POPULARITY
Sylvain, Aude, Karell et Sébastien reçoivent la créatrice de contenu Siha pour discuter de leurs souvenirs et l'impact sur leur fandom qu'a eu l'Épisode III - La Revanche des Sith. Star Wars en Direct est disponible sur les applications Apple Podcast / Spotify / Amazon Music / Audible / Deezer Venez rejoindre et participer à notre communauté d'auditeurs sur les plateformes Discord / Facebook / X / Instagram Merci à nos partenaires : MintInBox.net, Planete-StarWars.com, StarWars-Universe.com, Star Wars Geeks Quebec, Boutique Kaia et Générations SW et SF Comme toujours, si vous avez suggestions ou réactions sur les sujets que nous venons de discuter, écrivez-nous un commentaire ci-dessous ou envoyez-nous un e-mail à studio@starwars.direct.
31 yeni harp gemisi projesinin başarıyla tamamlanması halinde Ankara, Akdeniz'deki en yetenekli muharip kapasitelerden birine, hatta muhtemelen envanter bakımından en geniş donanmaya sahip olacaktır.Yazan: Dr. Can Kasapoğlu Seslendiren: Halil İbrahim Ciger
Siha on Mesilat Yesharim
There's fierce fighting for Al Fasher, the capital of Sudan's North Darfur state. While human rights violations are being reported, just how important is this region in the year-long conflict? And what role are outsiders playing? In this episode: Dallia Mohamed Adelmoniem, Political Commentator and Analyst. Mathilde Vu, Norwegian Refugee Council's Advocacy Adviser. Hala Alkarib, Regional Director of the SIHA network. Host: Laura Kyle Connect with us:@AJEPodcasts on Twitter, Instagram, Facebook
Meltem Suat ve Cem Özen, gündemin öne çıkan konularını, Murat Kurum'un yaptığı gafları, Zelensky'nin Türkiye ziyaretini ve Türkiye'nin silah ihracatını konuşuyor.
Today we discuss the Strategic Initiative for Women in the Horn of Africa, or SIHA, and the work they've done for women in Africa.See omnystudio.com/listener for privacy information.
Türk savunma sanayisi 2023'ü tarihi başarılarla geride bıraktı. Milli hava araçlarında bu yıl ne gibi gelişmeler oldu? Türk savunma sanayisinin imza projeleri Kaan ve Hürjet'te son durum ne? Anadolu Ajansı Savunma ve Teknoloji Haberleri Müdürü Göksel Yıldırım anlattı.
Hala al-Karib shares how the days unfolded when the violence started in Sudan, and what some of the root causes are according to her, including the failings of the international community. Today's essay was written and read out by Hala al-Karib. She is the regional director of SIHA - the Strategic Initiative for Women in the Horn of Africa. The New Humanitarian aims to amplify the voices of refugees, asylum seekers, and people affected by conflict and disaster - placing them at the centre of the conversations about the policies and events that shape their lives.
Türk savunma sanayisi 2022'yi tarihi başarılarla geride bırakırken bu başarının en büyük taşıyıcılarından biri yerli İHA ve SİHA'lar oldu. Yerli ve milli İHA ve SİHA'ların önemini AA Muhabiri Göksel Yıldırım anlattı.
Mchechemuzi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya ujumuishi wa kifedha kwa ajili ya Maendeleo UNSGSA Malkia Máxima Zorreguieta wa Uholanzi amefanya ziara ya siku tatu nchini Tanzania kujionea maendeleo ya nchi hiyo katika huduma za fedha kidijitali. Stella Vuzo ambaye ni Mkuu wa kitengo cha mawasiliano cha Umoja wa Mataifa nchini Tanzania aliambatana na Malkia Mexima katika ziara yake hiyo iliyoanza tarehe 17 mpaka 19 mwezi huu wa Oktoba na kutuandalia taarifa ifuatayo. Takwimu za Kundi la Benki ya Dunia zinaonyesha kuwa asilimia 52 ya watu wazima nchini Tanzania sasa wana akaunti ya benki. Ilikinganishwa miaka ya 2011 na 2021, taasisi ya Takwimu ya Global Findex inaonesha kuna tofauti ya asilimia 17 tu. Ongezeko hilo kwa kiasi fulani linaelezewa kutokana na sababu ya watu wengi kuwa na akaunti ya kidijitali. Takwimu hizo pia zinaonesha uwepo wa pengo kati ya wanaume na wanawake wenye akaunti ambayo ni asilimia 13, hali inayoleta madhara kwa wanawake. Wakati wa ziara yake, Malkia Máxima alizungumza na wawakilishi wa serikali, mashirika ya maendeleo ya kimataifa, taasisi za fedha, mashirika ya teknolojia ya kifedha ama fintech na mashirika yasiyo ya kibiashara ambapo alizungumza na wahusika wakuu kuhusu kile kinachohitajika ili kuunganisha watu wasiojiweza zaidi na huduma za kifedha na kuwawezesha kushiriki katika uchumi jumuishi wa kidijitali. “Tunajua kupitia ziara yangu hii tutawaleta pamoja zaidi sekta binafsi na ya umma pamoja na serikali ili kuhakikisha wananchi wanatumia huduma za kifedha asilimia 100 na watu wengi wanaweza kuzifikia huduma hizo na kuwahakikishia kipato, mnepo na kuweka bima na akiba ili hata pale kunapotokea na msukosuko wa kiuchumi waweze kujikimu na kujiongezea fursa.” Alisema Malkia Maxima Katika ziara yake nchini Tanzania, Malkia Maxima alitembelea kijiji cha Uduru makoa kilichopo Wilaya ya Siha, mkoa wa Kilimanjaro ambapo alikutana na wakulima wanaonufaika na mradi wa acre fund unaowapa bima ya kilimo na ufugaji. Wakulima waliojiunga na mradi huo walimfahamisha Malkia kwamba waliweza kunufaika na fedha za kijikimu, kulipa ada za watoto na kupata fedha za kununua mbegu za msimu uliofuatia wa kilimo pamoja na kunufaika na matumizi ya mbegu bora zinazozalisha zaidi. Mwakilishi huyo Maalum wa Katibu Mkuu, alizungumza na waanzilishi pamoja na wakulima wa ndani kuhusu bidhaa za bima za ACRE Afrika. Shirika hili hutumia taarifa na takwimu za hali ya hewa kutoka kwenye satelaiti na vituo vya hali ya hewa vinavyojiendesha vyenyewe kukadiria hali ya shamba na uharibifu unaowezekana kwa mavuno. Wakulima, hao wanaomiliki mashamba yao binafsi, hupewa kadi maalum za kukwangua ambazo hujazwa kiwango cha kuweka bima ya mazao yao dhidi ya ukame au mafuriko kulingana na bajeti na mahitaji yao. Baadae wao hupata malipo ya bima bila hata kudai.
Makala haya inaangazia namna raia wa Rwanda wanavyopambana na matatizo ya akili.
Makala haya yanaangazia tatizo la uzito wa kupitiliza katika afya ya bindaam. Unene wa kupitiliza unahusishwa na vyakula vya kisasa vinavyopendwa na wengi.
Georgetown University graduate student Aisha Jitan speaks with Palestinian psychiatrist, psychotherapist and writer Dr. Samah Jabr on the subject of mental health in Gaza while challenging Western ideas of how trauma is held and carried in one's body. By drawing upon her experiences as a health care practitioner, the director of the mental health unit at the Palestinian Ministry of Health, and a trainer of mental health professionals in Gaza, Dr. Jabr sheds light upon the deep-rooted effects of living under Israeli occupation and in the case of Gaza, siege. Dr. Jabr's insights are useful for application beyond the case of Palestine, as she radically challenges notions of how mental health ought to be treated under conditions of injustice and oppression and how healing work can be used toward the liberation of a people. Guest Bio Dr. Samah Jabr is a Palestinian Jerusalemite psychiatrist, psychotherapist and writer. Since 2016, she has been Chair of the Mental Health Unit at the Palestinian Ministry of Health, and has written columns about the psychological consequences of the Israeli occupation in Palestine since the 2000s. Inspired by anticolonial psychiatrist Frantz Fanon, her areas of interest include mental health, colonialism and universal human rights.
Introducing entrepreneur, yoga teacher, storyteller, and experiential designer Siha Siha's business Yellow Mat Wellness Social Wellness and how we practice being well in our communities and neighborhoods Siha considers herself to be a lot of things, but most of all, Happy. With a list of unique titles including yoga teacher, storyteller, cannabis consultant, experiential designer and much more, Siha fills up rooms with her unique brand of insight, humor, and ease to create transformative spaces that help people and brands make meaningful change. Her dynamic corporate career brings together more than a decade of expertise in brand strategy and executive leadership. Before branching out on her own, Siha spent years at powerhouses like BBDO, Saatchi & Saatchi, J. Walter Thompson, and Deutsch LA leading teams through full- scale new business acquisition and campaign executions across various disciplines and media budgets up to $100 million. Her passion to create great culture and organizational excellence led her down a path of integrated wellness, ultimately becoming a meditation teacher and trauma-informed educator with a focus on social impact + justice. Siha authors and facilitates online, and in-person experiences centered around mindful approaches to topics including wealth, wellness, social justice, and community care. Through her lifestyle brand and studio, Yellow Mat Wellness, she has curated innovative wellness content for media partners and brands including Lululemon, Google, The Honey Pot Co., Kettle One Botanicals, King of Pops, and more. Siha is the owner and creative director at Rarebird, a freelance agency + design collective in Decatur, GA. More information: https://www.yellowmatwellness.com/ Brought to you by J.C. Cooley Foundation "Equipping the Youth of Today for the Challenges of Tomorrow". Support the show: http://www.cooleyfoundation.org/ See omnystudio.com/listener for privacy information.
Siha is a 2nd generation Khmer American who grew up in Chicago. He is a father, husband, musician, and story teller at heart professional career in business development, content distribution, and sales engineering. In this episode, Siha talks about his family's journey to Chicago after being sponsored as refugees from Catholic Charities in the late 70's, and early 80's. He brushes over shame, identity, adjustment challenges, and how his father was a core part of the community. If you like this podcast, please subscribe, like, and leave a review. Want to share your story? Email diaspeiropodcast.com or DM IG: @diaspeiropodcast Music: Easy Saturday - Bad Snacks
Katika makala haya tunaangazia juhudi za akina mama nchini Kenya kuhakikisha akina mama wanaofanya kazi wanaweza kunyonyesha watoto wao kwa miezi sita ya kwanza bila kuwapa chakula ili kukubaliana na pendekezo la shirika la afya duniani.
Katika Makala haya ,utafahamu kuhusu ugonjwa wa Menengitis unaosababishwa na bacteria zinazoathiri uti wa mgongo na sehemu ya ubongo wa binadaam. Shirika la afya duniani lmeorodhesha Menengitis kuwa ugonjwa hatari unaoweza kusababisha vifo kwa haraka na unaohitaji huduma za dharura.
Katika makala haya ,tunazungumiza tatizo la usugu wa vimelea vinvyosababisha magonjwa tofauti au Anti Microbial Resistance kwa lugha ya Kiingereza.Tatizo hili hutokea wakati bakteria ,virusi au Fungi zinavyjibadilisha na kukataa dawa ambazo zinatumika kwa matibabu mbali mbali na kumweka mgonjwa katika hatari ya kuugua zaidi au hata kusababisha kifo.
Makala haya mtangazaji wako Carol Korrir anazungumzia kwa kina zaidi kuhusu kukithiri kwa umaskini na dhulma za kijinsia nchini Kenya. Ambatana naye kufahamu mengi zaidi.
Wiki hii tunaangazia namna ambavyo wahamiaji au wageni wanaorodheshwa na shirika la afya duniani ,WHO kwenye kundi la watu walio kwenye hatari ya kupata matatizo ya kiakili na kujitoa uhai.
Katika Makala haya ,tunaangazia madhara ya kiafya ya unywaji pombe . Madhara ya afya pia ni chanzo cha matatizo kwenye familia na jamii.
Mataifa mengi yanazidi kupambana kuhakikisha raia wao wanachomwa chanjo ya kuzuia Corona ambayo imesababisha vifo vya wengi duniani. Hata hivyo bara la Afrika bado lina idadi ndogo ya watu waliochanjwa kamili. Katika Makala haya tunajadili tatizo la raia kusita kupokea chanjo ya kuzuia Corona.
Siha Baaja Charaga, ਸੀਹਾ ਬਾਜਾ ਚਰਗਾ (Sri Guru Granth Sahib Page 144 Sabad 326)
Katika makala ya Siha Njema juma hili , ambapo dunia hutenga wiki ya kwanza ya Agosti kuwahamasisha akina mama kuwanyonyesha wanao kwa miezi sita ya kwanza katika maisha yao,tunaangazia juhudi za akina mama kunyonyesha wakati huu wa Covid 19 . Baadhi yao wameambukizwa Corona na kulazimika kujitenga na wanao wachanga.
Tunaangazia matibabu ya nyumbani au Homecare Services miongoni mwa wagonjwa wa Covid 19 ,hii ikiwa mkakati wa kukabiliana na ;uhaba wa vitanda kwenye hospitali ,vyumba vya ICU au hewa ya Oxygen pia kupunguza Gharama ya juu na unyanyapaa unaohusishwa na Corona.
Wiki hii yameangazia vitendo vya ubakaji katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Shirika la MSF limesema katika mwaka mmoja uliopita ,limewatibu wahanga karibu elfu 11 wa ubakaji. Dhulma hizo zimechangiwa na utovu wa usalama ambao pia umeathiri utoaji huduma za matibabu ,huku mamlaka nchini humo zikishindwa kuwapa wahanga msaada wanaohitaji.
Mchango wa wanaume kuhusu upangaji uzazi duniani. Hali ikoje barani Afrika ?
Shirika la afya duniani, WHO, limesema maisha ya wanaume wengi yanafupisha kutokana na wao kuwa na maumbile dhaifu na kuishi maisha hatari ya kutokuwa makini na afya zao. Mwezi Juni, ulimwengu hutenga juma moja kati ya tarehe 14 hadi 20 kuhamasisha jinsia ya kiume kuhusu afya zao, kwenye makala haya tunajadili kwa nini wanaume hawapendi kufanyiwa uchunguzi wa afya au kwenda hospitali.
Katika Makala haya ,tunaangazia juhudi za watalaam wa afya na viongozi wa Afrika kupigania bara hili kupata chanjo ya kuzuia Corona baada ya madai ya kutokuwepo kwa usawa kwenye usambazaji wa chanjo. Mataifa mengi ya Afrika kutokana na ubaguzi huo na uhaba wa chanjo yamesalia nyuma katika kampeni ya uchomaji chanjo.
Wiki hii, tunaangazia njia mbadala ambazo wavuta sigara wanaweza kutumia kupunguza uraibu, ili kuwasaidia kuachana na uvutaji wa sigara wakati wa siku ya kimataifa ya kupiga vita matumizi ya tumbaku.
Tunaangazia changamoto za mataifa yanayoendelea hasa barani Afrika kuweka sera zao pamoja na kuwa na miundo mbinu za kupambana na janga la Covid 19.
Makala ya Siha Njema, juma hili inaangazia haki za kupata huduma bora za afya kwa raia.
Katika Kongamano la 74 la mataifa wanachama wa shirika la afya duniani ,ambalo limeratibiwa kufanyika mwezi huu,mojawapo ya agenda kuu ni suala afya ya akili baada ya matatizo mengi ya kiakili kuripotiwa wakati huu wa Corona ,maofisa wa usalama wengi wakiripotiwa kutumia silaha vibaya au kujitoa uhai namna ambavyo imeendelea kuongeza mzigo zaidi kwenye huduma za afya ambazo zimelemewa na makali ya Corona.
Katika Makala haya mpenzi msikilizaji utapata kusikia matatizo ya kuganda kwa damu. Tatizo hili limeongezeka katika kipindi hiki cha maambukizi ya Corona, ambapo baadhi ya dawa zinazotumika kama chanjo dhidi ya Covid-19 zimehusishwa na tatizo hili. Ambatana naye mtangazaji wako Carol Korrir kufahamu mengi zaidi.
Wakati dunia ikiadhimisha, siku ya kuhamasisha raia wa nchi tofuati kuhusu namna ya kutokomeza ugonjwa wa Malaria Aprili 25, Kwa mujibu wa takwimu za shirika la afya duniani, WHO ripoti,,iliyongazia mwaka mmoja uliopita,mikakati iliyowekwa kuzuia ,kupima na kutibu Malaria ziliathirika katika thuluthi tatu za mataifa ya ulimwengu , kutokana na janga la Corona. Katika Makala ya Siha Njema tunaangazia juhudi tofuati za kupambana na Malaria barani Afrika ikiwemo majaribio ya chanjo ya Malaria nchini Kenya,Ghana na Malawi.
Rusya uzmanı Dr Kerim Has, Ukrayna üzerinden devam eden Rusya-Türkiye gerilimine ilişkin son durumu analiz ediyor.Has, Moskova'dan programında Rusya medyasında ‘Bayraktar Katili’ olarak adlandırılan droneların nerede devreye sokulduğunu ele alıyor ve Moskova'dan gelen son Ukrayna tehdidinin ne anlama geldiğini cevaplıyor.Has ayrıca Türkiye'ye uçuş yasaklarında son durumun ne olduğunu ve hapisteki muhalif lider Navalny'nin sağlık durumunun nasıl olduğunu da anlatıyor.
Katika Makala ya Siha Njema tunaangazia Ripoti ya umoja wa mataifa , ya mwaka 2020 ya huduma za upangaji uzazi,mwaka moja tangu kuzuka janga la Corona .Ripoti hiyo imebaini kushuka kwa huduma hizo na kuonya mataifa mengi huenda ikapunguza uwekezaji wao kwenye huduma za kupanga uzazi kutokana na kuathirika kwa chumi zao .
Wiki hii tunazungumzia kuhusu kinga thabiti kwenye jamii imetumika kama será ya kupambana na ugonjwa wa Covid 19 miongoni mwa magonjwa mengine ya kuambukiza.
Diidadálvvis beassát uovvut mumenstálu go vuostta geardde lihkka beare árrat. Lyssna på alla avsnitt i Sveriges Radio Play. Heaika Wuolab Wollberg lea lohkan Diidadálvvi girjji man Tove Jansson lea čállán juo 1957. Girji lea jorgaluvvon máŋga gillii ja sámegillii lea Inker-Susanna Nutti jorgalan 2014.Girjjis beassát čuovvut mumenstálu go moriha ilá árrat ja lea gasku dálvvi ja movt son birge go nu lea šaddan."Lea somá lohkat girjji go dovdá sisdoallu ja lea nu čadnon mánnávuhtii ja mu bajás šaddamii", dadjá Heaika Wuolab Wollberg. Oasseválddit: Lea Simma ja Heaika Wollberg WuolabPrográmmajođiheaddji: Anne-Marit Päiviö
Diidadálvvis beassát uovvut mumenstálu go vuostta geardde lihkka beare árrat. Heaika Wuolab Wollberg lea lohkan Diidadálvvi girjji man Tove Jansson lea állán juo 1957. Girji lea jorgaluvvon mága gillii ja sámegillii lea Inker-Susanna Nutti jorgalan 2014. Girjjis beassát uovvut mumenstálu go moriha ilá árrat ja lea gasku dálvvi ja movt son birge go nu lea addan. "Lea somá lohkat girjji go dovdá sisdoallu ja lea nu adnon mánnávuhtii ja mu bajás addamii", dadjá Heaika Wuolab Wollberg. Oasseválddit: Lea Simma ja Heaika Wollberg Wuolab Prográmmajoiheaddji: Anne-Marit Päiviö
What a few months we have all had! From COVID-19 to protests have occurred. I'm not shocked if you're stress levels are up. Tonight as we return to Livehiphopdaily studios, we are bringing in a guest who can help us channel some of this stress and anxiety in the right way!We also speak about our fathers, Bikram Choudhry, her new venture Rare Birds Botanicals, F.O.M.O and more. This episode is sponsored by Atlantabisclothing.com
Singapore’s latest Sports Talkshow, turns the spotlight on WINTER SPORTS! Over the last few years, our Team Singapore winter-sports based athletes have worked extremely hard, to qualify and compete (for the very first time) in Major Games like the Winter Olympics, Winter Youth Olympic Games, SEA Games, ISU World Junior Short Track Speed Skating Championships etc. Through their passion, determination, grit, confidence and sacrifices, their efforts have helped re-define the Republic as just "a tropical island". They might appear to be a small and niche group of athletes, representing Singapore in ice skating, figure skating and ice hockey. But rest assured, their achievements and medal-winning performances, have garnered praise and recognition from the international community. So can WE truly grow to become a regional powerhouse in winter sports? Well to hear more of their achievements, struggles, sacrifices, dreams and vision, catch them on Episode 13 of SG Sports Uncut! Appearing on the show are : Diane Foo (President, S'pore Ice Hockey Association, SIHA) Alvin Chan (Asst Coach, SG Men's Team) Sheena Yap (Captain, SG Women's Team) Alicia Tan (Sec Gen, S'pore Ice Skating Association) Trevor Tan (Team SG Short Track Speed Skater) Pagiel Sng (Team SG Figure Skater) In PART 2, we talk to SIHA regarding Youth Development, Athletes' Sacrifices and Plans for the future. Be sure to catch Parts 1, 3-4 of Episode 13 as well, for more on Winter Sports!
Singapore’s latest Sports Talkshow, turns the spotlight on WINTER SPORTS! Over the last few years, our Team Singapore winter-sports based athletes have worked extremely hard, to qualify and compete (for the very first time) in Major Games like the Winter Olympics, Winter Youth Olympic Games, SEA Games, ISU World Junior Short Track Speed Skating Championships etc. Through their passion, determination, grit, confidence and sacrifices, their efforts have helped re-define the Republic as just "a tropical island". They might appear to be a small and niche group of athletes, representing Singapore in ice skating, figure skating and ice hockey. But rest assured, their achievements and medal-winning performances, have garnered praise and recognition from the international community. So can WE truly grow to become a regional powerhouse in winter sports? Well to hear more of their achievements, struggles, sacrifices, dreams and vision, catch them on Episode 13 of SG Sports Uncut! Appearing on the show are : Diane Foo (President, S'pore Ice Hockey Association, SIHA) Alvin Chan (Asst Coach, SG Men's Team) Sheena Yap (Captain, SG Women's Team) Alicia Tan (Sec Gen, S'pore Ice Skating Association) Trevor Tan (Team SG Short Track Speed Skater) Pagiel Sng (Team SG Figure Skater) In PART 1, we talk to SIHA regarding their current team preparations, the recent SEA Games review, Midnight Training Sessions and more Be sure to catch Parts 2-4 of Episode 13 as well, for more on Winter Sports!
Cours de Reb El'hanan Marozov sur la Siha Michpatim 1 ‘Helak 11 Support this podcast
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zaidi ya wasichana na wanawake milioni 4 ulimwenguni wanaishi na tatizo la Fistula huku wanawake kati ya 50,000 na 100,000 wakipata tatizo hili kila mwaka. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Siha Njema kuangazia Ugonjwa huo.
Makala ya siha njema juma hili inaangazia mlo bora kwa watu wasio na matatizo kiafya,ikiwa ni mwanzoni mwa mwaka jamii inashauriwa kuwa na maazimio ya kula vizuri pia...
Karibu kujifunza kuhusu homa ya Dengue ambayo dalili zake ni homa ya ghafla, kuumwa kichwa, maumivu ya viungo na uchovu ...kufahamu mengi zaidi tegea sikio..
Karibu kuangazia umuhimu wa lishe bora kwa watoto,wataalamu wa afya kutoka jijini Dar es salaam wanaangazia maana ya lishe na kwa vipi jamii inaweza kuwapatia watoto ili kusaidia ukuaji mzuri..
Leo makala ya siha njema inaangazia umuhimu wa unyonyeshaji maziwa ya mama baada ya kugundulika kuwa wanawake wengi hawatilii maanani suala hilo..
Dunia yaadhimisha siku ya wakunga na kubainisha umuhimu wao katika kupambana na vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga wakati wa kujifungua..
Malaria bado ni tishio katika mataifa yanayoendelea hasa katika bara la Afrika,tunaangazi augonjwa huu wakati huu dunia ikiadhimisha siku ya malaria ya kimataifa..
Ripoti ya Shirika la afya duniani WHO kuhusu ongezeko la visa vipya vya saratani na vifo. Sabina Mpelo ameakuandalia makala hii kwa kuzungumza na watu mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu
Makala ya siha njema juma hili inaangazia usonji,kitaalamu Autism ambapo shuhuda Lucy Ruhasha mtanzania anasimulia namna alivyogundua tatizo hilo kwa mwanae wa kwanza na kukabiliana nalo...
Jamii imetakiwa kuwasaidia waathirika wa fistula badala ya kuwabagua na kuwanyanyasa.Tatizo la Fistula linatibika kwa nchini Tanzania matibabu hutolewa bure katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam..fuatilia zaidi makala haya.
Makala ya siha njema inaangazia saratani ya mitoki baada ya kutembelewa na shuhuda aliyeugua na kutibiwa ugonjwa huo nchini Tanzania Jema Baruani ambaye anatoa hamasa kwa jamii kuwa na utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ili kujua hali ya afya kabla ya kushambuliwa na magonjwa.Karibu
Wataalamu wanaangazia vifo vya watoto wachanga na wajawazito vinacvyochangiwa na tatizo la kifafa cha mimba katika siku za hivi karibuni.Daktari Daniel Nkungu bingwa wa matatizo ya kina mama akiwa Dar es salaam anazungumzia tatizo hili....
Karibu katika makala ya Siha Njema leo tunaangazia virusi vya Murbag ambavyo vimethibitika kuwepo nchini Uganda.Watu wawili wameelezwa kufariki dunia wakati huu kadhaa wakitengwa na kufanyiwa uchunguzi wa kiafya..kujua zaidi fuatana nami ..
Katika makala ya Siha njema,wakati dunia inapohimiza uelewa kwa jamii kuhusu ugonjwa wa saratani mnamo mwezi oktoba.Jamii inapaswa kufahamu kuwa ugonjwa huu unatibika..
Umoja wa mataifa unaadhimisha siku ya afya ya akili chini ya kauli mbiu afya ya akili mahali pa kazi.Nini wajibu wa muajiri na muajiriwa kuhakikisha tatizo la afya ya akili haliwapati kazini?
Makala ya Siha njema inaangazia ugonjwa wa kipindupindu uliopiga nchini DRC hivi karibuni na kuathiri idadi kubwa ya wakazi.Waziri wa afya jimboni kivu kaskazini na daktari mtafiti wanaangazia namna jami hiyo inavyokabiliana na maradhi hayo.
Makala ya siha njema inaangazia kuhusu lishe bora na umuhimu wake katika jamii,hivi karibuni ripoti ya shirika la afya la kimataifa imebainisha kuwa mtu mmoja hufariki dunia katika watu watano kwa kukosa lishe bora.Daktari Lucas Mkeni wa Dar es salaam Tanzania analiangazia hili...
Neno U.T.I ambalo ni ni kifupisho cha Urinary Tract infections,ambayo kwa lugha yetu ni maambukizi ya njia ya mkojo si geni katika masikioni mwa wengi, Ni tatizo kubwa ambalo hivi karibuni limetajwa kusumbua zaidi watoto wa kike na wanawake haswa kwa wanafunzi wanaotumia vyoo vya jumuiya. Basi leo kwa mara nyingine kupitia Makala yetu ya Siha Njema tutazungumzia juu ya tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo Urinary Tract Infection,tatizo ambalo hivi karibuni linawasumbua sana watoto na wanawake
Takwimu mbali mbali zikiwemo za WHO zinaonesha kuwa watoto wengi hufariki kabla ya mwaka mmoja kwa ugonjwa wa moyo bila kugundulika na kupatiwa matibabu ya haraka. Na tunaelezwa kuwa matatizo ya kuzaliwa ya moyo hutokea katika watoto wanne hadi 9 katika kila vichanga 1,000 vinavyozaliwaBasi katika sehemu yetu ya Pili ya Makala ya siha Njema juma hili tunangazia juu ya tatizo la moyo kwa watoto
Kwa Mujibu wa Ripoti mpya za shirika la Afya Duniani (WHO) zinasema kuwa ugonjwa wa shinikizo la damu ndio ugonjwa ambao unaathiri watu wengi zaidi barani Afrika huku ikionesha asilimia zaidi ya 10 ya Waafrika wameshapata na ugonjwa huo. Huku sababu kubwa zikitajwa kutokana na watu wengi hivi karibuni kupuuza kufanya mazoezi, kupunguza au kutotumia kabisa matunda angalau matano na mboga kwa siku, matumizi ya tumbaku au sigara na pombe Kipindi cha Siha Njema kwa juma hili kinangazia juu ya hali ya ukubwa wa tatizo hili katika jamii zetu lakini pia sababu ambazo zimechanga katika ongezeko kwa tatizo hili
Nchi ya Uganda na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hutajwa kuongoza kwa mimba na ndoa za utotoni, hii ni kwa mujibu wa moja ya Shirika la Haki za Binadamu duniani. Licha ya kuwepo na jitianda mbali mbali katika nchi za afrika Mashariki na Kati za kupambana na ndoa za utotoni,lakini bado tatizo hilo limendelea kushamiri katika jamii zetu,hali ambayo imesababisha wanaharakati ya Afya na haki za binadamu kulalamikia mfumo mzima wa kusimamia sheria kwa kutowachukulia hatua kali za kisheria watu wanaobainika kuwasababishia mimba watoto
Tatatizo la Ndoa na mimba za utotoni limekuwa likiongezeka kila mwaka na kutajwa kusababisha umaskini mkubwa katika familia na mataifa mengi katika bara la Africa. Lakini Vile Vile tatizo hili la mimba za Utotoni limekuwa likichangia vifo vya mabinti wengi katika jamii zetu . Siha Njema kwa Jumaa hili kinagazia juu ya Chanzo na Athari za Mimba za Utotoni
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo. Huku Kisukari ikiwa ni moja ya muuaji wa kimya kimya ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Na kwamujibu wa uchunguzi uliofanywa na jopo la madaktari bingwa kuanzia mwaka 2011 hadi 2014 ulibaini asilimia 79 ya watanzania wazee waligundulika kuugua magonjwa ya kisukari.Basi kupitia kipindi chetu cha Siha Njema kwa mara nyingine kwa juma hili nitaweza angazia juu ya Ugonjwa huu na naama ya kukabiliana na ugonjwa huu.
Ugonjwa wa Kansa au kwa jina jingine, Saratani,umetajwa kusababishia mwili madhara pale inapoharibu seli na kuzifanya zigawanyike bila kudhibitika na kuwa uvimbe wa tishu unaojulikana kama tumo Katika Sehemu ya pili na ya mwisho ya Makala yetu ya Siha Njema tunangazia juu ya Tiba ya Saratani na Naama Asasi isiyo ya kiserikali ya Marafiki wa Watoto wenye Saratanina mengine yanavyopambana na Ugonjwa huo hatari