dola milioni 150 kwa aajili ya kuzisaidia nchi zote 11 zilizoathirika ikiwemo dola milioni 34.9 kwa ajili ya Malawi, na milioni dola 21.6 kwa ajili ya Msumbiji kuweza kutoa huduma za kuokoa Maisha kwa watu walioathirika na mlipuko huo.”Hadi sasa washirika wa UNICEF wameshachangia dola milioni 2.9 kukabiliana na mlipuko nchini Malawili na dola 550,000 kwa ajili ya Msumbiji.

Back to the Future Podcast (Drum and Bass)
Back To The Future #92 - The Eruption Sessions With Evolve

Back to the Future Podcast (Drum and Bass)

Play Episode Listen Later Dec 17, 2022 97:56


As we approach the end of 2022, we thought we should do a session together for you. I've recreated some of the mix I did at the Club Eruption event earlier this year and Evolve has gone in on some classics too… We have tracks from 1998 right up to this year. From labels as varied as Bingo Beats to Symmetry via Eat Brain. I managed to squeeze some shouts in for the Soundcloud crew by way of thanks and a thoroughly good time was had by all. Podcast 92 ready wrapped up ready to go. Have a fantastic Christmas and a wonderful New Year see you in 2023 for more of the same… d mix & Evolve x d mix Danny Breaks - Dropping Science Volume One (Logistics remix) (Hospital) [2009] DJ Zinc Ft. Slarta Jon - Flim (Calibre remix) (Bingo) [2004] >> dBridge & Jubei - Show Me (Carbon) [2021] Total Science - Lightweight (Break remix) (C.I.A) [2020] Wots My Code - Dubplate (Total Science remix) (C.I.A) [2000] Calibre - Highlander (Signature) [2004] Ram Trilogy - Evolution (M.I.S.T remix) (Ram) [2002] Future Cut - 20/21 (DLR remix) (Future Cut) [2021] DJ Hype - Closer To God (True Playaz) [1998] Dillinja - Human B Bop (Valve) [2001] Total Science - Squash (Break remix) (C.I.A) [2022] Dillinja - Hard Noize (Break remix) (Valve) [2020] John B - Up All Night (Data 3 remix) (Metalheadz)[2021] dBridge & Vegas - True Romance (Metalheadz) [2004] Evolve Break, Octane & DLR - Power Down (Symmetry) [2012] Ulterior Motive & Icicle - Anode (Guidance) [2017] Kiril - Minimal Instinkt (Critical) [2017] Chris SU ft. Kryptomedic - Underground Culture (Eatbrain) [2014] Alix Perez - BXL (1985) [2018] Skeptikal - Plastic City (Exit) [2018] Kantyze - Hollow Body (Fokuz) [2018] Break & GQ - Whispers In My Ear (Symmetry) [2018] Klax - Lucid (Critical) [2018] Revaux - Sludge (Flexout) [2018] Jubei - Congo (Metalheadz) [2015] Break & MC Fats - Free Your Mind (Symmetry) [2015] Dillinja - Go Dillinja (Valve) [2001] Ed Rush & Optical - Fixation (Virus) [1998] Sabre, Stray & Halogenix - St. Clair (Critical) [2012] Fierce & Zero T - Going Clear (Quarantine) [2016] Break, MC Fats & Cleveland Watkiss - Midnite Classic (Symmetry) [2017] Xtrah - Babylon Shall Fall (Dispatch) [2017] Skeptikal & Alix Perez - Without A Trace (Exit) [2017] Naibu, Ena & Key - Into The Distance (Break remix) (Horizons) [2012] Octane & DLR - Back In The Grind (Cern & Dabs remix) (Dispatch) [2016] Ulterior Motive - Edges (Metalheadz) [2014] Calyx & Teebee - Elevate This Sound (Ram) [2012] Zero T & Fierce - Cross It (Dispatch) [2015] Octane, DLR & Script - Set Up The Set (Dispatch) [2012] Ram Trilogy - Mind Overload (Ram) [1998] *********************** #drumandbass #dnb #dnbpodcast #livedrumandbass #drumandbasspodcast #livednb #dmix #backtothefuturednb #dmixandevolve #eruptionradio

Habari RFI-Ki
Maoni ya waskilizaji kuhusu matarajio ya utawala mpya wa rais William Ruto nchini Kenya

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Sep 17, 2022 10:01


Rais mpya nchini Kenya William Ruto amekula kiapo pamoja na Naibu wake Rugathi Gachagwa kuliongoza taifa la Kenya kwa muhula wa miaka mitano. Wawili hao wamerithi Mikoba ya Uhuru Kenyatta wakati taifa hilo likikabiliwa na changamoto za kiuchumi na kijamii. Ni yapi matarajio ya waskilizaji hususan wakenya kuhusu utawala huo mpya?

Habari RFI-Ki
Maoni ya waskilizaji kuhusu matarajio ya utawala mpya wa rais William Ruto nchini Kenya

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Sep 17, 2022 10:01


Rais mpya nchini Kenya William Ruto amekula kiapo pamoja na Naibu wake Rugathi Gachagwa kuliongoza taifa la Kenya kwa muhula wa miaka mitano. Wawili hao wamerithi Mikoba ya Uhuru Kenyatta wakati taifa hilo likikabiliwa na changamoto za kiuchumi na kijamii. Ni yapi matarajio ya waskilizaji hususan wakenya kuhusu utawala huo mpya?

Salama Na
SE7EP12- #SalamaNaDrTulia| BULYAGA 1976

Salama Na

Play Episode Listen Later Sep 1, 2022 51:16


Tulia Ackson ni jina kubwa kati ya majina makubwa kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kwa sisi kuweza kulipata jina kubwa na kukubali kuja kuketi kwenye kiti chetu chakavu ilikua ni BARAKA sana. Ila ukiachana na kwamba ni jina kubwa ila yeye ni binadamu, tena wa kawaida tu. Ni Mama, ni mke, ni Dada, ni Binti kwa Mama yake na ni Mbunge kwa wana Mbeya mjini lakini pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wadhifa ambao baada ya uchaguzi wa 2020 alirudi bungeni kama Naibu Spika ila baada ya aliyekua Spika kujiuzulu Dr Tulia aliona fursa ya yeye kuvaa viatu hivyo na wabunge nao walimpa kura zao zote za kuridhia Mwana Dada huyu AWAONGOZE. Baada ya uchaguzi wa 2020 na yeye alirudi bungeni kama MBUNGE kamili, si tunakumbuka baada ya 2015 alienda bungeni kama Mbunge wa kuteuliwa ila mwaka 2020 aliamua kwenda kugombea jimbo la Mbeya mjini ambako Gwiji wa Bongo Flava Kaka yangu Joseph Mbilinyi aka Sugu alikua ndo Mbunge wake? Sugu alikaa kule kwa miaka 10 ilikua ni moja ya ngome za wapinzani ambazo walikua wanajivunia nazo, kwa Dr Tulia kuamua kwenda kugombea pale iliwafanya watu wengi watake kufuatilia mchuano huo mkali ambao mwisho wa siku Dr Tulia aliibuka kidedea. Na haya yalikua ni moja ya maswali ambayo nilikua na hamu ya kumuuliza na kwa urefu alinijibu tu vizuri sana. Sasa nchi yetu inaongozwa na Rais mwanamke kwa mara ya KWANZA toka tulipopata uhuru wetu mwaka 1961, na hii haikuja kwa kupangwa ila baada ya kutokea ambalo Mwenyezi alikua ameliandika, na hata hili la kuwa na Spika Mwanamke (ingawa huko nyuma Mama Anne Makinda alishawahi kuwa) nalo halikua limepangwa maana Spika tayari tulikua naye baada ya Uchaguzi wa 2020. So suala la kuwa na Rais mwanamke na Spika mwanamke bila ya shaka linalipa Taifa letu utofauti na HESHIMA flani hivi ambao mataifa mengi yanavutiwa nayo. So kwake yeye nini hasa kimebadilika? Yaani kutoka kuwa Naibu mpaka sasa Spika? Ilikua easy kwake kuichukua nafasi hiyo baada ya kuwepo na nafasi hiyo? Alifikiria mara mbili? Kwa maongezi yetu haya pia nimegundua Dr Tulia alikua hapendi kabisa siasa, yeye aliyapenda zaidi maisha yake ya kuwa Lecturer pale Chuo Kikuu, alipenda zaidi kuandika na kusoma na kujifunza. Alikua akiwaona wana Siasa kama watu flani ambao pengine wanajiona tofauti na watu wengine, pengine wanajiona wa MUHIMU sana. Je na yeye sasa? Akiwa nao kule bungeni wanaishi vipi? Sasa pia kama Kiongozi wa mhimili huo wa NCHI nini zaidi kimebadilika? Nini zaidi kigumu? Maongezi yetu yalianzia nyuma kiasi na mbele pia yakafika, pia humu tumeongelea Tulia Trust na vitu ambavyo inafanya ili kuwafikia wale ambao wana uhitaji. Na sasa amekua naye MWANASIASA, nini kimebadilika? Msemo wa Siasa ni mchezo mchafu, kwake yeye una maana gani? Yangu matumaini uta enjoy na kujifunza jambo kutoka kwa Kiongozi huyu ambaye pia ni Dada yetu. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Alfajiri - Voice of America
Marekani yasema itaendelea kuacha milango ya kidiplomasia na China wazi. - Agosti 25, 2022

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 25, 2022 30:00


Naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani wakati akizungumza na balozi wa China mjini Washington alisema kwamba licha ya mataifa yote mawili kutofautiana kwenye mambo kadhaa kama vile suala la Taiwan, nafasi za kidimplomasia zitabaki kuwa wazi.

VOA Express - Voice of America
VOA Express: Raila Odinga anataka uchaguzi wa magavana wa Mombasa na Kakamega kusimamiwa na naibu mwenyekiti wa IEBC Juliana Cherera - Agosti 24, 2022

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 24, 2022 29:59


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

Habari za UN
Tunaomba msaada zaidi kuimarisha lishe na nishati endelevu – Wakimbizi nchini Uganda

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 10, 2022 3:46


Nchini Uganda mradi wa kuimarisha lishe, nishati endelevu na kukabiliana na taka za plastiki umeleta nuru miongoni mwa wakimbizi katika makazi ya wakimbizi ya Kyangwali.  Mradi huo unaotekelezwa na shirika la Care International nchini Uganda kwa ushirikiano na wadau mbalimbali likiwemo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR), pia umefungua njia za kujipatia kipato kwa baadhi ya wakimbizi kupitia mauzo ya mbogamboga na kuajiriwa katika shughuli ya kuondoa taka za plastiki katika mazingira.  Je, mazuri mengine ni yapi? Basi fuatilia mahojiano kati ya mwandishi wetu, John Kibego na Bi. Hellen Awuma, Naibu kiongozi wa wakimbizi katika makazi hayo ya Kyangwali.

Jioni - Voice of America
Naibu rais wa Kenya William Ruto amemuomba msamaha rais Uhuru Kenyatta baada ya muda mrefu wa kuonekana wakitofautiana kisiasa. - Mei 26, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later May 26, 2022 30:00


Viongozi hao wawili tangu kuchaguliwa kwa muhula wa pili mwaka wa 2017 walionekana wazi wazi kutoshirikiana kisiasa, wakati mara kadhaa Ruto akidai kupokonywa madaraka , huku naye Kenyatta akidai kwamba naibu wake ameondokea majukumu yake na kujihusisha kwenye kampeni za mapema.

Habari za UN
22 Februari 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 22, 2022 13:23


Karibu kusikiliza jarida ambapo leo miongoni mwa utakayosikiani pamoja na ziara ya Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC, kumuwakilisha Katibu Mkuu. Naibu mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa na mratibu wa masuala ya kibinadamu nchini Somalia, Adam Abdelmoula, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuzisaidia haraka jamii zilizoathirika vibaya na ukame baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili katika maeneo yaliiyoathika zaidi Somaliland. Na mengine mengi ikiwemo msaada wa IFAD kwa kijiji kilichohisi kimetengwa na dunia huko Bahia Brazil, mchango wa viongozi wa dini katika mapambano ya kupinga ukeketaji nchini Tanzania na Ujumbe wa WHO kwa wale wanaosema hawaogopi kuugua COVID-19. 

Habari za UN
UN yahimiza usaidizi kwa jamii za Somaliland

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 22, 2022 2:13


Naibu mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa na mratibu wa masuala ya kibinadamu nchini Somalia, Adam Abdelmoula, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuzisaidia haraka jamii zilizoathirika vibaya na ukame baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili katika maeneo yaliiyoathika zaidi Somaliland. Flora Nducha na taarifa zaidi  (TAARIFA YA FLORA NDUCHA)  Nattss….  Katika mji wa Cunaqabad nje kidogo ya mji mkuu wa Somaliland Hargeisa, bwana Abdelmoula anawasili na timu yake ya Umoja wa Mataifa kushuhudia hali halisi ya ukame na athari zake kwa jamii hii na kuzungumza na waathirika.  Kwa hakika hali ni mbaya dhahiri shairi na baada ya kuzungumza na wafanyakazi wa misaada wa Umoja wa Msataifa ambao wanajitahidi kukimu mahitaji ya haraka ya watu hawa ikiwemo chakula na  pia waathirika ambao wengi ni wakimbizi wa ndani, amebaini kuwa kuna ongezeko kubwa la watu waliotawanywa kutoka maeneo mengine yaliyoathirika na ukame ambao wamefika hapa Somaliland kusaka hifadhi, hali ambayo amesema inaongeza shinikizo kwa rasilimali chache zilizopo kwa jamii akisisitiza kuwa “ kuna haja ya kuongeza uwekezaji katika suluhu ya kudumu kwenye maeneo yaliyoathirika na ukame , kwani hali hii inaongeza shinikizo na  ni muhimu kuboresha ufikishaji wa huduma za kijamii katika maeneo yanayohifadhi wakimbizi wa ndani.”  Akihitimisha ziara hiyo ya siku mbili Adam Abdelmoula ameisihi jumuiya ya kimataifa kunyoosha mkono kusaidia kwa hali na mali  “ Tunachohitaji kufanya ni kuwekeza zaidi katika maeneo ya asili ya watu wa jamii hizi zilizotawanywa ili kuhakikisha wanaweza kusalia makwao kwa usalama na wakati huohuo kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo amnbayo yameshuhudia idadi kubwa ya watu wakiwasili kwa sababu ya ukame.”  Kwa mwaka huu wa 2022 mipango ya kibinadamu nchini Somalia inahitaji dola bilioni 1.5 ili kuwasaidia watu milioni 5.5 walio hatarini wakiwemo milioni 1.6 wakimbizi wa ndani, milioni 3.9 ambao sio wakimbizi na watu wenye ulemavu. 

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 3 Oktoba 2021

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 3, 2021 10:42


Mweka hazina wa New South Wales na Naibu kiongozi wa chama cha Liberal Dominic Perrottet, anatarajiwa kuwa kiongozi mpya wa New South Wales.

Unknown.FM - Worldwide Radio 24/7
Hago - Unrivalled Sounds DnB - Unknown.FM [2021-09-18]

Unknown.FM - Worldwide Radio 24/7

Play Episode Listen Later Sep 19, 2021 120:19


Tracklist : dBridge & Skeptical - Move Way - R&S The Untouchables - Septimus - Cylon Rainforest - Hard Times - Next Phase Infest - Rushness - Next Phase Theory - The Prowler - https://theoryuk.bandcamp.com Abstract Drumz - Transistion - Omni Music Dj Trax , Naibu & Becki Biggins - All is Silent - Subtle Audio Nucleus & Paradox - Prism - Samurai Music Akinsa - Constant ( Kodama Remix ) - Eastern Promise BKey - The Machine - https://bkey.bandcamp.com Dj Trax - Time for Change - Over/Shadow Theory - Every Moment is Precious - Rupture LDN Paluca - Dim Reflection - Eastern Promise M-Zine - Umbra - Dispatch Rainforest - Jaguar Klan - Next Phase Pugilist & Tamen - Samadhi - Repertoire K3Bee - Drifter - Next Phase Infest - The Patterns - Next Phase Battledrone - The Future Centaspike & Indidjinous - Ominous Mystery - Subtle Audio Zero T & Beta2 - Dead Cert - Metalheadz Theory & Chieftan Joseph - Hi Grade = Rupture LDN Bkey - Jah Jah - Sci Wax Mutants - Different Drummers - Logical Direction Bkey - Elysium - Sci Wax Shodan - Mirror Image - Backlash

Sepetuko
Sepetuko Podcast: Jubilee Imeshindwa Kumkabili Ruto; Inajiaibisha!

Sepetuko

Play Episode Listen Later Sep 7, 2021 5:45


Hatua ya Chama cha Jubilee kuendeleza shutuma dhidi ya Naibu wa Rais, William Ruto ni ishara kwamba kimekosa mwelekeo na kimekosa njia za kumkabili. Jubilee inaendelea kujipaka tope...

Mjadala wa Wiki
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu

Mjadala wa Wiki

Play Episode Listen Later Aug 25, 2021 13:41


Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Kenya. Wiki hii, rais Uhuru Kenyatta amemwambia naibu wake William Ruto ajiuzulu iwapo anaona  hafurahishwi na ajenda ya serikali ambayo yeye ni mdau mkubwa.

Habari za UN
Tunajitahidi kuendelea licha ya COVID-19 - Naibu Mwenyekiti Kikuube

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 13, 2021 3:33


Mlipuko wa ugonjwa wa Corona au COVID-19 umeyumbisha uchumi karibu kote duniani, viongozi wa serikali za mitaa nchini Uganda wanahaha kutumia sekta chache zilizosalia kama vile uvuvi ili kuwaletea kipato waweze kuendeleza  juhudii za kufikia malengo ya maendeleo endelevu yani SDGs.

Uchumi na Biashara
UCHUMI NA BIASHARA PODCAST; Ukopaji; nizingatie nini kabla kukopa?

Uchumi na Biashara

Play Episode Listen Later Aug 10, 2021 14:11


Zipo sheria ambazo sharti zifuatwe kabla ya kuchukua mkopo katika taasisi zozote za fedha. Hata hivyo, programu-tumizi yaani Apps za kutoa mikopo mitandaoni zimechangia katika utepetevu miongoni mwa Wakenya ambao wengi huchukua mikopo bila kufuata sheria. Aidha, madai kwamba Naibu wa Rais, William Ruto aliipigia simu benki moja na mwekezaji wa Uturuki, Harrun Aydin akapewa mkopo wa shilingi bilioni 15 ni kinyume na sheria kwani mikopo haitolewi kwa kupiga simu. Mwanauchumi ambaye pia ni mshauri wa kifedha, Charles Karissa anasema yeyote hata awe wa ngazi gani ni sharti awe na mwamana, guarantor hivyo kupiga simu tu hakutoshi. Karissa amezungumza na mwanahabari wetu Esther Kirong'.

Sepetuko
Sepetuko Podcast: Rais Uhuru, kumwaibisha Ruto ni kukosa ufalme

Sepetuko

Play Episode Listen Later Aug 5, 2021 5:35


Rais Kenyatta ampe heshima Naibu wake, William Ruto sawa na walivyofanya marais wa awali kwa Makamu wao. Kulumbana na kuaibishana haradhani kunatoa taswira mbaya. Ni ukosefu wa ufalme.

Sepetuko
Sepetuko Podcast: Ruto, jifunze kupitia CCM ya TZ na ANC ya Afrika Kusini, si NRM ya Museveni

Sepetuko

Play Episode Listen Later Aug 5, 2021 5:39


Baada ya Naibu wa Rais wa Kenya, William Ruto kuzuiwa kwenda Uganda, maswali mengi yameibuka kuhusu lengo lake la kwenda katika nchi hiyo. Ushauri wa Sepetuko ni kwamba asijifunze siasa za Chama cha NRM cha Yoweri Museveni wa Uganda kwa vile kinahusishwa na dhuluma dhidi ya wapinzani na kukatalia madaraka. Ruto ajifunze siasa kupitia Chama cha CCM cha Tanzania au kile cha ANC cha Afrika Kusini; si NRM.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Naibu rais wa Kenya William Ruto azuiwa kuzuru Uganda

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 5, 2021 9:58


Naibu wa rais nchini Kenya, William Ruto jumatatu alizuiwa kuabiri ndege kwa safari ya kibinafsi nchini Uganda, mamlaka zikisema hakuwa amepata idhini kutoka kwa serikali. Hata hivyo Ruto anasema anaandamwa kisiasa. Msikilizaji, wewe una maoni gani kuhusu kinachoendelea Kenya? Unaamini tofauti kati ya Rais Uhuru na naibu wake ndio chanzo?

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 4 Julai 2021

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 4, 2021 11:20


Naibu afisa mkuu wa afya wa Australia ame wahamasisha wafanyakazi wa huduma ya wazee, wachanjwe dhidi ya COVID-19, baada ya mlipuko wa virusi mjini Sydney.

Uchumi na Biashara
UCHUMI NA BIASHARA PODCAST; Mfumo wa mixed economy ni bora, sio 'bottom-up'

Uchumi na Biashara

Play Episode Listen Later Jul 4, 2021 14:56


Mwanauchumi, Ken Gichinga anataja mifumo mbalimbali ya kuimarisha uchumi, akisema mfumo mzuri zaidi ni ule wa mchanganyiko yaani mixed economy model hasa ikizingatiwa taifa la Kenya linakua kiuchumi. Aidha, Gichinga anasema mfumo wa kuwainua wananchi wenye tabaka la chini kiuchumi; bottom - up economy ni bora iwapo siasa za nchi zitaimarishwa. Vilevile anaangazia mfumo wa trickle down economy ili kuhakikisha sekta ya kibiashara inakwamuliwa. Pia, Gichinga anasema Rais wa Marekani, Joe Biden sawa na Naibu wa Rais, William Ruto wanashabikia mfuko wa bottoms-up-economy. Gichinga amezungumza na mwanahabari wetu, Esther Kirong'​.

HAGO NEWS
Mitulingo ya Siasa

HAGO NEWS

Play Episode Listen Later Mar 5, 2021 4:19


Safari na Historia ya Naibu wa rais Daktari William Ruto

Liquidz Spirit Podcasts
Podcast #039 | Drazel

Liquidz Spirit Podcasts

Play Episode Listen Later Oct 7, 2020 38:33


Like the mix? Click the [↻ Repost] button! As a DJ, Drazel has been playing drum'n'bass, techno, dubstep and bass music flavors for more than 12 years over clubs and free partys alongside artists such as DBridge, Ulterior Motive, Total Science, Skeptical, Pinch, Trevino (aka Marcus Intalex), J:Kenzo, Breakage, Stray, Fracture, Joe Nice, Zadig, 69db, Indigo, Biome, Elisa do Brasil, State of Mind, Von-D, Deft, SP:MC, The Prototypes, Skitty, Naibu, Bredren, Pixel Fist, Tantrum Desire, HXB... He's also one of the two editors-in-chief of SeekSickSound. --- Depuis plus de 12 ans, Drazel joue de la Drum'n'Bass, de la Techno, du Dubstep et de la Bass Music dans des clubs et des soirées gratuites aux côtés d'artistes tels que DBridge, Ulterior Motive, Total Science, Skeptical, Pinch, Trevino (aka Marcus Intalex), J: Kenzo, Breakage, Stray, Fracture, Joe Nice, Zadig, 69db, Indigo, Biome, Elisa do Brasil, State of Mind, Von-D, Deft, SP: MC, The Prototypes, Skitty, Naibu, Bredren, Pixel Fist, Tantrum Desire, HXB... Il est également l'un des deux rédacteurs en chef de SeekSickSound. --- *Tracklist Alix Perez - Suffer in silence (ft. Zero T) (Shogun) Hydro, Habstrak, War & Mateba - The new age (Utopia music) Triad - Crooked (Nu-directions) Electrosoul System - Bookworm (Soundtrax) Sabre & Riya - Injustice (Critical) Alix Perez - Melanie (Shogun) Sinistarr - Leeroy Jenkins (Influence records) Tokyo Prose - See through love (Samurai red seal) Zero T - Goes around (Shogun) Commix - Time has come (Metalheadz) System - Speed of light (Footprints) High Contrast - Lovesick (Hospital) Friction & K-Tee - Overtime (Renegade hardware) Bungle - Astral travel (Soul:R) --- • Drazel: https://soundcloud.com/drazel https://www.facebook.com/djdrazel http://www.seeksicksound.com/ • Liquidz Spirit: www.facebook.com/LiquidzSpirit www.twitter.com/Liquidz_Spirit www.instagram.com/liquidz.spirit www.mixcloud.com/Liquidz_Spirit/ www.youtube.com/channel/UCHyEjq-Zmp5l0RJJiaixFaw

Unknown.FM - Worldwide Radio 24/7
DOS75 - Deeper Levels - Unknown.FM [2020-06-20]

Unknown.FM - Worldwide Radio 24/7

Play Episode Listen Later Jun 21, 2020 144:39


Rolling out the Deeper Grooves on Unknown.FM Unknown FM is a streaming radio station that exists as a single point of convergence for all who love listening, playing and enjoying music in all its forms. Unknown is a creative outlet; there are no filtering of genres here. All are welcome and welcome one and all. If you have a musical offering you'd like to base a show on or just enjoy getting down and shaking your rump, get in touch and join us on the voyage to the Unknown. Web: www.unknown.fm Apps: sounds.unknown.fm/ Tracklist: [01] dBridge - Evolvent [02] Consequence - Long Lies [03] Cern - Don't Leave Me [04] Kid Drama - What Used To Be [05] Consequence - Reflex Reaction [06] Module Eight - Rudeboy [07] Tokyo Prose - Echoes (Synkro Remix) [08] Conspired Within - Artifact [09] Ahmad - Octagon [10] Consequence - Circles [11] dBridge - OnO [12] Tokyo Prose - LPK Sound (Consequence Remix) [13] K - Thought Control [14] Books - Jagganath [15] Shiken Hanzo - Oni [16] SB81 - Headspace [17] Blocks & Escher - Wings [18] Polar - Mind Of A Killer (Polar Remix) [20] Shiken Hanzo - The One [21] Blocks & Escher - Gem [22] Gremlinz & Stranjah - Blues VIP [23] SB81 - Dreamers [24] Ryme Tyme - License [25] Ilk - The Sound of Falling [26] Ruffhouse & Clarity - Persecute [27] Overlook & Gremlinz - Dream Logic [28] Roho - Totemz [29] Shiken Hanzo - Kali Ma [30] Pessimist - No Matter What ft. Overlook [31] SB81 - Who Are You [32] ASC - Lose Control [33] DJ Trax, Naibu & Becki Biggins - All Is Silent [34] Studio Pressure - First Sequence

Frequency Horizon
Episode 108 ~ Quebec pt.2 - Hitchhiking Filmmaker, Piknic Électronik, Brasserie Noise Artist Convo

Frequency Horizon

Play Episode Listen Later Apr 21, 2020 120:00


We continue the adventure through Quebec, stopping at a U-Pick farm outside Montreal (22:22) to interview documentarian Chloé Gayraud, making a cameo at Piknic Électronik downtown (30:45), and interviewing experimental noise artist Tom Jacques (1:29:52) at an underground brasserie in Rimouski. Cover: A Touch of Gold by Nancy Wood Theme: Nasoshnik #GetMorePlays Tracklist: Dwig @dwig "From There to Here" Naibu @naibu “Just Let It” Monk.E @monk_e “High on Life” Flavien Berger @flavienberger “Ocean Rouge” Claire Laffut @clairelaffut-music “Vérité” Les Cowboys Fringants @lescowboysfringants - “La Manifestation” Les Respectables @les-respectables “Hola Decadance” Akufen @aku-en “Skidoos” Church of the Undecided @churchoftheundecided “Sea Level” Rone @rone-music “Memory” London Elektricity @londonelek “Elektricity Will Keep Me Warm” Bop x Subwave @bop “Take it Off” Joseph Edgar @joseph-edgar “Espionne Russe” Tryo @tryo “Serre-moi” Tchami @iamtchami “Ghosts feat. Hanna” Kid Francescoli @kidfrancescoli “I Don’t Know How (French 79 remix)” The Blaze @the-blaze-official “Territory” Cassius @cassiusofficial “I Love You So (Skream remix)” A-Trak @a-trak & Friend Within @friendwithin “Blaze” Polo & Pan @polo-pan “Canopée” Frequency Horizon @frequencyhorizon “Red-Orange Forest” The Clamps @the-clamps “I Feel” Jean Leloup “I lost my baby” Caribou @caribouband “Sister” Tanya Tagaq @tanya-tagaq “Hypothermia” Tycho @tycho “Into the Woods” Magical Clouds @majical-cloudz “Downtown (Alex Cruz @alexcruz & Brascon @brascon remix)”

abstract science >> future music radio
sepalcure – radio show [as0928]

abstract science >> future music radio

Play Episode Listen Later Nov 10, 2015 117:46


SEPALCURE (MACHINEDRUM + BRAILLE) live set + new cuts from SHIGETO, YPPAH, LUKE VIBERT + ULRICH SCHNAUSS are featured on this week's episode of ABSTRACT SCIENCE. host CHRIS WIDMAN begins with a short set of new releases, including: ULRICH SCHNAUSS' lush remix of NAIBU “just like you”, the latest from SHIGETO‘s “intermission” EP, the new... The post sepalcure – radio show [as0928] appeared first on abstract science >> future music chicago.