Podcasts about mume

  • 27PODCASTS
  • 56EPISODES
  • 23mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Jul 22, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Best podcasts about mume

Latest podcast episodes about mume

Critical Role
Relics and Rarities Ep. 6 - Janina Gavankar in The Mystery of King Senna's Tomb Part 1

Critical Role

Play Episode Listen Later Jul 22, 2024 55:58

Combined with theories from the team, The Compendium of Curiosities points Professor Roundland to their next mission. The adventurers must seek out the Axe of Thanian Mayit. Rumored to be buried with King Senna in his tomb, the Professor pairs the team with renowned tomb expert, Mumeé. Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoices

All in the Industry ®️
“On the Road” at Asia's 50 Best Restaurants 2024 in Seoul, South Korea

All in the Industry ®️

Play Episode Listen Later Apr 28, 2024 109:49

Today on our episode #384 of All in the Industry®, Shari Bayer has a special “On the Road” show from Asia's 50 Best Restaurants 2024, which took place in Seoul, South Korea in late March 2024, with the gala awards ceremony on Tuesday, March 26th. Asia's 50 Best Restaurants is part of the 50 Best brand, which includes The World's 50 Best Restaurants. The 50 Best is a leading authority in global gastronomy and the international drinks scene, showcasing worldwide trends and highlighting great restaurants and bars from all corners of the world. This edition of Asia's 50 Best Restaurants marked the first time the awards were held in the Korean capital, and was the 12th edition of the event program. Shari attended the awards ceremony and #50BestTalks, and has several interviews with chefs who were recognzied at Asia's 2024 awards, including Peter Cuong Franklin, Anan Saigon (#48), Ho Chi Minh City, Vietnam; Yoshihiro Narisawa, Narisawa (#14 / #51 World 2023), Tokyo, Japan; Dave Pynt, Burnt Ends (#15 / #65 World 2023), Singapore; Jordy Navarra, Toyo Eatery (#24), Manilla, Philippines; Daniel Calvert, Sezanne (#1 / #37 World 2023), Tokyo, Japan; and Richie Lin, Mume (#45), Taipei City; Taiwan. Congratulations to the #1 award recipient, Daniel Calvert of Sezanne; and all of the chefs, including many who are featured in Shari's new book, CHEFWISE; and many thanks to everyone involved in the 50 Best. It was an outstanding awards celebrations and honor for Shari to be a part of the festivities. For more informaton and the full awards list, go to theworlds50best.com and @theworlds50best #asias50best. Today's show also features Shari's PR tip to seek collaborations; Speed Rounds; and Shari's Solo Dining experience at Mingoo Kang's Mingles (#13 / #89 World 2023) in Seoul. ** Check out Shari's new book, Chefwise: Life Lessons from Leading Chefs Around the World (Phaidon), available wherever books are sold! #chefwisebook**Listen at Heritage Radio Network; subscribe/rate/review our show at iTunes, Stitcher or Spotify. Follow us @allindustry. Thanks for being a part of All in the Industry®. Heritage Radio Network is a listener supported nonprofit podcast network. Support All in the Industry by becoming a member!All in the Industry is Powered by Simplecast.

Ràdio Arrels
El MUME de la Jonquera presenta una nova exposició - Miquel Aguirre

Ràdio Arrels

Play Episode Listen Later Mar 26, 2024 5:21

Miquel Aguirre, director del Museu Memorial de l'Exili de la Jonquera ens parla de la nova exposició temporal de Francesc Abad: Gent de Re.

Habari za UN
Mariam: Dawa za kulevya zilinifanya kupoteza mtoto na mume

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 26, 2023 0:04

Tatizo la dawa za kulevya duniani ni suala tata ambalo linaathiri mamilioni ya watu duniani kote. Watu wengi wanaotumia dawa za kulevya hukumbana na unyanyapaa na ubaguzi, jambo ambalo linaweza kudhuru zaidi afya yao ya kimwili na kiakili na kuwazuia kupata usaidizi wanaohitaji.Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu UNODC inatambua umuhimu wa kuchukua mtazamo unaozingatia watu kuhusu sera za dawa za kulevya, kwa kuzingatia haki za binadamu, huruma na mazoea yanayotegemea ushahidi. Miongoni mwa shuhuda nzuri katika jamii ni kuwa wale waliotumia dawa za kulevya wanaweza kurejea kwenye afya zao na maisha yao ya awali iwapo wataacha na kukaaa kwenye vituo vya matibabu ya uraibu na matibabu. Mariam, sio jina lake halisi alikubali na kukaa kituoni na hii ni simulizi yake iliyoandaliwa na UNODC na inasomwa kwako na Evarist Mapesa wa redio washirika SAUTFM iliyoko Mwanza nchini Tanzania.  

Habari za UN
Vita ya miaka 12 vimetuacha taaban tukipoteza matumaini: Raia Aleppo Syria

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 15, 2023 0:03

Leo ni miaka 12 kamili tangu machafuko yalipozuka Syria na kusababisha vita inayoendelea tangu mwaka 2011 iliyosambaratisha nchi hiyo na mamilioni ya raia wake. Maelfu wamepoteza maisha, mamilioni wamekuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi yao na majanga mengine ya kila uchao yanazidi kuwaondelea matumaini raia wa taifa hilo la Mashariki ya Kati.Adhana hiyo inaashiria ni siku nyingine isiyo na nuru bali iliyoghubikwa na machungu na kupoteza matumaini kwa wakaazi wa Aleppo ambayo ilikuwa mstari wa mbele wa vita, majengo yamesalia magofu ingawa bado kuna watu wanaoishi katika magofu haya.Wwatu wengi waliosalia hap ani wale waliotawanywa na vita inayoendelea kwa mwaka wa 12 sasa akiwemo Sabaha mkimbizi wa ndani aliyepoteza matumaini ya mustakbali bora akisema “Vita ilikuwa ngumu, tumepitia kila zahma kama njaa na mashambulizi ya mabomu. Mume wangu na kaka yangu waliuawa lakini hata wakati huo Maisha yalikuwa kidogo rahisi kuliko sasa”.Kweli yumkini hali si hali, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani nusu ya watu wa silia wanakabiliwa na njaa na wanaishi kwa kutegemea msaada wa wahisani likiwemo shirika hilo wengi wakiishi katika maeneo ya wazi na katika shule. Kenn Crossely ni mkurugenzi wa WFP nchini Syria, "Kuna vitongoji Aleppo ambavyo vimesambaratishwa kabisa na kusalia kuwa vifusi. Maisha yao yote yenye tija, majengo, makazi yao, na maeneo ambayo watu walikuwa wakiishi havipo tena. Kisha tetemeko la ardhi likaja, na watu kutoka huko walilazimika kuhama tena, ilibidi wahamie kwenye mashule, wengine wahamie misikitini. Kulikuwa na jumuiya yenye nguvu ya kiraia, washirika wanaoshirikiana nao, NGO's zinazofanya kazi ya kuwapa chakula cha moto na makazi, lakini kwa hakika watu wanachokitaka ni maisha yenye tija ,watu waweze kujikimu tene, lakini kila siku wamekuwa wakitegemea kwa kiasi kikubwa misaada ya kibinadamu.”Mdororo wa kiuchumi, ukosefu wa ajira na mfumuko wa bei vimekuwa ni kuongeza chumvi juu ya kidonda kwa wakimbizi hawa wa ndani kama Nawal Shaban “ Hatuwezi kununua chakula cha kutosha kwa watoto wetu vyakula vingi bei haishikiki kama vile nyama na kuku na umeme gharama imekuwa juu pia.”Hata hivyo kuna wale ambao bado wana imani ya nuru kurejea siku moja kama muna ambaye pia ni mkimbizi wa ndani Aleppo “Sasa kilichosalia ni matumaini kwamba vita hii, mgogoro huu ipo siku utakwimu. Nina matumaini makubwa kwamba watoto wangu wataendelea na elimu yao Mungua akipenda.”

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Jinsi Mke anavyoweza kumpendeza Mume wake

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Jinsi Mke anavyoweza kumpendeza Mume wake

高維修男女
ep.100|從MUME認識永續經營 feat. 林泉 Richie

高維修男女

Play Episode Listen Later Nov 22, 2022 78:09

有美食達人高維修小姐邀約,本集邀請到林泉Richie 來聊MMHG的經營之道! 2014 年底 MUME 開幕就一位難求,立即在餐飲圈樹立榜樣、製造話題。MMHG目前擁有四間餐廳,包括2019 – 2021年榮獲《亞洲50大餐廳》台灣最高名次的 MUME、美式牛排餐廳 Le Blanc、泰式家庭料理 baan和新泰式精緻海鮮餐廳 COAST。 主廚林泉香港出生、加拿大成長、澳洲學廚,後來選擇停留台灣。這集整理了一回他的國際經歷,待過澳洲的 Quay、丹麥的 noma 都是將在地食材用得出神入化的知名餐廳,當初林泉怎麼獲得工作機會?又在其中找到怎樣的職涯靈感?哪個環境更加嚴格?如何快速吸收學習? MUME的意思一方面是林泉母親的名字,翻譯過來也有梅花的意思,所以林泉的心意不是行銷MUME而是希望透過MUME介紹台灣,無論連結小農、介紹台灣在地食材,都做到極致,後續帶來極大的影響力。 經營餐飲集團要思考策略之外,怎麼維持主廚熱情?經歷疫情林泉又如何轉戰電商?廚房中怎樣的狀況會讓林泉受不了?這集通通告訴你! 林泉 https://www.instagram.com/richie_lin/ 高維修男女 IG https://www.instagram.com/highmaintenance__podcast/ 主持人: Jason賴俊龍 FB http://fb.me/jasonuniverse4u/ IG https://www.instagram.com/jasonbrilliant/ 高維修小姐 FB http://fb.me/wanderlust1o8/ IG https://www.instagram.com/wanderlust1o8/ 製作人 Mavis YUE 剪輯師 江承恩 合作洽談請聯繫 凱特經紀 katedog@ms35.hinet.net

Salama Na
SE7EP15 - SALAMA NA MCHUNGAJI RICH BILIONEA | SERMON

Salama Na

Play Episode Listen Later Sep 22, 2022 65:02

Kipindi cha nyuma kidogo nilifanya lile ambalo huwa nafanya la kuwashirikisha rafiki zangu na team kuhusu list ya watu ambao wangependa kuwaona kwenye kiti chetu chakavu na sababu za kwanini hasa waje kwenye meza ile yenye kigae kwa juu maana tukisema tutaje majina tu bila ya sababu thabit za wao kuja pale tunaweza tukaondoa maana yenyewe ya kuwa na watu wenye story za kuvutia na kutufunza kama ambavyo tumekua tukifanya. Jina la mgeni wetu huyu lililetwa kwangu na Michael (Mx) Mlingwa na Ndugu yangu Elbogast Myaluko ndo alinipatia mawasiliano naye na kuanzia hapo mengine yamebaki kukhadithiwa kama hivi. Sikua namfahamu Mchungaji Richard Hananja mpaka Michael alipo niambia nami nikachukua muda wangu wa kwenda kufanya ka research kangu kabla hajaja mezani, ambacho nilijifunza ni kwamba Mchungaji alikua ni mtu mashuhuri sana ambaye ana watu wengi sana pia wanao mskiliza. Ilinichukua takriban miezi miwili kuweza kumpata maana kila weekend (mara nyingi rekodi za kipindi huwa zinafanyika weekend) yeye huwa yuko safarini. Huitwa sana sehemu mbali mbali, na sasa Serikali nayo imekua ikimuita pia katika matamasha na mikutano mbalimbali. Kwahiyo mara utamsikia yuko Dodoma, mara Moshi, mara Iringa ilimradi yuko busy. Na wakati mwengine Jumapili yake inakua ya yeye kualikwa kwenye Makanisa mbalimbali ili akatoe neno, siku hizi yeye ameshastaafu kuhubiri kanisani na sasa zilizobaki ni hizo za mialiko maalum. Kama kawaida mimi na wenzangu tulitaka kuanza kwa kumfahamu mgeni wetu maana kama nilivyokuambia hapo awali mimi sikua namfahamu zaidi tu ya kumuona kwenye mitandao akimwaga cheche, tulianzia kwenye kuzaliwa kwake na kukua kwake, mitihani mbalimbali ya ujana, bishara na kazi ambazo ashawahi fanya, na wakati naandika hii nimejifunza pia kuwa Mchungaji hana ambalo anaongeza chumvi maana baada ya sisi kufanya nae maongezi haya, nimeona ameenda sehemu tofauti tofauti na story yake haijawahi kubadilika. Ujasiri wa ziada huhitajika ili tuweze kufanikiwa kwenye maisha yetu na pia kuwa kwenye mstari ili usiingie kwenye matatizo na vyombo vya sheria. Mchungaji ananiambia jinsi ambavyo alikua ana hustle kila kona, kusafiri bila ya kibali cha kuvuka mipaka ya nchi na boxing ambayo aliifanya kwenye kipindi flani kwenye maisha yake. Boxing imemuachia kovu ambalo kila siku linamkubusha mapambano ambayo ameshawahi kuyafanya kwenye maisha yake. Boxing pia ndo ambayo imemfanya awe na discipline ya hali ya juu. Kwenye maisha yake ya sasa Mchungaji Hananja anatoa nafasi kwa kila aliye kata tamaa au ambae watu wamemkatia tamaa, yeye ndo huwachukua hao na kuwapa nafasi nyengine kwenye maisha yao, na amini usiamini wengi wao hunyooka na kuanza upya. Kwenye nyumba yake huko Madale Mchungaji anafanya mambo mengi ikiwa pamoja na kilimo na ufugaji. Swali langu lilianza kwa kutaka kujua hizo pesa za yeye kuweza kufanya mambo yote hayo, huwa zinatoka wapi? Mchungaji Hananja ni MUME, na kwa mujibu wa maelezo yake, alichelewa saana kuoa na mkewe ni Rafiki yake wa kwanza. Yangu matumaini moja mbili tulizopiga humu zitakupeleka sehemu. Tafadhali enjoy. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Considera l'armadillo
Considera l'armadillo di mercoledì 08/06/2022

Considera l'armadillo

Play Episode Listen Later Jun 8, 2022 28:28

Si parla con Martina Scalini ideatrice e regista del documentario Speck una vita cambiata, prodotto da Essere Animali, della settimana Veg, con Carmelo Isgrò del Mume della Giornata mondiale degli Oceani, dei 33 anni della Guardia Costiera, di Festivalmar a Milano e scopriamo che Martina avrebbe voluto essere il suo gatto o un maiale

Vijana na Mapenzi
Vijana na Mapenzi; inakera kwa mume kushauriwa na wazaziwe kabla ya kufanya lolote?

Vijana na Mapenzi

Play Episode Listen Later May 5, 2022 7:36

Mwanamume anapokuwa mtu mzima, wengi hutarajia kwamba awe mwenye kujitegemea kimawazo na hata kuweza kujifanyia maamuzi ya busara. Hata hivyo, kuna wanaume ambao huitwa 'mamas boy' ambao hushtumiwa kwa kutojitegemea kimawazo na kuwasikiliza zaidi wazazi kabla ya kufanya maamuzi muhimu. Je, ni sawa kwa mume kuzingatia zaidi ushauri wa mzazi badala ya mkewe?

Vijana na Mapenzi
Vijana na Mapenzi Podcast; Mwanamke mwenye mtoto, atapataje mume mwaminifu?

Vijana na Mapenzi

Play Episode Listen Later Apr 21, 2022 6:31

Mwanamke anapopata mtoto nje ya ndoa ama kumzaa mtoto katika ndoa kisha kutengana na mumewe, wapo wanaojipata katika njia panda anapotafuta mchumba. Baadhi huhofia kuwa katika mapenzi kwa hofu ya kulaghaiwa tena na hofu ya kupata mwanamume atakayempenda pamoja na mwanawe. Je, mwanamke huyu afanye nini ili ampate mchumba wa kumwamini?Tunaliangazia suala hili kwa kuhusisha kauli za wananchi vilevile mshauri.

美文阅读 More to Read
美文阅读 | 卜算子·咏梅 Song of Divination Ode to the Mume Blossom (陆游)

美文阅读 More to Read

Play Episode Listen Later Feb 6, 2022 28:25

Daily Quote Time is the coin of your life. It is the only coin you have, and only you can determine how it will be spent. Be careful lest you let other people spend it for you. (Carl Sandburg) Poem of the Day 卜算子·咏梅 陆游 Beauty of Words Resurrection Leo Tolstoy

Mime Your Business Podcast
Episode 70- “ The Blocked Dad “

Mime Your Business Podcast

Play Episode Listen Later Jan 25, 2022 24:40

Vijana na Mapenzi
Vijana na Mapenzi Podcast: Sihamii kwa mume; soko ni mbali- maisha magumu

Vijana na Mapenzi

Play Episode Listen Later Dec 9, 2021 8:19

Awamu hii ya Vijana na Mapenzi inaangazia kisa cha mwanadada ambaye licha ya kuolewa, hataki kwenda kuishi na mumewe na kupendelea aishi tu alikozoea kabla ya kuolewa. Anasema kwamba anakoishi, maisha ni rahisi kulinganisha na kwa mumewe. Tunaliangazia suala hili kwa kushirikisha kauli za wananchi na wataalam.

Lexus x VERSE|MY WAY
EP31 | 林泉:精緻餐飲MMHG的永續之路

Lexus x VERSE|MY WAY

Play Episode Listen Later Nov 18, 2021 31:47

「餐廳除了讓大家聚餐外,還能透過用餐與客人溝通,讓大家理解餐廳原來可以有使命感,做價值倡議。」香港出身的主廚林泉,2014年來到台灣開設餐廳MUME,以在地食材製作fine dining ,並連續三年獲得星級肯定。2020年更進一步創辦餐飲集團「MMHG」和電商平台「TASTE by MMHG」,希望持續推廣永續及環保精神。本集,林泉將分享台灣食材的迷人之處,以及他對於台灣精緻飲食的看法。 Powered by Firstory Hosting

Hadith Disciple
“Prunus Mume”

Hadith Disciple

Play Episode Listen Later Aug 24, 2021

Masjid Ahlis Sunnah wal-Jama'ah Jamaica, NY (8/20/21)

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 28

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 26, 2021 10:04

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 27

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 26, 2021 10:03

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 26

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 26, 2021 10:00

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 24

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 26, 2021 9:49

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 23

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 26, 2021 10:12

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 16

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 18, 2021 9:58

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 15

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 18, 2021 10:02

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 17

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 18, 2021 10:01

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 20

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 18, 2021 9:59

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 19

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 18, 2021 10:08

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 14

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 15, 2021 17:35

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money. 

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 13

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 14, 2021 8:09

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 7

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 9, 2021 7:42

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 6

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 9, 2021 10:13

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 5

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 9, 2021 9:55

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 4

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 9, 2021 10:04

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 3

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 9, 2021 10:00

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Ni Salama
Semina ya wanaume Kawe 2019: 2

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 9, 2021 9:59

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:Bwana Yesu Asifiwe!!Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633,+255715511633 na +255682657080.Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa - Muziki wa taarab nchini Tanzania

Nyumba ya Sanaa

Play Episode Listen Later May 14, 2021 20:18

Taarab Asilia ni Miongoni mwa Muiziki yenye asili ya Mwambao, Maudhui yanayojikita katika kuelimisha uhusiano kati ya Mume na Mke,Nyimbo zilizosheheni Majigambo ,Je Unamfahamu Afua Suleiman Maganga mtunzi wa Wimbo Utalijua jiji ? Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza nae kuhusu safari yake ya Muziki huo aliyoianza mwaka 1982.

Radio Uhai Broadcast
Hujaolewa Lakini Unaishi Na Mume Kichwani (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Mar 4, 2021 14:00

Ràdio Arrels
Alfons Quera, director del Museu memorial de l'Exili a la Jonquera

Ràdio Arrels

Play Episode Listen Later Nov 28, 2020 9:17

El calendari de confinament i desconfinament no és el mateix a Catalunya Nord i Sud, la situació a la frontera també és confusa. Si a casa nostra els museus són encara tancats, el MUME de la Jonquera en canvi és obert. Els seus horaris són de dimarts a dissabte de 10h a 18h i els diumenges de 10h a 14h. El Director del Museu memorial de l'Exili, Alfons Quera reconeix que són temps difícils perquè la meitat dels visitants són escolars i el servei educatiu vol seguir aquesta tasca pedagògica. Els projectes i les col·laboracions però continuen. Per exemple el MUME juntament amb el Memorial del Camp d'Argelers estan treballant per oferir aviat una visita virtual dels seus espais i del seu fons museístic. En l'àmbit de la celebració d'activitats al museu es contemplen diverses possibilitats entre les quals les retransmissions en directe per internet.

Msasaonline
SHILOLE: ASIMULIA JINSI ANAVYOPIGWA SANA NA MUME WAKE "UCHEBE".

Msasaonline

Play Episode Listen Later Jul 8, 2020 3:22

Hatimae msanii Shilole kupitia ukurasa wake wa instagram, ameamua kuanika ukweli wote kuhusu ndoa yake na mumewe Uchebe jinsi unavyoendelea. Shilole amesema ni mara nyingi amekua akiambulia kipigo kutoka kwa Uchebe kwa sababu ambazo sio za msingi, Msanii ameongezea kwa kusema mume wake ni mara nyingi amekua akimuonesha upendo wa kweli na kumvumilia kwa mapungufu yake yote, huku akimpatia mali zake lakini hilo halikumfanya ashindwe kudharauliwa, kupigwa na kusalitiwa.

Habari za UN
Jamii haikubali kifo, mume anapofariki dunia, huamini mke amemuua- Christine

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 23, 2020 5:21

Hii leo ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya wajane ambao mara nyingi wanapobakia wenyewe pindi wenza wao wanapofariki dunia ni kutaabika kiuchumi na kijamii. Mathalani taabu katika kulea watoto na changamoto nyingine za kifamilia. Katika kumulika changamoto hizo, mwandishi wetu wa Nairobi, Kenya,  Jason Nyakundi amezungumza na Christine Iganza kutoka Vihiga Magharibi mwa Kenya ambaye alibaki  mjane  mwaka 2008 na watoto 4 akiwemo mmoja mwenye umri wa wiki tatu. Christine anaanza kwa kuelezea maisha yalivyobadilika.   TAGS: , Wajane  

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Epuka ugomvi na mume wako

Tshepo Malatsi
Juu Ya Upendo (5 Years) For Amani From Mume

Tshepo Malatsi

Play Episode Listen Later Oct 16, 2019 56:33

A Month After Our 5th Year Anniversary, About Love Celebrating Our Time Together With some RnB Sounds compiled by Tshepo Malatsi. We don't own the tracks in the mixtape. Copyrights Reserved.

VISIONARY VOICE by LEXUS
Vol.72:台湾の今を巡る旅 Vol.3──予約困難な小規模ホテルで楽しむ極上ステイ

VISIONARY VOICE by LEXUS

Play Episode Listen Later Oct 31, 2018

日本から行きやすく、美食や歴史文化など見所も多いことから人気が高い台湾。首都・台北では、いま小規模でデザイン性の高いホテルが続々とオープンし注目を集めている。なかでもクラシカルで個性的なホテルと、アーバンスタイリッシュな世界観をもつ人気のホテルを紹介。

VISIONARY VOICE by LEXUS
Vol.72:台湾の今を巡る旅 Vol.3──予約困難な小規模ホテルで楽しむ極上ステイ

VISIONARY VOICE by LEXUS

Play Episode Listen Later Oct 30, 2018

日本から行きやすく、美食や歴史文化など見所も多いことから人気が高い台湾。首都・台北では、いま小規模でデザイン性の高いホテルが続々とオープンし注目を集めている。なかでもクラシカルで個性的なホテルと、アーバンスタイリッシュな世界観をもつ人気のホテルを紹介。

Roguelike Radio
Episode 141: MUDs

Roguelike Radio

Play Episode Listen Later Nov 21, 2017

Mark Johnson hosts a discussion panel about Multi-User Dungeons alongside original MUD creator Richard Bartle; MUME developer and manager Pier Donini; and Cat Rambo, developer of Armageddon and president of the Science Fiction and Fantasy Writers of America.Read more »

Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Wafahamu Amadou na Mariam wanamuziki wenye ulemavu wa kuona mke na Mume

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Oct 5, 2017 10:39

Makala haya Muziki Ijumaa hii leo inakuletea Historia ya wanamuziki wawili mke na mume ambao ni walemavu wa kuona, lakini wamekuwa maharafu sana katika mataifa mbalimbali duniani. Ambatana naye Ali Bilali kufaham zaidi kuhusu historia yao.

Strength in Gaming - Video Game Podcast for Adults
AAA Decent into Sadness - Dex +5

Strength in Gaming - Video Game Podcast for Adults

Play Episode Listen Later May 13, 2017 44:37

Samson here, I thought I would share this, from our #1 fan in the Canadias; in response to our latest episodes ("Indie" Game Devs - 83 & Dex +4). Dex +5 will be dedicated to this email: "Thanks for a great podcast, again. After listening to your latest antics, including mics breaking shot glasses I realized how old and tired I am. Let me explain. My gaming started around late 80 and became a serious threat to my education when I played Warlords and Eye of the Beholder on Amiga. I quickly realized it will be hard to come back to Talisman and other board games as back in the day I lived in Poland and it was easier to find an illegal copy of a PC game than to find an illegal copy of a board game. I went to university in '92 and then year later migrated to Canada to continue my university education there. Little did I know, Doom was about to land in my life and replace school as my main interest. The attack on school continued with multi user dungeon text based games such as M.U.M.E. Then I played Meridian 59 and finally Ultima Online. Now the sad part. Everything I have played since MUME and Ultima Online has gradually descended into the shit we are being presented with now, also called games. Long and hard has been the road to recovery on my part. As much as I enjoyed the worlds of Dark Age of Camelot, Star Wars Galaxies, Eve Online, Lord of the Rings Online, and countless others my dislike for the marriage of whole gaming development and publishing business began to grow. I started to notice the deficiencies, early on that could be blamed on emerging companies' inexperience, but soon it became clear it was more than that. It was simply greed. Someone realized games can be profitable. Games don't need to be developed by shy nerds who need to realize themselves in the eyes of their peers. With that, a thought came that good times are nothing but a fleeting moment and for more pleasure one needs to dig deeper into his pocket. I applaud your energy on the subject of the descent of gaming into the shit hole it is now. I agree wholeheartedly with you and Mr. Madrigal on the reasons why it is so. The unwashed and uneducated masses can have no clue as to the quality of the old games. How would they if they never played such gems as Ghost Recon in 2001 or Rainbow Six and Rogue Spear in late '90s? What would they think of COD and other shooters if they played the original PlanetSide? I used to get mad and preach on the subject of this descent. I used to debate with younger players the finer points of gaming, the intensity and the rush of adrenaline in full loot games, but since the huge success of World of Warcraft I realized that there are more care bears in the world than players like me. It's the norm to have quest markers, neatly outlined areas and cross-hairs on quest targets. Reading is not required, people don't take chances and generally don't like to dig for answers. It's just easier in the world of micro-transactions. It's faster and cleaner. I gave up the fight, I'm no Don Quixote, but I want to pass along the passion for gaming to younger generations and I applaud you and your podcast for doing the same. "Prem" a.k.a. many other names. P.S. tell Sal that the first first-person MMORPG wasn't EverQuest, but Meridian 59." Responses - Devin Steele - "That's why I love Dark Souls and Bloodborne so much. It's guilty of some debauchery (aka DS1's true final boss being in a dlc) but overall its a refreshing departure from the AAA game bullshit." Jack Acebedo - "That's why I love Overwatch. No DLC at all, and the things you have to pay for are not necessary at all. It's a really smart business model because it insures that people will keep interest in the game and it's a blast to play if you're playing alone or with some buddies"

The Culinary Institute of America
Mume Restaurant in Taipei

The Culinary Institute of America

Play Episode Listen Later May 10, 2017 8:02 Transcription Available

Mume Restaurant in Taipei serves produce-driven modern western cuisine, and was founded by Hong Kong born Chef Richie Lin, Australian Chef Kai Ward and Asian American Chef Long Xiong. Together this chef trio brings to Taipei their experiences from Noma in Denmark, Per Se in New York and Quay in Sydney. They show us Taiwanese specialties Crispy Amadai with Red Pepper Sauce and Taiwanese Beef Tartar and more. Download recipes and watch the full series at http://www.ciaprochef.com/WCA/taiwan/

Adabu Za Kuingiliana Mume Na Mke
Adabu Za Kuingiliana Mume Na Mke

Adabu Za Kuingiliana Mume Na Mke

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08

Adabu Za Kuingiliana Mume Na Mke

mume adabu
Haki Za Mume Na Mke
Haki Za Mume Na Mke 04

Haki Za Mume Na Mke

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08

Haki Za Mume Na Mke 04

Haki Za Mume Na Mke
Haki Za Mume Na Mke 03

Haki Za Mume Na Mke

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08

Haki Za Mume Na Mke 03

Haki Za Mume Na Mke
Haki Za Mume Na Mke 02

Haki Za Mume Na Mke

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08

Haki Za Mume Na Mke 02

Haki Za Mume Na Mke
Haki Za Mume Na Mke 01

Haki Za Mume Na Mke

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08

Haki Za Mume Na Mke 01